Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,557
Fuata maelekezo unayopewa ndugu. Naamini hutakosea kizembezembe.Ili kulinda usalama wa jambo hilo Dakika 10 si nyingi sana...
Fuata maelekezo unayopewa ndugu. Naamini hutakosea kizembezembe.Ili kulinda usalama wa jambo hilo Dakika 10 si nyingi sana...
Sasa hapo makosa ni ya nani??Suppose namba zangu ni 075423678 na niliyokosea inasoma 0754233978 . sometime ni ngumu kuona hiyo namba hapo katikati haswa ukizingatia mazingira niliyotumia hela yalikuwa kwenye gari linalotembea.
Tatizo jingine, baadhi ya wateja wa M Pesa wamezoea kutuma pesa kimazoea bila kuzingatia maelekezo. A slightly mistake inasababisha muamala usomeke kwa mtu mwingine!Tatizo la Mitandao yetu ya simu inatumia cheap labour na na watu ambao wamezoea kufanya kazi kimazoea na very short foresight kiasi kwamba kufikiri beyond the horizon ya meza zao ni ngumu sana
Ambacho hamjakitambua ni kuwa kwenye kanuni na taratibu hawaruhusiwi kutoa taarifa za mteja unless wanazihitaji watu wa upelelezi au vyombo vya usalama kama polisi na ndomana akashauriwa aende (akashtaki) kutoa taarifa polisihuo ni uzembe wa vodacom pia. sasa nini maana ya kusajili namba za watumiaji wa mtandao? kama wao wanaona shida wangekupa taarifa zake alizojisajili nazo umsake vizuri mwenyewe.
Washa taa ili uwaangazie watanzania. Kosa ni lako kutokuwa makini kwenye miamala.Kama hizi ndizo comments za watanzania walio wengi basi niamini tu nchi inakokwenda ni gizani kuliko tuliko toka.
Hapana huu si ushauri mzuri. Nadhani ipo haja ya vodacom kuboresha mifumo ya ulinzi wa fedha ili kuwalinda wateja wema. Ulinzi huu ni pamoj
a na kuweka deni kwenye akaunti ya mteja aliyetumiwa kimakosa ili atakapoweka fedha akatwe. Tunailalamikia Vodacom kwa kuwa ndiyo walengwa katika thread hii, lakini ukweli ni kwamba mitandao yote ina ulinzi hafifu dhidi ya mali za wateja wao.
Unamaanishaje? Sheria za nchi Ndiyo zinabeba lawama hii?Sheria za nchi zinasemaje juu ya hilo?
Unamaanishaje? Sheria za nchi Ndiyo zinabeba lawama hii?
Hv sasa Vodacom na Airtel wanayo hiyo huduma ya kurudisha pesa iliyo tumwa au ulio tumiwa kimakosa.
Yes ni kweli ukiingia M-pesa au Airtel money then nenda “my account/Akaunti yangu” utakuta maelezo ya ku reverse miamalani kweli mkuu?
Haya ndio tunaita matumizi mabaya ya akili,Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?
5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?
Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Kama una ujuzi wa PayPal, wape wenzako faida km vp. Inapatkn wapi na jinsi ya kuipataTunatumia pia Paypal kuagiza vitu nje kwa mtu usiyemfahamu kabisa na kama akichukua fedha zako bila kutuma item anafuatiliwa popote alipo duniani na atakamatwa