Logic ni kufundisha elimu ya uraiya na kutafuta mtaji mkubwa wa kura z 2015, hatuvizii bali tunajitokeza mapema coz tuna bonafide.
...labda alijitangaza yeye zaidi ya chama.
Kuna mtu aliyekuwa anakusanya watu wengi kwenye mikutano zaidi ya Mrema?
Muulizeni alikosea wapi?
Unaweza tuwekea CV ya Mwenyekiti wa chadema tuilinganishe na ya Mrema? Nakuhakikishia huwezi, itakuumbua.Alichokozea Mrema, kwanza alikuwa very weak academically. So far CCM wakatumia vyema udhaifu wake huo kumkolimba kisiasa. Na ndiyo maana mpaka leo anarufu ya CCM.
tumia ubongo kidogo wewee. mrema ni mtu cdm ni chama. tena chama makini ndio maana wana nyinyi m wanajileta wenyewe.Kuna mtu aliyekuwa anakusanya watu wengi kwenye mikutano zaidi ya Mrema?
Muulizeni alikosea wapi?
Jokes aside, kuna haja ya cdm kuboresha approach yao.... leo jangwani kulikua na tatizo kubwa la flow ya message to waliohudhuria
Kaka nimekuelewa....tena sana. Lakini kumbuka kuwa chama hakijengwi siku moja.Ebu niambie kwann leo?mie nimekwambia impact amabayo ingekuwepo M4C ingeanza 2013...!we niambie logic na impact yake kwa kuanza shv.
Source=Nilivyoona jangwani leo.
Una uhakika na hao uliowataja hawakuanzia CCM??? Fuatilia kadi zao za mwanzo kwenye safari zao za siasa... sio kila aliyehama alitoka akiwa na cheo kama Shibuda fikiri kabla haujajibuTundu Lissu,Kabwe,Halima,Mbilinyi etc hawakuwahi kua wanachama wa c.c.m!na kutoka c.c.m kuhamia CDM hiyo ni hoja dhaifu sana,Watanzania wanataka mabadiliko inategemea hayo mabadiliko wanataka wayapate kupitia chama gani,unategemea Slaa wa C.c.m ndio huyu wa Cdm?ndio maana Cdm ni chama pinzani,tena chenye nguvu!
Kama una nia ya kujenga nadhani utueleze Mrema alikosea wapi?
Kuna mtu aliyekuwa anakusanya watu wengi kwenye mikutano zaidi ya Mrema?
Muulizeni alikosea wapi?
Una uhakika na hao uliowataja hawakuanzia CCM??? Fuatilia kadi zao za mwanzo kwenye safari zao za siasa... sio kila aliyehama alitoka akiwa na cheo kama Shibuda fikiri kabla haujajibu
..wanachotakiwa kufanya CCM ni kutekeleza ahadi zote walizotoa ktk uchaguzi.
..pia washughulike na matatizo kama kupanda kwa gharama za maisha, mfumo mbovu wa elimu, matatizo ya umeme, matatizo ya maji, huduma za afya, kumaliza kabisa tatizo la ufisadi, etc etc.
..CCM wanatakiwa kufanya kazi waliyotumwa na wapiga kura, badala ya kuhangaika kuwashambulia Chadema.