M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

Nadhani huwa unapata Ujumbe kuwa Hakikisha Namba Kabla ya kutuma Fedha zako, Makosa ni yako hapo sio yao!
Hii ilikuwa customer care ya biashara za zamani ambayo bado wewe na hawa Voda wanaifuta. Kesho wakikosa wateja unasikia ohoo bla bla bla! Ni hivi: Muuzaji bidhaa yeyetu mzuri ni yule anayemjali mteja wake hata pale mteja anapokesea! Huo ujumbe hautoshi kufanya Voda wajitoe kwenye kutoa msaada! Na kama wanafanya hivyo basi wanajichimbia kaburi.
 
Mkuu Hapo usiwablame Voda hata kidogo hata Mimi niliwahi kukosea Japo ka elfu hamsini ila ikapotea kwa sababu Muhusika aliitoa, ni sawa na wewe udondoshe Fedha kisha useme kwanini Polisi wasimtafute aliyeziokota!
Akili zako ni primitive kweli kweli. Uko dunia ya wapi wewe!
 
Hapo kwa kifupi huyo so mwizi sema ni mistake yako katika operation, japo naye inabidi atumie uungwana kurejesha, na unaweza kukuta imemkuta katika situation hana hela anataka alipe marejesho access,

Jiulize kwanini hata bank wanasema count your money before you leave the counter, Au M-PESA wanasema, hakikisha namba ya mteja kabla ya kutuma pesa, mbaya zaid kabla hujatuma ina display jina, je hukugundua kwamba unayemtumia siye??

Watu walilalamika sana kutuma hela kusiko, mitandao ikaboresha kabla ya hela kwenda inaleta jina ili ujue nani anapokea
Unajua definition ya wizi ni nini wewe idiot? Hizo fedha ni zake?
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Kwa nn ume amua kumuita mwizi na ku expose number yake wakati makosa yako upande wako?
Tena siku hizi VODA kabla ya kutuma pesa wanakuambia hakikisha kama namba unayo tuma ni sahihi kuepuka kutuma kwa mtu asiye muhusika.
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Kichwa cha habari kisomeke "TUACHE UZEMBE TUNAPOTUMA PESA MITANDAONI.
 
Kiasi gani ulituma mkuu,umesema siku zote huwa unatuma hujawi kosea!!pole sana
 
Ya madhabauni uliwa na wamadhabauni unatoa zaka kweli? kama ulikuwa ujui wapi NEWTONS THIRD LAW OF MOTION inatumika wap ndo hapa sasa . pole sana una jinsi tena
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Anyway sijasoma ujumbe wako wote. Ila Mimi iliwahi kunitokea nilitumiwa ßhs 500,000 kwa namba yangu ya tigo. Saa aliyenitumia aliwapigia tigo ili wairueishe Ile hela, wakamwambia nimeshaitoa. Wakati Mimi nahangaika kumpigia kujua ni Nani na katuma hela za Nini. Alikuwa hapokei anahangaika na tigo wazuie. Baadae Sana akajapokea simu yangu nikamuuliza vizuri kumbe jamaa alikuwa analipa ada ya mwanae. Akakosea ikaja kwangu. Ukweli nilimrudishia na alinishukuru Sana.
Nachotaka kukujulisha ni kwamba siyo watu wote ni wezi. Hapana. Ila wahueumu pia wanaweza kukukatisha wewe tamaa na Kisha hela hiyo wanaichukua wao.
 
Kuwa makini unapotuma maana wanakupa text,pia wanakupa jina la unayemtumia,so haya ni makosa yako,ila wanachoweza Fanya siku akiweka hela wanakata wanakurudishia wewe ,otherwise waweke program ya mteja mwenyewe Ku Fanya reverse kama walivyo Tigo.
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
 
Unaanzaje kutuma kwa mtu asiyejulicana wakat kuna program ya kugundua mtumiwa wako kwa jina kabla ya kuconfirm???
HAPO UMEFELI WEWE ALAFU DON'T PANIC.
 
Hakuna wizi hapo, umekosea mwenyewe so ni suala la umakini wako na intergrity ya mpokeaji. But one thng angalau voda wangefanya ni Wangeweka utaratbu wa kuingiza deni kwenye line ya aliyepokea kimakosa ili siku akipokea hela ikatwe kufidia kiasi kile.
Right
 
Anyway sijasoma ujumbe wako wote. Ila Mimi iliwahi kunitokea nilitumiwa ßhs 500,000 kwa namba yangu ya tigo. Saa aliyenitumia aliwapigia tigo ili wairueishe Ile hela, wakamwambia nimeshaitoa. Wakati Mimi nahangaika kumpigia kujua ni Nani na katuma hela za Nini. Alikuwa hapokei anahangaika na tigo wazuie. Baadae Sana akajapokea simu yangu nikamuuliza vizuri kumbe jamaa alikuwa analipa ada ya mwanae. Akakosea ikaja kwangu. Ukweli nilimrudishia na alinishukuru Sana.
Nachotaka kukujulisha ni kwamba siyo watu wote ni wezi. Hapana. Ila wahueumu pia wanaweza kukukatisha wewe tamaa na Kisha hela hiyo wanaichukua wao.
KABISAAAAA....Hela wanaichukua waoo wanasema imetolewaaa
 
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
Huna hoja mkuu..

Unaoneshwa mpaka jina, unaambiwa bonhmyeza moja kuthibitisha..

Ayah, wakajua kuna watu wasio makini kama wewe wakaweka na huduma kama umekosea unapiga pesa zinarudishwa(ila ni kama haijatolewa) ..

Sasa unataka Vodacom wafanye kazi ya polisi.???

Muwage mnafikiri kabla ya kuleta uzi..
 
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
We Mbu mbu mbu kweli..

Yani mimi nina haraka, nkatumiwa pesa, nisubiri dk kumi kisa mijitu mizembe kama mleta hoja.??
 
Vodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
Bibi zetu vijijini watapata usumbufu..watashindwaa kutoa ela...kisa nyie wajanja wa mjini mnaogopa kukosea..
 
We Mbu mbu mbu kweli..

Yani mimi nina haraka, nkatumiwa pesa, nisubiri dk kumi kisa mijitu mizembe kama mleta hoja.??
Kiongozi wewe ambaye ni genius.. huwezi kuchangia bila kutoa lugha ya maudhi..
 
Happ mzembe ni wewe mwenyewe.Ingekua bado kwenye akaunti ya mtumiwaji ni rahisi kusaidiwa ikarudi lakini mtu kashaitoa wao voda wafanyaje?.Tupunguze kulaumu wengine mambo ambayo ni uzembe wetu wenyewe.Siku hizi watu sio waaminifu kwaiyo dawa ni kua makini.
 
Mkuu kama huyo mwizi yuko kanda ya ziwa we niachie mimi nitapambana nayeye hukuhuku kanda ya ziwa., Umemtumia shilingi ngapi kwanza ili nijue naandaa nguvu kiasi gani?
 
Rudi Nyumbani Kumenoga, achana na hao vodacom ni majizi kama majizi wengine tu, ukikosea hawana msaada wowote zaidi ya kukujibu hovyoooo.

Wote turudi Nyumbani ndio watapata akili
 
Back
Top Bottom