M4C imekosewa mahesabu haitafanikiwa

M4C imekosewa mahesabu haitafanikiwa

Nadiriki kusema M4C na
gwanda operation ya chadema ni starategy nzuri lakini wamekosea
mahesabu...

Hii ilitakiwa kuanza si chini ya mwaka mmoja na nusu au mmoja kabla ya
2015. CCM kama wanaweza kutumia udhaifu huu basi ndio itakua mwisho wa
CDM...lkn kama wataendelea na propoganda na kuuza zura kwenye media bila
kupambana basi ndio hali si swali tena.

Source=Nilivyoona jangwani leo.
mtazamo dhaifu kimkakati huu ni wakati sahihi kuliko wakati wote.. wakati ambapo watanzania wamepigika na kuomba kilakukicha kupata wakuwasemea moto utakaodumu kwa muda zaidi utateketeza zaidi kuliko moto wa muda mfupi. M4C ni moja ya mikakati kuelekea kuchukua dola.. hii ni kama tulivyoanza na operation sangara na leo tunaona lake zone kuna nini.. mikakati yaja na kuanzia sasa mpaka uchaguzi gamba halitapumua.
 
Kuna mtu aliyekuwa anakusanya watu wengi kwenye mikutano zaidi ya Mrema?

Muulizeni alikosea wapi?

Kuna chama cha upinzani kilipata madiwani na wabunge wengi kama chadema.....? Jiulize wanaelekea wapi.....!
 
Nadiriki kusema M4C na gwanda operation ya chadema ni starategy nzuri lakini wamekosea mahesabu...

Hii ilitakiwa kuanza si chini ya mwaka mmoja na nusu au mmoja kabla ya 2015. CCM kama wanaweza kutumia udhaifu huu basi ndio itakua mwisho wa CDM...lkn kama wataendelea na propoganda na kuuza zura kwenye media bila kupambana basi ndio hali si swali tena.

Source=Nilivyoona jangwani leo.

At a glance,utaona kama wamekosea hesabu but kwa sasa wanakijenga chama na ifikapo 2015 wanaanza strategies za kuchukua nchi....wapo makini kuliko unavyofikiri.....keep on waiting!
 
Nadiriki kusema M4C na gwanda operation ya chadema ni starategy nzuri lakini wamekosea mahesabu...

Hii ilitakiwa kuanza si chini ya mwaka mmoja na nusu au mmoja kabla ya 2015. CCM kama wanaweza kutumia udhaifu huu basi ndio itakua mwisho wa CDM...lkn kama wataendelea na propoganda na kuuza zura kwenye media bila kupambana basi ndio hali si swali tena.

Source=Nilivyoona jangwani leo.

hapo kwenye red, si ndio kilichofanyika? au ushauri wako ulikua nini? kwani hujui kwamba muda uliobaki kutoka sasa hadi uchaguzi mkuu ujao, si chini ya mwaka na nusu, in fact ni zaidi ya miaka miwili
 
Back
Top Bottom