afyakliniki
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 125
- 81
Ndugu Wapi.. Juzi nimekuta ugomvi wa suni na ahamadiyaaa.. Jana muisalam m1 kamnyima mwenzie ela ya sabuni afu anawanunulia malaya bia.Tunamuombea awe wa peponi si wa "mbingu".
Waislam wote ni ndugu, kwa hiyo ni furaha kijana wetu kupata toto linalotoka familia tajiri duniani.
Je pana udugu hapo? Udugu bila mapendo!? Huo ni unafiki wa kiwango cha lami.
Kikubwa nimeona umeona tu deal kwa muislam kumuoa binti na kikristo, hivyo umeona waislam wamewashinda wakristo.
Kifupi una furaha ya UDINI... ila nikuambie kitu IMANI ni Bora Kuliko DINI.
Asante na Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app