Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

Vema; inapasa sasa umwamini kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kwamba alikufa kwa kusulubiwa msalabani ili kukupatanisha wewe na Mungu; bila kufanya hivyo hayo mengine yote hayatakuwa na maana kwako wala hayatakusaidia. Heri ya mwaka mpya, uwe na mwaka wenye mafanikio tele.
Yesu anyemzungumzia yeye,si huyu unaemuongelea mkuu,angalia tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....
Hii ndoa ikifainikiwa kufungwa na wawili hawa kuoana, zile story za baba mkwe Bill Gates kuwa ni Freemason zinafutika kabisa na hutazisikia tena.

Na kuwakamata kabisa akili binti akiwajengea na kamsikiti hapo akaweka na mazulia ya nakshi nakshi kibao, baasi kamaliza kila kitu.

All in all, Allah awajalie maisha marefu na wadumu kwenye ndoa yao.
Na mimi ngoja nianze kummendea binti Warda mtoto wa JK.
Alikuwa classmate wangu yule.
Si vibaya kuchanganya damu ya Kikwere na Kimasai kama hawa wanavyotaka kuchanganya.
Na mwezi wa ramadhani akawanunulia tende gunia kadhaa basi hapo roho zao kwatu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunamuombea awe wa peponi si wa "mbingu".

Waislam wote ni ndugu, kwa hiyo ni furaha kijana wetu kupata toto linalotoka familia tajiri duniani.
Hoja yake hapo ni kuwa mtu akiolewa au kuoa muislam au mtu wa dini yoyote ile hiyo siyo tiketi ya kuingia mbinguni/ peponi.

Heri ya kuona mwaka mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayefuata mafundisho ya yesu(issa ععليه السلام) kupitia kitabu gani ambacho anafata mafundisho hayo?


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani haujaelewa lugha ya mama yetu hapo .

Yeye anamaanisha kuwa sisi waislamu ndio tunafuata mafundisho ya Yesu kiusahihi zaidi kuliko hao wengine.

Hao wengine wameongezea yakwao tu kwenye kitabu cha injili ili kupotoshana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom