Mama yangu mpenzi unaamini mkristo wa kweli kwa kufuata mafundisho ya yesu ni muislamu?Hilo bado hatujalisoma lakini Uislam haulazimishi bint wa Kikristo kuwa Muislam ili kuolewa na Muislam.
Mumewe akiishi Kiislam basi bint mwenyewe atauelewamna kuufata. Tunaamini Mkristo wa kweli, kwa maana ya kufata mafundisho ya Yesu alayhi salaam, ni Muislam.
Sana tena. Ametajwa kwa jina mara 25 katika Qur'an na mama'ke Bibi Maryam ana sura (chapter) nzima kwa jina lake ndani ya Qur'an na ametajwa kuwa ni mwanamke bora katika wanawake wa duniani. Ma shaa Allah.Unamfahamu Yesu Kristo?
hilo kwako hulikwepi nyuzi zako nyingi zimejikita kutajataja uislam kwa kuubeza ukristo as if Mungu ulishaongea nae! shauri yako!Kama maana ya "udini" ni Uislam basi naam, hujakosea.
Hujanielewa. Nimesema, Mkristo wa kweli ni Muislam kwa maana ya kufata mafundisho ya Yesu alayhi salaam.Mama yangu mpenzi unaamini mkristo wa kweli kwa kufuata mafundisho ya yesu ni muislamu?
.unaamini kwa mujibu wa kitabu gani juu ya maneno haya mama yangu mpendwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye Uzi huu.Wallahi tunafurahi sana kwa kuwa In shaa Allah na binti nae ataiona nuru na kuwa Muislam.
Itasaidia pia image ya Uislam inavyochafuliwa bila sababu.
Vema; inapasa sasa umwamini kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kwamba alikufa kwa kusulubiwa msalabani ili kukupatanisha wewe na Mungu; bila kufanya hivyo hayo mengine yote hayatakuwa na maana kwako wala hayatakusaidia. Heri ya mwaka mpya, uwe na mwaka wenye mafanikio tele.Sana tena. Ametajwa kwa jina mara 25 katika Qur'an na mama'ke Bibi Maryam ana sura (chapter) nzima kwa jina lake ndani ya Qur'an na ametajwa kuwa ni mwanamke bora katika wanawake wa duniani. Ma shaa Allah.
Hapo sasa wewe ndiye hufati mafundisho ya Yesu. Mimi namfata aliyemtuma Yesu.Vema; inapasa sasa umwamini kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kwamba alikufa kwa kusulubiwa msalabani ili kukupatanisha wewe na Mungu; bila kufanya hivyo hayo mengine yote hayatakuwa na maana kwako wala hayatakusaidia. Heri ya mwaka mpya, uwe na mwaka wenye mafanikio tele.
Anayefuata mafundisho ya yesu(issa ععليه السلام) kupitia kitabu gani ambacho anafata mafundisho hayo?Hujanielewa. Nimesema, Mkristo wa kweli ni Muislam kwa maana ya kufata mafundisho ya Yesu alayhi salaam.
Kwahiyo kwakuwa binti wa tajiri kuolewa na muislamu hiyo image ya uislam haitachafuliwa tena??Wallahi tunafurahi sana kwa kuwa In shaa Allah na binti nae ataiona nuru na kuwa Muislam.
Itasaidia pia image ya Uislam inavyochafuliwa bila sababu.
Bilionea kaoe mtoto wa Kenyatta.Dah....
Hii ndoa ikifainikiwa kufungwa na wawili hawa kuoana, zile story za baba mkwe Bill Gates kuwa ni Freemason zinafutika kabisa na hutazisikia tena.
Na kuwakamata kabisa akili binti akiwajengea na kamsikiti hapo akaweka na mazulia ya nakshi nakshi kibao, baasi kamaliza kila kitu.
All in all, Allah awajalie maisha marefu na wadumu kwenye ndoa yao.
Na mimi ngoja nianze kummendea binti Warda mtoto wa JK.
Alikuwa classmate wangu yule.
Si vibaya kuchanganya damu ya Kikwere na Kimasai kama hawa wanavyotaka kuchanganya.
Hapa unafata mafundisho ya kanisa na sio ya Yesu chunguza utaeleewa.!.....bythe way mjadala usiwe ni wa kidini habari nia ya ndoa.!Vema; inapasa sasa umwamini kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kwamba alikufa kwa kusulubiwa msalabani ili kukupatanisha wewe na Mungu; bila kufanya hivyo hayo mengine yote hayatakuwa na maana kwako wala hayatakusaidia. Heri ya mwaka mpya, uwe na mwaka wenye mafanikio tele.
Sawa mama, nakuombea siku moja uelewe maana una bidii na shauku ya kumpendeza Mungu lakini hauna maarifa sahihi.Hapo ndiyo sasa wewe hufati mafundisho ya Yesu. Mimi namfata aliyemtuma Yesu.
element za udini zimetawala. kwangu mm dini haina nafasi ya wapi utaelekea siku ile ya kiama, matendo ya kila mmoja ndiyo njia yake ilipo
Sent using Jamii Forums mobile app