Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,819
Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge).

Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam, Kiafrika, Kiarabu, haoni hasikii na wameshatambulishana kwa wazazi wao.

Tunawaombea ndoa yenye furaha na baraka tele na In shaa Allah iwe kichochea cha family yake yote kuutambua Uislam na kujisalimisha kws mola aliyewaumba, kusilim.



Uislam unaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa Mkristo na Myahudi lakini hauruhusu bint wa Kiislam kuolewa na wa dini nyingine yoyote.

Update 1: Bint wa Bill Gates awatembelea wazazi wa mchumba'ke Cairo...

Love is in the air
Jennifer Gates, daughter of American billionaire and founder of Microsoft, Bill Gates, traveled to Cairo, Egypt with her Egyptian boyfriend Nayel Nassar. The couple of nearly two years have taken to Instagram to share pictures of their trip.

Soma zaidi: Bill Gates' Daughter Visits Cairo With Egyptian Boyfriend
 
Binti atabadili dini? Au ataendelea kuwa kafir?
Hilo bado hatujalisoma lakini Uislam haulazimishi bint wa Kikristo kuwa Muislam ili kuolewa na Muislam.

Mumewe akiishi Kiislam basi bint mwenyewe atauelewa na kuufata. Tunaamini Mkristo wa kweli, kwa maana ya kufata mafundisho ya Yesu alayhi salaam, ni Muislam.
 
Huku ndiyo ndugu zangu wanako farijiana, sasa unadhani akisha olewa nyie waislam mtafaidika na nini kwenye hiyo ndoa?

Badala mkapige shule nyie mnawaza kuolewa hakika, taifa la watu wachache wasomi Israel litaendelea kuwaburuza hadi mpate akili...
Wallahi tunafurahi sana kwa kuwa In shaa Allah na binti nae ataiona nuru na kuwa Muislam.

Itasaidia pia image ya Uislam inavyochafuliwa bila sababu.
 
Dah....
Hii ndoa ikifainikiwa kufungwa na wawili hawa kuoana, zile story za baba mkwe Bill Gates kuwa ni Freemason zinafutika kabisa na hutazisikia tena.

Na kuwakamata kabisa akili binti akiwajengea na kamsikiti hapo akaweka na mazulia ya nakshi nakshi kibao, baasi kamaliza kila kitu.

All in all, Allah awajalie maisha marefu na wadumu kwenye ndoa yao.
Na mimi ngoja nianze kummendea binti Warda mtoto wa JK.
Alikuwa classmate wangu yule.
Si vibaya kuchanganya damu ya Kikwere na Kimasai kama hawa wanavyotaka kuchanganya.
 
Kuolewa aolewe mwingine furaha apate mwingine. Maisha ya kiroho ni ya mtu binafsi na Mungu. Huyo bint hawezi kuirithi mbingu kwa kuolewa na muislam.
Tunamuombea awe wa peponi si wa "mbingu".

Waislam wote ni ndugu, kwa hiyo ni furaha kijana wetu kupata toto linalotoka familia tajiri duniani.
 
Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge).

Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam, Kiafrika, Kiarabu, haoni hasikii na wameshatambulishana kwa wazazi wao.

Tunawaombea ndoa yenye furaha na baraka tele na In shaa Allah iwe kichochea cha family yake yote kuutambua Uislam na kujisalimisha kws mola aliyewaumba, kusilim.



Uislam unaruhusu mwanamme wa Kiislam kuoa Mkristo na Myahudi lakini hauruhusu bint wa Kiislam kuolewa na wa dini nyingine yoyote.

udini umekutawala bibi, unaonekana kua na roho mbaya sana ya udini!
 
Back
Top Bottom