M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

Mpesa ni majanga sana usalama ni hamna kabisa kuna jirani yangu aliweka pesa km 6mil dakika kidogo line haisomi network kuwapandia hewani huduma kwa wateja kaambiwa line imekuwa swarped kuirudisha 6mil hamna kwenye acc kuwarudia huduma kwa wateja kaambiwa hela imetolewa namber iliyotoa na hela ilikoenda hazionekani jamaa alihumia hivyo
Mmh!kirahisi hvyooo!!usinitanieee!!MPESA sijui kwa nini wako hvyo
 
Kuna mtu alikosea kwangu cku Io afu nlkua nashida sana na pesa na Kama zali naona muamala wa 315k from no where fasta nilikimbia kwa wakala in 5min nikiwa Na Chang mkononi Mara paap jamaa anapig kua alikosea Na alikua anatuma ada nkamwambia mkuu yan Kama mungu mm na mgonjwa apa ndo nimepata unafuu Leo atafanyiwa OP.... nisamehe.nikakata nikazma cmu. NB ckua mwizi
Wewe ni Mwiziii na tapeliiii...!! nyauuu kabisaa
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Mtu hakai sehemu moja lafudhi ya kisukuma aweza kuwa Ana lafudhi hiyo yuko dar kesho. Inawezekana huko alikotolea hela si kwake ilimkuta tu akiwa safarini akaenda kwa wakala wa karibu akatoa hela akaendelea Na safari yake.Hata wakala akihojiwa atasema sawa nilimpa Ila simjui kama mkazi wa eneo hili au la
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata

Naona kuna kitu unatutafuta wasukuma wewe. Hakuna msukuma mwizi. Tunamwomba kaka yetu Musukuma akushughulikie wewe unayetutukana wezi kwa makosa yako mwenyewe. Mtu ni darasa la saba atawezaje kukuibia msomi ka weye? Omba msamaha
 
Wewe ulishatumia paypal kununua bidhaa nje kokote duniani na ukatuma hela na muuzaji akaingia mitini? paypal wanakuwa responsible kumtafuta mwizi na hela zako unarudishiwa
Nataka kuagiza honda Japan vipi paypal ita nisaidia
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Kwanza ukiwapigia watakupa mxtangazo kama dakika tano kwanza ndo uje kuongea na mtoa huduma.
 
Sio poa kumuanika uliye mtumia hela kimakosa, na Kama ulikua na gats izo Basi ungesema na kiwango Cha pesa ukichomtumia, isije ikawa elfu kumi na moja tu afu unakuja kumuanika kijana wa watu , bext uwe unatoa sadaka nyumba ya ibada
 
Kama mtu akiokota fedha yako kisha ukamjua na ukamweleza na una uhakika huyo utamwita nani.
Hapo hutakiwi kumuita mwizi kabisa. Na wewe huna mamlaka na hizo pesa. Cha msingi kuwa mpole mwombe achukue ¼ ya hiyo pesa kuliko kupoteza kabisa.

Yan huwezi muita mtu mwizi kwa uzembe wako wewe. Kuea mpole mkuu.
Asante Mkuu, kwa makosa yetu tusitafute excuse zisizo na mashiko!
 
Siwakubali Vodacom, lakini kwa hilo sioni kosa lao ila umezidisha malalamiko wakati makosa ni yako! Umesema we are not perfect, kwanini unataka wao wawe perfect! Nevertheless, kama hujaridhika washitaki.
Hapana huu si ushauri mzuri. Nadhani ipo haja ya vodacom kuboresha mifumo ya ulinzi wa fedha ili kuwalinda wateja wema. Ulinzi huu ni pamoj
a na kuweka deni kwenye akaunti ya mteja aliyetumiwa kimakosa ili atakapoweka fedha akatwe. Tunailalamikia Vodacom kwa kuwa ndiyo walengwa katika thread hii, lakini ukweli ni kwamba mitandao yote ina ulinzi hafifu dhidi ya mali za wateja wao.
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Makosa ni yako unatakiwa uwe makini sana. Nadhani jina la mpokeaji huwa linaonekana kabla ya kutuma.

Ngoja nikupe ujanja siku nyingine usikosee kutuma.

Kabla hujatuma nenda kwenye contact ya mtu unaetaka kumtumia pesa then copy kwa clipboard
Pale unapoambiwa weka namba ya mpokeaji ndo upaste. Huu ndo ujanja wangu siweki namba kichwani kwenye swala la pesa abadan.
 
Yaaani unitumie fedha, halafu uniite mwizi...wallah nakushitaki.
Kama utatoa pesa usiyoijua chanzo chake hutakwepa kuitwa mwizi. Na ukijifanya kushtaki utanyea ndoo tu kwani sheria ni msumeno na watoa hukumu mahakamani Hutumia references mbalimbali kabla ya kutoa hukumu.
 
Ili kulinda usalama wa jambo hilo Dakika 10 si nyingi sana...
Kuna siku nilikuwa na ahadi sehemu na nilipokuwa kukawa na vibanda vya Mpesa tu ilibidi nihamishe toka tigo kuipeleka huko ili nitoe!.
Imagine hela umehamisha kikamilifu then wanakwambia kuna tatizo la mtandao na kuirudisha subiri masaa 24!..
Usirudie sema dakika 10 si nyingi sana!.
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Mzee una hasira nae huyo jamaa!.
pole aseh!.
 
Labda kwa miaka hii, nakumbuka 2011 nilikosea kutuma hela kama hivyo, walichofanya voda walimfungia huyo mtu huduma ya m pesa na siku alipojaribu tu kuweka pesa kwenye account yake walikuwa wamkata inakuja kwangu mpaka ikarudi yote
 
Mimi jamaa alinitumia kimakosa 214,000 na baada ya kunipigia simu mtumaji mwenyewe akaniomba nimrudishie 200,000, 14,000 ibaki ya usumbufu. Nilimkubalia kwa sababu alituma benki na ilibidi nimtumie cash ya kuweka kwenye mpesa

Somo. ukituma pesa kimakosa kwanza unegotiate na mhusika isionekane unampa gharama na bugudha yeye wakati aliyekosea ni wewe. Mpe hata proposala ya kubakiza kiasi fulan kwa ajili ya kufudia usumbufu atakaoingia
 
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe

Vitambulisho tunavyowasilisha wakati wa usajili wa line ni kwa masilahi ya nani? Vinamsaidia nini mtumiaji wa huduma, nilidhani vingetumika kuwakamata hao wanaochukua fedha zisizo zao, hata kwa kuweka details zao gazetini ili kukomesha wizi wa aina hiyo.

Je Vodacom hawaoni kuwa mlalamikaji atakuwa na chuki na kampuni kwakuwa imeshindwa kumpa ushirikiano na labda kuamua kuwahama? Je wanatazama dakika mbili mbele badala ya miaka kadha mbele yamahusiano na wateja wao?

Kuna baraza fulani lilijipambanua kwenye vyombo vya habari kuwa wanawasaidia wateja wa aina a mlalamikaji, hivi wapo kivitendo au imatangazo?
 
Back
Top Bottom