Lwakatare amlipua Mwigulu bungeni

Lwakatare amlipua Mwigulu bungeni

Moderator ban this member and report him to police under cyber crime act. Some people are just hooligans. This is a forum of respectable people and Thegame belongs elsewhere.
Kichaa kapotea njia, aibu yake
 
Moderator ban this member and report him to police under cyber crime act. Some people are just hooligans. This is a forum of respectable people and Thegame belongs elsewhere.
Hawa ndio wale jk amewaita vijana wa ccm mitandaoni , na wameombewa U -DC .
 
Moderator ban this member and report him to police under cyber crime act. Some people are just hooligans. This is a forum of respectable people and Thegame belongs elsewhere.
Mkuu hawa watu ndio wamevamia hili jukwaa baada ya kuhama toka kule fb,kweli inasikitisha mtu na akili yako unatoa matusi kiasi hiki utadhani labda humunkuna vita kumbe hawajui kuwa tuna elimishana tu
 
N
Akili ya kitoto utaijua tu. Unachoita majungu hapa ni kipi wakati jamaa ameripoti kilichosemwa kweli! Au hujui kama hayo maneno kweli Mwigulu Nchemba aliyatamka?? Shut up your mouth if you can't argue reasonably...[/QUO

Na haikuwa wakati wa uchaguzi......
 
Back
Top Bottom