Pouwa mkuu!Basi naomba niombe radhi kwa niaba yake si vema kutukaniana wazazi hawahusiki kabisa huku
Wewe jamaa una hekima sana
Pouwa mkuu!Basi naomba niombe radhi kwa niaba yake si vema kutukaniana wazazi hawahusiki kabisa huku
Tuipotezeepanic ! dawa ya moto ni moto , jiangalie kule ulikoanzia .
Mwenye majungu n yupi kat ya aliyebambikiza ugaid au aliyebambikizwa? Tumia akil angalau kidgoNyumbu bhana!
Uchaguzi na mbwembwe zake viliisha tangu oktoba 2015!
Sasa ni kazi tu!
Majungu bakini nayo huko huko Ukawa!
nimecheka sana ! hivi hawa jamaa wapo nchi hii ? namhurumia sana ludovic , maana malipo ya ukatili kama huu ni balaa !
Ngoja amlipue sasa ndio atajuakitendo cha kumsingizia mtu ugaidi halafu mtu huyohuyo unakuja kukutana naye bungeni ni zaidi ya aibu .
dah nimetafta jina linalofanana na akiri zako likakosa ila kama sitokutendea haki bali wewe ni gunziNyumbu bhana!
Uchaguzi na mbwembwe zake viliisha tangu oktoba 2015!
Sasa ni kazi tu!
Majungu bakini nayo huko huko Ukawa!
Hata ushahidi wa ufisadi wa Lowassa Chadema hadi leo hawajautoa hahahhahaNi wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba kuna watu walijiapiza kuthibitisha ugaidi wake duniani na hata mbinguni
Ikumbukwe kwamba ndugu Mwigulu nchemba aliwahi kujiapiza kwamba anao ushahidi usio na chembe ya mashaka ambao anaweza kuutoa hata mbinguni kuthibitisha ugaidi wa kamanda lwakatare . lakini cha kushangaza ushahidi huo alishindwa kuuwasilisha kwenye mahakama za duniani .
Mkuu nikila za uso natoa za chembe ya moyo!Utakula za meno wewe...
......he sasa hapo nani kamtukana mwenzakeKima
mwenyewe, shoga wewe!!
Utaweza kweli, mana kuna ngum nyundo...Mkuu nikila za uso natoa za chembe ya moyo!
Jino kwa jino
Huyu mzee ni hewa asijifananishe na mwiguluNi wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba kuna watu walijiapiza kuthibitisha ugaidi wake duniani na hata mbinguni
Ikumbukwe kwamba ndugu Mwigulu Nchemba aliwahi kujiapiza kwamba anao ushahidi usio na chembe ya mashaka ambao anaweza kuutoa hata mbinguni kuthibitisha ugaidi wa kamanda Lwakatare lakini cha kushangaza ushahidi huo alishindwa kuuwasilisha kwenye mahakama za duniani .