Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Taswira, Mar 23, 2013.

 1. Taswira

  Taswira JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2013
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na Albinei Marcossy Wa Taasisi ya Raia na Haki za kisiasa na mwenendo wa Bunge( CPRW) amemtaka Mkuu wa usalama wa CHADEM wilfred Lwakatare kujiuzulu mara moja ili kupisha uchunguzi huru kwa jeshi la polisi.Pia kujiuzulu kwake kutasaidia kukiepusha chama na kuchafuka machoni kwa waanchi.
  Kupitia Vyombo vya habari amesisitiza kuwa,Kitendo cha Lwakatare kuendelea kuwa mkuu wa usalama wa chadema na huku anamashitaka ya Ugaidi ni doa kwa chama na hakuleti picha nzuri kwa kuzingatia misingi ya utumishi.
   
 2. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #81
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hongera kwa uchambuzi makini.
   
 3. Thomas Sankra Jr

  Thomas Sankra Jr JF-Expert Member

  #82
  Mar 23, 2013
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 418
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  kaka vp tena kwani una subira punguza ukari wa matusi ban tutakukosa.
   
 4. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #83
  Mar 23, 2013
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 635
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  unamaanisha DAFIHU pia
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #84
  Mar 23, 2013
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,831
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  kamanda soma alivyonitukana simply kwa kutoa mawazo yangu

  unajua mapimbi wengine humu dawa yao ni hiyo tu

  a ban will help do other things that watching pimbi kama huyo jamaa hapo juu aendelee kuhukumu watu bila kuelewa misimamo yao

  kajamaa kanadhani kila mwenye wazo mbadala ni magamba, kapimbi sana aisee

  ni ni mara ya pili sasa kanakatiza mbele ya nuts zangu, and i dont take poops
   
 6. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #85
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  UFUNGUO wa kesi hii uko kwa Ludovick kama kweli yeye ndiye aliye record hiyo video na kuisambaza.

  Swala la kuongeza maneno au la katika video halina tatizo hata kidogo kudhibitika kitaalamu kwa sababu mtuhumiwa ameisha kubali kama ile ni sura yake

  Kama Ludovick atakubali kuwa shahidi kwa Plea bargain deal, basi Lwakatare atakuwa na wakati mgumu mahakamani kama kuna madudu mengine ambayo aliisha yafanya pia kabla ya hili kutokea kwa vile Ludovick amekuwa embedded pale makao makuu CHADEMA kwa muda mrefu.

  Kesi hii ni tamu kwa mwelekeo wa siasa nchini.
   
 7. k

  kukukakara JF-Expert Member

  #86
  Mar 24, 2013
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Tuchukue mathalani ndio Lwaka mwenyewe na sauti yake, kwa tafsri ya ugaidi ni sehemu gani ktk video lwaka anaonyesha anawakilisha vuguvugu fulani linalopinga uwepo wa serikali halali iliyoko madarakani. Je kinachosemwa kina tofauti gani na mipango ya kulipizana visasi baina ya eatu wawili ....Kubwa zaidi video itakubalika kama halisi -genuine na pia kisheria kama ushahidi. Mscho na masikio yetu si ithibati ya haya, kuna kazi zaidi unavyofikiri
   
 8. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #87
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ofcourse, sijasema kama hakuna kazi mbeleni. Sheria zipo na kazi ya wanasheria ni kuzitafsiri na ku-challenge. Kwa sasa tunachofanya hapa ni ku-premeditate kwa kusikia kutoka upande mmoja wakati hata kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa.

  Ninatumaini kama kesi ikianza kusikilizwa tunaweza kupata picha nzuri zaidi kutengeneza mtazamo mzuri zaidi.
   
 9. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #88
  Mar 24, 2013
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,855
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  ungweza kutumia kiswahili katika andiko lako lote na ukaeleweka vema tu, maneno mengi ya kiingereza uliyotumia sio sahihi, sio lazima na wala sio sharti la JF kuwa ili uonekane umeleta mada murua lazima uchanganye kiswahili na kiingereza.
   
 10. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #89
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ningekuelewa kama angekuwa ametekwa Msaki. Atekwe Kibanda na tena kwa mbinu tofauti na zile za clip halafu mkurupuke kusema ACTUS REUS imetimia! Na kama ni Kibanda motive ni nini? Hii commentary yako imejikita kwenye kutulainisha. Na ule uvumi wa Ludo hayupo magereza
  kumbe ni kweli. Ashawekwa under witness protection?
   
 11. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #90
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  sikutegemea hata mimi wajuzi wa lugha ya kiingereza kama wewe kama wataelewa maneno ninayotumia lakini ujumbe wangu utakuwa umefika hata kama ni kwa njia iliyokuwa na mashimo ya lugha kwa wajuzi wa lugha wachache kama wewe.
   
 12. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #91
  Mar 24, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,124
  Likes Received: 1,741
  Trophy Points: 280
  Nani aliyekuwa anamtuma lwakatare kufanya ile kazi? Kwa manufaa gani? Kwanini? Ameshamtuma kazi kama hizo ngapi? Mafanikio yake ni yepi? Nini madhara yake?
   
 13. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #92
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwigulu
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #93
  Mar 24, 2013
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,622
  Likes Received: 23,762
  Trophy Points: 280
  Mkuu Azipa, ili kosa litendeke (actus reus), sio lazima action itake place, ule tuu uwepo wa nia ya kutenda jinai, (mens rea), na kupanga kuitenda "attempted abduction" ni kosa tosha, kama ilivyo "attempted murder" hata kama kifo hakikutokea. Kwa kesi ya Rwakarare, the "actus reus" yaani kitendo ni yale matamshi!. Hata mkimtishia mtu kwa maneno tuu "nitakuua!", tena kwa utani, kama kuna mtu jirani alisikia, uliemtishia akikushitaki, na shahidi akatoa ushahidi, unaweza kula mvua!.

  Ya Kibanda ni mengine!, kwa vile kuna dots zinamconnect Kibanda na Ludo, ikitokea ni kweli Ludo has a role, kwa polisi wetu walivyo na uwezo mdogo, wanaweza kutumia "generalization" ya "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliyekula nyama" hivyo msije shangaa kibao kikageuka!.

  Ludo hayupo magereza kwa sababu za kuhojiwa, na hata aki confess pia nako ni kuhojiwa!, uwezekano wa kukiri na kugeuka witnes upo!. Wenye kumbukumbu ya ile kesi ya uhaini ya mwaka 82, mwanzo walikuwa washitakiwa 42, baadaye wakabaki 23, hao wengine wakafanywa ndio ma PW's.
  Pasco.
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #94
  Mar 24, 2013
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,622
  Likes Received: 23,762
  Trophy Points: 280
  Sii kweli, kuna maneno ni rahisi zaidi kuyatumia kwa Kiingereza kuliko kwa Kiswahili!. Kuna watu wamepiga shule humu hadi hufikiri kwa Kiingereza, you know you know nyiingi, inifwakiti, wengine hata kucheka, wanacheka kizungu!.
  Mfano hebu tutafasirie haya
  pending court case
  sactioned by CHADEMA machinery.
  systematically
  party high office
  otherwise
  methodical organised.
  Pasco.
   
 16. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #95
  Mar 24, 2013
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,855
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
   
 17. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #96
  Mar 24, 2013
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kaka hakuna wa kujinyonga bali lwakatale ndiye wa kunyonga kwa mipango yake ya kigaidi then anafuata mbowe make ndiye anayemtuma kufanya ugaidi
   
 18. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #97
  Mar 24, 2013
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  lwakatale hutumwa na mbowe pamoja na slaa na wamefanya matukio mengi sana ila mungu ameamua kuwaumbua mfano lwakatale akiwa cuf kabla ya kujiunga chadema alipanga na kutekeleza mauaji ya kijana mmoja pale temeke dsm
   
 19. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #98
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sawa njama ni jinai. Lakini Mwigulu alidai ana vielelezo vya hizi njama je hakuwa na wajibu wa kisheria wa kuvipeleka polisi? Au hata hao polisi walifanyia kazi hiyo taarifa ya Mwigulu considering that it was covered on a national TV. What happened to dectection and prevention of crime? Mwigulu aoneshe hivyo vielelezo vyake kama anataka tusimshakie kwamba naye alikuwemo kwenye hiyo njama
   
 20. MwanaDiwani

  MwanaDiwani JF-Expert Member

  #99
  Mar 24, 2013
  Joined: Mar 22, 2013
  Messages: 5,536
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Watu kama wewe mnaojifanya 'wasomi' wa Tanzania hakuna lolote. Wewe umeona makosa tu kwenye kingereza. Hebu niambie, kwa usomi wako unaodai, ni makosa mangapi ya watumia kiswahili kisicho na structure wala semantic katika uzi huu umebainisha hapa na umewaomba waandike kwa lugha zao kwa vile kiswahili chao hakileti maana.

  Watu kama wewe mnaposhindwa kujibu hoja, mnakimbilia kutafuta vijisababu vya kitoto mkidhania kwa kufanya hivyo, mleta bandiko atakuwa subservient. kwangu ni sawa na kupiga ngumi kwenye mwamba. Been there, done that.

  Usipoteze muda wako. Jibu hoja, kama sina hoja, press next button. FINITO.
   
 21. C

  COPPER JF-Expert Member

  #100
  Mar 24, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  Alijitorosha.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...