Hili nalo sio sahihi. Inaweza kupelekea mtu ukimtumia pesa alafu mkagombana unawapigia voda kwamba umekosea kutuma namba ili awekewe deni, solution ni kuwa makin wakati wa kutuma ovaHakuna wizi hapo, umekosea mwenyewe so ni suala la umakini wako na intergrity ya mpokeaji. But one thng angalau voda wangefanya ni Wangeweka utaratbu wa kuingiza deni kwenye line ya aliyepokea kimakosa ili siku akipokea hela ikatwe kufidia kiasi kile.
Fanya kazi Mzee upate pesa yako, sioni kosa la Mpesa hapo.Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Acha kufananisha PayPal na jamaa hawa njaa walishauzaga details zangu (conversations zangu za sms) na mke wa jamaa. Jamaa akaprint kama ushahidi siku akaanza kumuwashia moto mkewe kisha akaanza kuniwinda. Bila mbinu za medani ilikuwa niwe RIP tunavyozungumzaWewe ulishatumia paypal kununua bidhaa nje kokote duniani na ukatuma hela na muuzaji akaingia mitini? paypal wanakuwa responsible kumtafuta mwizi na hela zako unarudishiwa
Kuna sehemu tunakosea sisi kama wateja, suala la kukosea muamala ni kosa la mteja na kazi ya kampuni ni kukusaidia kurudisha muamala mara tu unapouripoti, lakini changamoto inakuja pale unapokuta hela imetolewa.Siyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Sasa wewe ulitaka wafanye nn hiyo ni biashara kama biashara nyingine mzee.ni sawa na unpoenda kununua chumvi,sabuni,nguo.ulitaka wafanyenye biashara ni faida mzeeTunawanufaisha sana hawa watu wa mitandao ya simu ila inapokuja mteja kapata tatizo hawana time naye
Kwa hiyo ulitaka voda wawe wanaisindikiza mpaka wamkabidhi kuwa huyu ndio mlengwa aliyekusudiwa technologia haikosei wewe mtumiaji ndio unakisea makosa yako wewe usiwaangushie lawama wengineSiyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Hali hii arudishe pesaWalichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Na hilo haliwezekani voda kuweka deni watakuwa wanafanya Froude wao wenyewe tena ni kosa.Hakuna wizi hapo, umekosea mwenyewe so ni suala la umakini wako na intergrity ya mpokeaji. But one thng angalau voda wangefanya ni Wangeweka utaratbu wa kuingiza deni kwenye line ya aliyepokea kimakosa ili siku akipokea hela ikatwe kufidia kiasi kile.
Kabla ya kuthibitisha si jina linakuna kwanza unyemtumia mzee?Suppose namba zangu ni 075423678 na niliyokosea inasoma 0754233978 . sometime ni ngumu kuona hiyo namba hapo katikati haswa ukizingatia mazingira niliyotumia hela yalikuwa kwenye gari linalotembea.