Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka


Naona kama unajikuna mwenyewe na kucheka mwenyewe vile? Hapo ndipo hoja ya kujiuzulu inakuja, pengine asingekuwa anaendelea kushikilia cheo hicho wangeweza kutendewa sawa na dogo LUDO.
 
Kwa hiyo hata CHADEMA pia wameamua kuwa kama CCM. (like CCM, like CHADEMA). Duh, mbona hii ni kali. What's a political arternative kwa mwananchi kama utendaji uko sawa.
 
Mkuu The B.Boss, kwa upande wangu, there is no dots connectable!.
Pasco.
 
albine is right, sio kila kitu kubisha tu

Wote ninyi magamba tu, sasa kujiuzulu kwake au kutojiuzulu kunawazuia nini polisi kufanya uchunguzi wao huru? kwani polisi wamewaambia kuwa kuna ushirikiano wameukosa kwakuwa lwakatare bado hajajiuzulu? wenye kumshauri ajiuzulu ni uongozi wa chama, sasa kama wao hawajaona lolote la maana la kumshauri ajiuzulu nyie ni kina nani hadi mkionee uchungu CHADEMA?? au mnataka ajiuzulu ili mpate vya kuandika humu jamvini?? NYAMB..FU wakubwa nyie.
 
Hv kama kweli Lwakatare angekuwa ni sehemu ya hii movie angekubali kutetewa na akina Lissu????
Mbona yeye mwenyewe Lwakatare kakiri ni yeye yule na baadhi ya maneno ni yake. Ile video ilirekodiwa kwa simu. I've difficulty believing he didn't see when the camera phone was being used to record him. Why CHADEMA lawyers are working on his case? they are probably giving him the benefit of the doubt. It's hard to believe such a senior official could do what he did! Besides, if they had suspended him there would've been mixed reactions. You still remember what people said when Mjengwa decided to suspend Ludovick. Why Ludovick is abandoned, it's simple... Lwakatare is already blaming it on Ludo as such you can't expect Ludo to get CHADEMA's legal help unless CHADEMA was behind this plot
 
Kwanin hakumshaur Kinana ajiuzuru baada ya compun yake kusafirisha kontena la pembe za ndovu nchn China??
Au hilo halikuwa doa kimataifa?
Au ndo tuseme yeye anaipenda sana CDM na labda anaitakia mema zaid??

Wengi watatumika kuiangusha CDM, il kulinda matumbo yao.
Wanataka ajiuzuru il kuhalalisha tuhuma, uwepo wake kwenye hiyo nafas mpaka leo hakuwazuii polis kufanya uchunguz, na kama itagundulika tuhuma zake ni za kwel hapo ndo atatakiwa kujiuzuru haraka sana.

Kes za kisiasa sio sawa na zile za utumish wa umma hasa hasa ukiwa na polis na DPP wanaotumika kisiasa...
 

ulikiorganise wewe?? mbona hamumshinikizi kawambwa kujiuzulu, upuuzi wake wizara ya elimu umesababisha vifo kadhaa vya vijana waliopata ile alama maarufu mwaka huu kwenye matokeo ya F4. Mbona hamshinikizi kagasheki kujiuzulu kutokana na tembo wetu kuuliwa kila kukicha na majangili yaliyopo ccm. Mbona hamumshinikizi mkulu wa magogoni kujiuzulu kwa kuruhusu jidege la jeshi la qatar kutua nchini na kuiba wanyamapori wetu wakiwemo twiga ambao ni alama ya taifa?? mnataka lwakatare ajiuzulu ili mpate cha kuandika humu, tumewashtukia. Hajiuzulu mtu ng'o hadi kieleweke.
 
Hivi inawezekana gamba akawa msemaji na mtoa maamuzi kwa mambo yanayohusu CDM?
 

Proof kwa hayo yote mawili imepatikana? Au ndiyo likuwa premeditated iwe hivyo unavyosema.
 

Jiuzulu wewe unayeona tuhuma za kutunga zina uzito. Mmeona kesi inaelekea kula upande wenu sasa mnataka kuhalalisha hiyo video yenu feki kwa kumshinikiza lwakatare ajiuzulu. Mgeanza kumshinikiza mkulu wa kaya ajiuzulu kwanza yeye manake kuna mikashfa kibao ameshindwa kuishughulikia ambayo wala haiitaji uchunguzi wa kina kwasababu mingi ipo wazi kabisa hata watoto wadogo wanaijua.
 
Point yako hapa ni nini?.

Kwa hiyo kama CCM haiwashinikizi hao uliowataja kujiudhulu pia ni ruksa kwa CDM kutowashinikiza viongozi wake kujiuzulu.

LIKE CCM, LIKE CDM.

Siyo mbaya kwa mawazo na utendaji huo sababu tuko mabingwa wa copy & paste.
 
TIMING
Hivi niambie hii case hiko kwenye mikono ya chadema au mikono ya jamhuri?

Hivi cheo cha lwakatare kinazuia vipi uchunguzi hebu tueleze?
kesi ipo kwenye mkono wa jamhuri na haitofautiani sana na tuhuma zinazotufanya tutake akina chenge wasiwe wabunge, akina lowassa wasiwe kwenye kamati za bunge na akina rage wasiwe wabunge

hizi tuhuma ni nzito, kuachia madaraka kupisha uchunguzi ni uwajibikaji

chadema haitakiwi kufanya inachoyanyooshea kidole, tumeshasikia matamko ya fulani ajiuzulu kupisha uchunguzi, tumesikia nchi itasimama tar 25 March, ili fulani ajiuzulu, ni tuhuma sio hukumu

chadema should walk the talk and ask lwakatare kwa ridhaa yake aachie ngazi kupisha uchunguzi, kumbuka
 
Magamba mama yako!!!

wanaojua michango wanajua wapi nimesimamia, at least albine is brave enough to say it na ni kamanda wa chadema sio wewe kimbwenelehi

fcuk you, wazazi wako, mifugo yako (kama unayo), bwanako, na vizazi vyako vyote

sio mnaropoka tu

shenz type
 
Proof kwa hayo yote mawili imepatikana? Au ndiyo likuwa premeditated iwe hivyo unavyosema.
Unataka proof gani wakati video inayomuonyesha Lwakatare akipanga mbinu za medani za kijasusi ina sauti ambayo kama masikio yako mazuri unaweza kusikia.
 

Hillarious indeed....
 
Last edited by a moderator:
1. Kimsingi Ile Video ili rekodiwa Purposely Kuchafua CDM
2. Inawezekana pia Lwakatare amehusika hapa kwa Namna Moja ama Nyingine
Important
Tusubiri Tuone, Hii kesi tamu kweli kweli, na sitashangaa kusikia DPP kaamua kuifuta hii kesi
Mkuu Bramo, ili jinai itendeke, lazima kwanza itanguliwe na "actus reus" kitendo cha jinai (kuyasema yale maneno) yaliyorekodiwa. Aliyerekodi mkanda ule hana hatia "if" mara baada ya kuurekodi, aliufikisha kunakohusika, nao wakawa wanasubiri utekelezaji tuu!. Ila aliyerekodi, anahusika kama "accesory before the fact" kama ni mashirika!. Kitakachofuatia ni kwa aliyerekodi, kukubali ku confess kila kitu kwa kuahidiwa msamaha!. That being the case, siku ya kutajwa tena, DPP ataifuta tena hivyo kesi, na wote wataachiwa, wakishatoka tuu nje ya chumba cha mahakama, watakamatwa tena, ni Rwakatare tuu ndio atafunguliwa mashitaka ya "kula njama za utekaji nyara" na sio "ugaidi", Ludo hatashitakiwa, bali atawekwa chini ya ulinzi(kwa usalama wake), mpaka kesi itakapoanza kusikilizwa!. Atawekwa chini ya ulinzi kwa sababu ndiye atakuwa shahidi wa kwanza wa Jamhuri, P1!.

Ili jinai ikamilike, lazima serikali ithibitishe beyond reasonable doubt kuwa Rwakatare alikuwa na nia ya kuyatenda hayo, (mens rea)!. Rwakatare na alierekodi walikubaliana kuwa wa "act" tuu hiyo movie ya utekaji nyara kwa "sababu", then hakuna kesi!.

Yes DPP anaweza kuamua kuifutilia mbali wakati wowote, bila kutoa sababu yoyote kwa yoyote, kwa sababu hiyo ni sehemu ya mamlaka yake!.

Pasco.
 

hakuna dots wala spin mkuu, sometime kwenye life tunazitafuta dots na spins kwa illusions zetu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…