Lwakatare amlipua Mwigulu bungeni

Lwakatare amlipua Mwigulu bungeni

N

ni kweli huko njiani kuna mawe na mibuyu mingi imeandikwa mwigulu ni Rais, watu wanaomfahamu mwigulu wakikupa story zake utashangaa ni njia zipi ama vigezo gani Magufuli katumia kumpa Uwaziri, kumbuka Mwigulu ni mmoja wa wapigaji pesa za Escrow zile zilizobebwa kwenye viroba na camera kuzimwa, Mwigulu alipiga 10% kwa kila mfanyabiashara aliyekuwa akiidai hazina aliwalipa chap chap wakati ameshika Ofisi Waziri kamili alikuwa kwenye matibabu india akatumia huo mwanya kulipa madeni sugu na kujipatia Mamilion ambayo aliyatumia kununua Goli la mkono, Mwigulu hata Magufuli alimteua kwa shinikizo la ccm makao makuu yaani JK na Kinana na wenzao kumbuka kuwa pindi kapeni ikiendelea yeye na January makamba walipiga billion 1.7 hadi Magufuli akapagawa, ndipo wajanja wanakimbilia China kuomba misaada bahati yao China wakatoa mapesa mengi sana yanatumika kuchakachua matokeo, kununua magoli ya mkono nk hadi zikabaki wakagawana wajanja wachache kule ccm wakao makuu.
Mungu akulinde sana mkuu .
 
Lwakatare ana huruma sana, ingekuwa Mimi tungeshagawana nyumba za serikali zamaaaani na miye nikaenda Segerea kula maharage maisha yote yaliyobaki
 
chama cha demokrasia na maendelo (chadema), juzi kimeonyesha jinsi kilivyokomaa kidemokrasia, pasi na mashaka, baada ya mbunge mh. wilfread rwakatare mbunge pendwa na mwakilishi wa jimbo la bukoba mjini, kusimama na kumshutumu mh. mwigulu lameck nchemba, aliemtumu kuwa yeye ni gaidi! na anaweza kuthitisha ugauidi wa kamanda lwakatare hata mbinguni! maneno haya mh. waziri mwigulu aliyajoa kwenye bunge la 9 chini ya spika mh. anne makinda(mstaaf) MH LWAKATARE ALIFURAHISHA WANANCHI-WAPIGA KURA WAKE, KWA KUMCHAGUA KWA RUNDO! LA KURA! PAMOJA NA TUHUMA KUWA YEYE NI GAIDI, CHA AJABU ALISEMA ATATHIBITISHA HATA MBINGUNI! MH. MWIGULU NCHEMBA, SIJAJUA HILO JINA LA BABU YAKE LINA MAANA YA ILE CHEMBA! TUNAYOITUMIAGA KUPOOP! AU?!, AMESHINDWA KUTHIBITISHA KWENYE MAHAKAMA HATA ZA DUNIANI TU! ACHANA NA AHERA/JEHANAM! JE AENDELEE KUAMINIWA?
 
Lwakatare ni gaidi hata aruke ruke vipi watanzania tunajua kuwa yeye ni gaidi tu.
 
Lwakatare ni gaidi hata aruke ruke vipi watanzania tunajua kuwa yeye ni gaidi tu.
Mnao mfahamu kama yeye ni gaidi hamna nia nzuri na nchi yetu, kwanini hamkumuwekea pingamizi ili asigombee ubunge? hamuoni kwamba ni aibu sana bungeni kuwa na Gaidi, na kama uyasemayo ni ya kweli hata vyombo vyetu vya usalama siviamini kabisa, haiwezekani magaidi yakaruhusiwa kuwa viongozi katika nchi yetu?
 
usikonde mkuu , huyo bwana Simiyu yetu ni mmoja wa wale vijana wa mitandaoni wanaishi kwa hisani ya ccm , nadhani umemsikia mwenyewe kikwete akiwaongelea juzi .
 
kuna majungu kuzidi ya kumsingizia binadamu mwenzio ugaidi ? Mwigulu amuombe radhi lwakatare haraka sana , huu ni ushauri wa bure .
Mkuu kwa akili ya mwigulu huyo tunaye mjua aliye mshirikisha mungunkwenyevushahidi wake juu ya lwakatare, hawezi kuomba msamaha hata siku moja
 
Hilo halitafutika, bali litafunikwa tu, kumbuka hilo swala lilikuwA baya sana na lilitishia uhai wa Rwakatare, kumbuka alikuwa akiugua sukari na walimnyima kutumia dawa, ipo siku watesi wa lumumba established wapinzani wakishika dola..acheni ubwege mnaua na kutesa sana wapinzani
Mkuu hayo yote yana mwisho maana matatizo ni sawa na jua huwa halichagui sehemu ya kuangaza
 
Mkuu hayo yote yana mwisho maana matatizo ni sawa na jua huwa halichagui sehemu ya kuangaza
Mmawia ni kweli yatapita but nasikitika yataisha kwa mwisho mchungu.
Kuna watu wamejimilikisha nchi hii wanajiona wao ni miungu watu, wako tayari kuua bila sababu au kutesa wengine au kuwabambikizia kesi wengine bila kujali utu wa wahusika. Hili huleta uchungu katika jamii, watanzania ni wavumilivu lakini wakati unakuja uvumilivu utawashinda.
Ninawaonya kuwa malipo ni hapahapa
 
Nakubaliana na wewe 100% uvumilivu una mwisho wake,na huo mwisho wake mkuu ndio umeanza taratibu wewe tazama jinsi gani upinzani unavyo advance kwenye chaguzi zoote kila baada ya miaka 5 utagundua kuwa taratibu idadi ya wabunge wa upinzani inaongezeka,hiyo ni ishara kuwa ccm inaendelea kuishiwa nguvu na upinzani unapata nguvu,chunguza tu utagundua hilo
 
malipo ni hapa hapa , kwenye miaka ya 80 au mwishoni mwa 70's saddam hussein alipulizia sumu mitaa yote wanayoishi Wakurd , akawateketexa wengi sana , lakini leo yuko wapi ?
 
malipo ni hapa hapa , kwenye miaka ya 80 au mwishoni mwa 70's saddam hussein alipulizia sumu mitaa yote wanayoishi Wakurd , akawateketexa wengi sana , lakini leo yuko wapi ?
Amekuwa mchanga tena kwa aibu.
Najiuliza maswali mengi kuhusu watawala wetu..kuwa wanaona fahar gani kuongoza kwa udanganyifu na hata kuwadhuru wengine?
Hivi kweli wanauchungu na watz au wanataka pesa tu kupitia migongo yetu?
Ona ya zanzibar wanaona kuna hatar ya umwagikaji damu lakini wanafumba macho na kutoa matamshi ya vitisho ...eg shain kuwa waleta fujo watakiona???????
Nawachukia sana
 
Nakubaliana na wewe 100% uvumilivu una mwisho wake,na huo mwisho wake mkuu ndio umeanza taratibu wewe tazama jinsi gani upinzani unavyo advance kwenye chaguzi zoote kila baada ya miaka 5 utagundua kuwa taratibu idadi ya wabunge wa upinzani inaongezeka,hiyo ni ishara kuwa ccm inaendelea kuishiwa nguvu na upinzani unapata nguvu,chunguza tu utagundua hilo
Yaaani ninavyokichukia hicho chama hata kukitamka napata shida, ukinitajia hicho cha cku yangu inaharibika
 
Yaaani ninavyokichukia hicho chama hata kukitamka napata shida, ukinitajia hicho cha cku yangu inaharibika
Pole sana mkuu,itatosha kukiita kichaka cha wahalifu
 
Pole sana mkuu,itatosha kukiita kichaka cha wahalifu
Hawa watu wamefaidi sana uvumilivu wetu, wameivuna sana hii nchi, wametudanganya vyakutosha ,wakati wa uchaguzi wanakuja la lugha tam ya ulaghai.
Siwapendi tenaaaa.
 
Hawa watu wamefaidi sana uvumilivu wetu, wameivuna sana hii nchi, wametudanganya vyakutosha ,wakati wa uchaguzi wanakuja la lugha tam ya ulaghai.
Siwapendi tenaaaa.
Nakuunga mkono mkuu kikubwa ni kujipanga kwa kutoa elimu ya uraia ili watanzania wenzetu ambao bado wanaendelea kupumbazwa wajitambue ili tuifute kabisa ccm
 
Nawewe mama yako anafirw.. Kenge wewe

Moderator ban this member and report him to police under cyber crime act. Some people are just hooligans. This is a forum of respectable people and Thegame belongs elsewhere.
 
Back
Top Bottom