Lwakatare amlipua Mwigulu bungeni

Lwakatare amlipua Mwigulu bungeni

Huu ujinga wa kuwashukuru Wapiga kura Bungeni nilijua upo CCM tu kumbe hata Upinzani..


Kama anataka kuwashukuru WanaBukoba aende akaandae mkutano wa hadhara.


Wananchi hawakumtuma Bungeni kwenda kuwashukuru... Shukurani pekee ni kuwatumikia wananchi na si maneno na blal blah bungeni.
mikutano ya siasa si imekatazwa au hisilizi redio
 
Kwa kweli nahisi kama mwanadamu akisimama Lwakatare bungeni kutoa hoja, lazima mhusika tumbo ivurugike na kuleta usumbufu wa kutakakwenda haja either kubwa au ndogo.

Sijui yuko wapi Ludovick???
 
Mwigulu ni Mkuu Wa
Magaidi ndio mana ana
wajua magaidi wenzie
 
Mwigulu hawezi kuwa na aibu hata kidogo,angekuwa ni mtu wa kuona aibu hasinge thubutu kuchukua form ya kuwaomba watanzania wampatie nafasi ya urais,pamoja na unyama alio ufanya kwa wana wa upinzani

Lazima ajisikie vibaya,huku akimuona aliyemtesa ni mbunge mwenzake duh lazima ajilaani.
 
Kweli kabisa mkuu hivi ni kwanini hawa vijana hawajifunzi namna ya maneno ya kupost humu jamvini?
Pole sana kaka, kama mama ametangulia mbele za haki muombee sana, ila kama yupo hai, USIMSAHAU. Mama ni mama tu hata akiwa wa mwenzako. Usicomplicate, jikaze,
 
N
Nawewe mama yako anafirw.. Kenge wewe
Nyumbu ni ccm ambao sasa imepita miaka 54 Nchi haina maendeleo kila mmoja anakimbilia kuishi Dsm Serikali inadanganya Dunia mji mkuu ni Dodoma lakini yenyewe inaishi Dsm na kuzidisha kero za foleni, ni Serikali ya ccm imewafanya mkariri kuwa Upinzani ni maadui na hawapaswi kutoa kasoro zenu mbaya, wana-ccm wengi wanaishi kwa ndoto za kuamini kuwa ipo siku mungu atatenda muujiza na ccm watajitambua watarejesha pesa walizoiba zitatumika kujenga Nchi nzima kila mkoa utakuwa bora watu waache kukimbilia Dsm kubanana zaidi.
 
T
Pouwa mkuu!
Wewe jamaa una hekima sana
ni wakati wa kujenga Nchi wabunge wa ccm waache ushabiki waamue kwa dhati kuukemea Uovu hata kule Zanzibar wabunge wa ccm sasa wanajifanya vipofu hawataki kuzungumzia kabsa hii ni Hatari kuwa na aina ya wabunge wa hivyo ni vigumu kwa Serikali kupata msukumo juu ya kutekeleza wajibu wake na mapungufu yake.
 
Ni wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba kuna watu walijiapiza kuthibitisha ugaidi wake duniani na hata mbinguni

Ikumbukwe kwamba ndugu Mwigulu Nchemba aliwahi kujiapiza kwamba anao ushahidi usio na chembe ya mashaka ambao anaweza kuutoa hata mbinguni kuthibitisha ugaidi wa kamanda Lwakatare lakini cha kushangaza ushahidi huo alishindwa kuuwasilisha kwenye mahakama za duniani .

Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa Bunge kupitisha kanuni kwamba mambo ya kwenye kampeni hayatakiwi kujadiliwa bungeni. Inafahamika kwamba wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wabunge wengi walitumia kila mbinu ili kuonekana mbele ya wananchi kuwa wao ndiyo chaguo bora. Aliyefanikiwa kafanikiwa, anayefikiri maneno hayo yalimyima ushindi au yalimfanya mwenzake ashinde aende mahakamani. Kama una ushahidi kuwa mpinzani wako alitumia maneno ya maudhi juu yako, lakini bado ukamshida ni dhahiri kuwa wananchi walimpuuza na ndiyo maana wakakupa kura wewe. Kwa hiyo ni juu yake kujisikia aibu na ikibidi akuombe samahani wewe na wananchi....... hizi tena si issue za kujadiliana bungeni
 
N
Toa pumba zako hapa, huyu unayemtetea ndiye gaidi no wanu, bado hajafuta kuwa yeye ni rais kwenye mawe ya sehemu mbali mbali
ni kweli huko njiani kuna mawe na mibuyu mingi imeandikwa mwigulu ni Rais, watu wanaomfahamu mwigulu wakikupa story zake utashangaa ni njia zipi ama vigezo gani Magufuli katumia kumpa Uwaziri, kumbuka Mwigulu ni mmoja wa wapigaji pesa za Escrow zile zilizobebwa kwenye viroba na camera kuzimwa, Mwigulu alipiga 10% kwa kila mfanyabiashara aliyekuwa akiidai hazina aliwalipa chap chap wakati ameshika Ofisi Waziri kamili alikuwa kwenye matibabu india akatumia huo mwanya kulipa madeni sugu na kujipatia Mamilion ambayo aliyatumia kununua Goli la mkono, Mwigulu hata Magufuli alimteua kwa shinikizo la ccm makao makuu yaani JK na Kinana na wenzao kumbuka kuwa pindi kapeni ikiendelea yeye na January makamba walipiga billion 1.7 hadi Magufuli akapagawa, ndipo wajanja wanakimbilia China kuomba misaada bahati yao China wakatoa mapesa mengi sana yanatumika kuchakachua matokeo, kununua magoli ya mkono nk hadi zikabaki wakagawana wajanja wachache kule ccm wakao makuu.
 
N
Hivi Ukiacha madaraka ya kupewa , kingine alichonacho mwigulu ni nini ?
ni pesa za kupiga madili ya Escrow kwa kutumia magunia na pesa za kampeni za ccm na michongo kibao wakati akiwa wizara ya fedha.
 
Back
Top Bottom