Naomba tuvumilane kwa sababu JF ni sawa na kijiji ambamo hata wenye uwezo mdogo wa kufikiri wanaruhusiwa kuishi.
Kwa mtu anayetumia muda wake vizuri kufikiri mambo kabla ya kuongea au kuchangia hoja angefikiria haya;
- Kwa nini jeshi la Polisi lililazimika kuvunja sheria na kumshikiria kwa muda ambao alitakiwa awe amekwishafikishwa mahakamani?
- Kwa nini Lwakatare awe na mawakili wengi vile wakati Ludovick kaachwa na yeye ni CHADEMA?
- Kwa nini mkurugenzi wa upelelezi aliamua kumfutia makosa?
Ukweli utajulikana soon.Hatutakiwi kubishana na wenye ubongo mdogo kama wa kuku.
Naona kama unajikuna mwenyewe na kucheka mwenyewe vile? Hapo ndipo hoja ya kujiuzulu inakuja, pengine asingekuwa anaendelea kushikilia cheo hicho wangeweza kutendewa sawa na dogo LUDO.