Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

Kama anataka Lwakatare ajiuzuru basi pia uongozi wote wa juu wa CHADEMA ujiuzuru pending court case kwa sababu Lwakatare alikuwa anafanya kile ambacho kimekuwa sactioned by CHADEMA machinery.

Huwezi ukawa na kiongozi wa juu mwenye fikra za KISHETANI na systematically anafanya mambo ya KISHETANI bila party high office kufahamu otherwise hiyo ofisi itakuwa haina kiongozi makini.
Alichokuwa anakifanya Lwakatare ni methodical organised.

Sasa wewe Magamba a.k.a Mbulula, ndo tuseme wewe ni mahakama kumhukumu yeye na chama. Najua una akaunti nyingi kwa majina tofauti hapa JF kwa lengo la kupotosha umma. Hicho ni choo cha kike. Hajiuzulu mtu na kesi itawaumbua. Mwambie shoga yako kuwa nafasi yake ya kazi pale BOT imeshajazwa. Sijui baada ya October 2015 ataenda wapi. Anakaribishwa na Mzee Yusufu akasaidie kuimba korasi. Ila haruhusu ule ushungi anaouvaa shingoni
 
1.Kinana ana tuhuma za kutorosha nyara, Kinana ana tuhuma za kumtishia maisha mwarabu mwekezaji loliondo

2. Kawambwa ana tuhuma za kuua wizara na elimu pamoja na kufelisha wanafunzi

3. Chenge ana tuhuma za Radar

4. Mawaziri kadhaa wana tuhuma za kuchakachua vyeti vya elimu ikiwa ni pamoja na PHD za kutoka vyuo hewa

5. Madabida ana tuhuma za kusababisha mauaji ya halaiki kwa kuuza dawa feki za ARV/HIV

6. Kikwete ana tuhuma za kuhusika na kesi za EPA

7.Mwema na jeshi la polisi wana tuhuma za kuua raia (Crime agaist humanity and tourture)

8. Jack zoka ana tuhuma za UTESAJI/UTEKAJI na MAUAJI

9

10

11

12
 
hizi ndio comment na akili za vijana wa chadema...chama kimekununulia ipad, kinakulipa mshahara kikakupa kazi ukeshe mitandaoni kukinusuru, wewe unakuja na comment za hivi? Ovyo kabisa
 
Sasa wewe Magamba a.k.a Mbulula, ndo tuseme wewe ni mahakama kumhukumu yeye na chama. Najua una akaunti nyingi kwa majina tofauti hapa JF kwa lengo la kupotosha umma. Hicho ni choo cha kike. Hajiuzulu mtu na kesi itawaumbua. Mwambie shoga yako kuwa nafasi yake ya kazi pale BOT imeshajazwa. Sijui baada ya October 2015 ataenda wapi. Anakaribishwa na Mzee Yusufu akasaidie kuimba korasi. Ila haruhusu ule ushungi anaouvaa shingoni
Kama mimi ni magamba wewe ni nani?.

Ulichofanya hapa ni kupiga soga na ngonjera ndefu kama kawaida yenu wengi hapa JF.

Kama mimi nina hukumu, wewe unayesema kuwa nafasi yake imejazwa hapo BOT ndiyo kusema nini?. Wewe ni mwajiri, mahakama na tayari umeishahukumu bila hata ya mshitakiwa?.
 
Daaa hizi ni hoja za kitoto kabisa!
Lwakatare yuko lupango alaf mtu anakwambia ajiuzulu kupisha uchunguzi huru! Hivi jeshi la polisi linazuia nini kufanya uchunguzi kama sio upungufu wa kufikiri?

Alaf yeye ni nani kuipangia chadema cha kufanya?

Na Albinei Marcossy Wa Taasisi ya Raia na Haki za kisiasa na mwenendo wa Bunge( CPRW) amemtaka Mkuu wa usalama wa CHADEM wilfred Lwakatare kujiuzulu mara moja ili kupisha uchunguzi huru kwa jeshi la polisi.Pia kujiuzulu kwake kutasaidia kukiepusha chama na kuchafuka machoni kwa waanchi.
Kupitia Vyombo vya habari amesisitiza kuwa,Kitendo cha Lwakatare kuendelea kuwa mkuu wa usalama wa chadema na huku anamashitaka ya Ugaidi ni doa kwa chama na hakuleti picha nzuri kwa kuzingatia misingi ya utumishi.
 
TIMING
Hivi niambie hii case hiko kwenye mikono ya chadema au mikono ya jamhuri?

Hivi cheo cha lwakatare kinazuia vipi uchunguzi hebu tueleze?

albine is right, sio kila kitu kubisha tu
 
Last edited by a moderator:
Na Albinei Marcossy Wa Taasisi ya Raia na Haki za kisiasa na mwenendo wa Bunge( CPRW) amemtaka Mkuu wa usalama wa CHADEM wilfred Lwakatare kujiuzulu mara moja ili kupisha uchunguzi huru kwa jeshi la polisi.Pia kujiuzulu kwake kutasaidia kukiepusha chama na kuchafuka machoni kwa waanchi.
Kupitia Vyombo vya habari amesisitiza kuwa,Kitendo cha Lwakatare kuendelea kuwa mkuu wa usalama wa chadema na huku anamashitaka ya Ugaidi ni doa kwa chama na hakuleti picha nzuri kwa kuzingatia misingi ya utumishi.

taswira hii issue inaweza kuwa shubiri kwe mpango wenu soon mtatupiwa virago inshort mnakubalika kwa wale waliowapa hiyo kazi ila wanachama hawapo nanyinyi coz wanajua mnachangia kukiua chama chao na mbinu zenu za kimbulula
 
Daaa hizi ni hoja za kitoto kabisa!
Lwakatare yuko lupango alaf mtu anakwambia ajiuzulu kupisha uchunguzi huru! Hivi jeshi la polisi linazuia nini kufanya uchunguzi kama sio upungufu wa kufikiri?

Alaf yeye ni nani kuipangia chadema cha kufanya?

Kuna kitu nimejufunza kwenye maisha, a very big lesson

Kuuachia MDOMO kuongea bila kibali cha UBONGO is such a devastating disaster
 
Ni muhimu sana. Binafsi nashangaa kwa nini CHADEMA hawakumsimamisha Lwakatare mara alipopatikana na hii tuhumu kubwa. Ilikuwa ni muhimu CHADEMA kumwengua Lwakatare na kuanzisha uchunguzi wao huru. Bila kufanya hivi inatoa taswira kwamba walikuwa wanajua kilichokuwa kinaendelea na tuhuma hizi inakuwa rahisi kuzihusisha na chama, na iso Lwakatare pekee.

Sasa CHADEMA watatoa wapi moral authority ya kuwataka kujiuzulu viongozi wa serikali na CCM watakaokuwa wanatuhumiwa kwa mambo mbalimbali kama ufisadi?
 
Ndugu STIDE hapa hakuna sababu za msingi za lwakatare kujiuzulu! Kwanza hii case haiko mikononi mwachadema mpaka tuseme cheo kinaweza athiri uchunguzi! Hii case hipo mikononi mwapolisi!

Hakuna uchunguzi unaoweza kuharibika hata hivyo lwakatare yuko lupango!

Swala la kujiuzulu ni hoja ya kitoto kabisa!
Kama tuhuma zinzomkabiri zingekuwa japo na 2% ya ukweli angekuwa sahihi!!!

Kama ndo mission yao hiyo imekula kwao!! "Lwakatare ndie Afsa usalama CDM Taifa!!!" Otherwise mjinyonge!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huo uchunguzi unafanywa na nani kati ya chadema na polisi?
Chadema hawawezi kukurupuka kiasi hicho!

Ni muhimu sana. Binafsi nashangaa kwa nini CHADEMA hawakumsimamisha Lwakatare mara alipopatikana na hii tuhumu kubwa. Ilikuwa ni muhimu CHADEMA kumwengua Lwakatare na kuanzisha uchunguzi wao huru. Bila kufanya hivi inatoa taswira kwamba walikuwa wanajua kilichokuwa kinaendelea na tuhuma hizi inakuwa rahisi kuzihusisha na chama, na iso Lwakatare pekee.

Sasa CHADEMA watatoa wapi moral authority ya kuwataka kujiuzulu viongozi wa serikali na CCM watakaokuwa wanatuhumiwa kwa mambo mbalimbali kama ufisadi?
 
Sasa huyu Albiney Marcossy yupo nchi gani? Hajui kwamba "utunzi" wa mashtaka juu ya Rwakatare bado haujakamilika! Hilo shitaka la "ugaidi" lenyewe analozungumzia Marcossy bado linafanyiwa "uhariri". Draft ya kwanza inaonyesha kwamba wameondoa neno "ugaidi" na "kubadilisha namba ya shitaka". Hoja zingine zote ndani ya shitaka bado zipo vilevile. Nadhani hii hoja ya kujiuzulu Rwakatare iletwe serikali itakapokamilisha mchakato wa kutengeza shitaka dhidi ya Rwakatare. Kwasasa inaonekana hii hoja ni "premature".
 
kayaongelea wapi haya ? ..akaoge mkojo wa mjusi ama sivyo Lwaka ndo keshafika na 2015 tunachukua pale bkb town
 
Kama anataka Lwakatare ajiuzuru basi pia uongozi wote wa juu wa CHADEMA ujiuzuru pending court case kwa sababu Lwakatare alikuwa anafanya kile ambacho kimekuwa sactioned by CHADEMA machinery.

Huwezi ukawa na kiongozi wa juu mwenye fikra za KISHETANI na systematically anafanya mambo ya KISHETANI bila party high office kufahamu otherwise hiyo ofisi itakuwa haina kiongozi makini.

Alichokuwa anakifanya Lwakatare ni methodical organised.

hata lowasa alivyotupiga changa la macho kwenye richmond jk alibariki.vipi alijiuzulu?mkuu ili uende mbinguni ni lazima ufe not otherwise
 
Kama nimemsoma Vyema Lisu Hapa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/422351-akhsante-tundu-lisu-na-chadema.html

Kimsingi Lisu anaoneka zaid kusimamia Maslahi ya CDM, ukimsoma kwa undani zaid yuko Very much Focused Kumjua ni nani aliyesuka Hii Movie.
Na hapa CCM hawatachomoka, Lissu hajakanusha kuwa Lwakatare hakuhusika, Mark my words, ila Lissu anataka kuudhihirishia Ulimwengu kuwa.
Hii Movie ni Mpango mchafu wa CCM kwa kushirikiana na Vyombo vya dola including TISS kuvuruga CDM imgwa wataangukia Pua.
Ukiangalia Flow ya Mawasiliana ya Ludo na Mwigulu 28/12/2012 na kesho yake Mwigulu kutangaza kumiliki Mkanda ukionesha Viongozi wa CDM na mipanga
ya Mauaji through Star TV, Ukiangalia email ya Michuzi kwa wana Ikulu wenzake akiwapa Kudos TISS kwa kazi nzuri, na Mwisho kabisa ukiangalia
Mawasiliana ya Denis Msaki na Lwakatare a day before Movie haijarekodiwa, hapo utagundua kuwa.

1. Kimsingi Ile Video ili rekodiwa Purposely Kuchafua CDM
2. Inawezekana pia Lwakatare amehusika hapa kwa Namna Moja ama Nyingine

Important

Hapa CDM wanatakiwa waendelee kusimamia hoja yao ya ni nani alimtuma Ludo ku record Mkanda.
Fursa Pekee itakayowezesha hili ni Kwa kuendelea Kumtetea Lwakatare Mahakamani hata Ludo akitaka Huo Msaada.
Najua CCM hakulifikiria hili Before,.
Hapa tutawakamata CCM na Serikali yake na who knows, Ukombozi unaweza Kuanzia hapa.
Lakini kitu Kingine ambacho kinapunguza Imani ya wengi kuamini kuwa Lwakatare anahusika hapa ni Yeye kukubali Kudhaminiwa na akina Lissu.
Kama kweli angekuwa anahusika, asingekubali Kutetewa na akina Lissu maana Risk ya yeye kutetewa na akina Lissu kama kweli
na yeye ni part ya Wana hii Movie ni Kubwa sana, angeweza tu kutafuta Ma wakili wengine, au hata akina Mwigulu wangeweza Kufanya
Arrangement ya kumuwekea Mawakili feki wa Kuzugia, utakubali vp kutetewa na Mtu ambaye unajua Kabisa umemsaliti!!!!!!!!!!!
Unless akina Lissu nao ni sehemu ya Hii Movie

Tusubiri Tuone, Hii kesi tamu kweli kweli, na sitashangaa kusikia DPP kaamua kuifuta hii kesi
 
1.Kinana ana tuhuma za kutorosha nyara, Kinana ana tuhuma za kumtishia maisha mwarabu mwekezaji loliondo

2. Kawambwa ana tuhuma za kuua wizara na elimu pamoja na kufelisha wanafunzi

3. Chenge ana tuhuma za Radar

4. Mawaziri kadhaa wana tuhuma za kuchakachua vyeti vya elimu ikiwa ni pamoja na PHD za kutoka vyuo hewa

5. Madabida ana tuhuma za kusababisha mauaji ya halaiki kwa kuuza dawa feki za ARV/HIV

6. Kikwete ana tuhuma za kuhusika na kesi za EPA

7.Mwema na jeshi la polisi wana tuhuma za kuua raia (Crime agaist humanity and tourture)

8. Jack zoka ana tuhuma za UTESAJI/UTEKAJI na MAUAJI

9

10

11

12

9.lwakatare ni gaidi 10. Slaa mporaji wa wake za watu, kula hela za kanisa na kufisadi miradi ya maji karatu. 11....
 
hata lowasa alivyotupiga changa la macho kwenye richmond jk alibariki.vipi alijiuzulu?mkuu ili uende mbinguni ni lazima ufe not otherwise
Maswala ya richmond na Lowassa anzisha UZI mwingine tuchangie. Hapa ni hoja nyingine. Kama hukuielewa, soma tena hapo juu.
 
Ni vizuri kwa Lwakatare kujiuzulu lakini tusisahau pia kwamba Uhuru alipata baraka za Kikwete kuendelea na kampeni yake ya urais hali ya kuwa Uhuru ana kesi ICC!
 
Back
Top Bottom