Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,101
Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge).
Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam, Kiafrika, Kiarabu, haoni hasikii na wameshatambulishana kwa wazazi wao.
Tunawaombea ndoa yenye furaha na baraka tele na In shaa Allah iwe kichochea cha family yake yote kuutambua Uislam na kujisalimisha kws mola aliyewaumba, kusilim.
Uislam unaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa Mkristo na Myahudi lakini hauruhusu bint wa Kiislam kuolewa na wa dini nyingine yoyote.
TuMsamehe... Mdini huyu.

Kwa hiyo sisi yatupasa kuwaombea muumba awafanyie wepesi katika ndoa yao na awape furaha, utulivu na amani na awaongoze kwenye njia ya heri.Kwa muktadha wa ile post ya yule jamaa tuneelewana.
Kwa hili swali uliloniuliza yote yanwezekana. Yaani unaweza pata mwenza akakupoteza au akazidi kukuongoza ktk kumuona muumba wako.
Na pia unaweza ishi bila ndoa ukawa mdhambi au ukazidi kujitakasa kukutana na muumba wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaswaaKwa hiyo sisi yatupasa kuwaombea muumba awafanyie wepesi katika ndoa yao na wape furaha, utulivu na amani na awaongoze kwenye njia ya heri.
Kanyamaza kwa kuondoa ubishi tumleta uzi ameelewa ndo maana hana reaction kama yako!
Acha kukaza ubongo, Kheri ya mwaka mpya mkuu.
FIkiri nje box....Uyo Binti anakaribisha laana kwenye familia ya Bilgate.
Huezi jua magaidi wakamtumia uyo jamaa kutelekeza mipango yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge).
Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam, Kiafrika, Kiarabu, haoni hasikii na wameshatambulishana kwa wazazi wao.
Tunawaombea ndoa yenye furaha na baraka tele na In shaa Allah iwe kichochea cha family yake yote kuutambua Uislam na kujisalimisha kws mola aliyewaumba, kusilim.
Uislam unaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa Mkristo na Myahudi lakini hauruhusu bint wa Kiislam kuolewa na wa dini nyingine yoyote.
Asije akajitoa mhunga tu binti wa watu.Wallahi tunafurahi sana kwa kuwa In shaa Allah na binti nae ataiona nuru na kuwa Muislam.
Itasaidia pia image ya Uislam inavyochafuliwa bila sababu.