Mkuu nikiona Maji marefu suruhisho ni mbio tu!Utaweza kweli, mana kuna ngum nyundo...
Mkuu nikiona Maji marefu suruhisho ni mbio tu!Utaweza kweli, mana kuna ngum nyundo...
Nguchirrrooo utaisoma A E I O U......😛 [emoji88] Mwambie savimbi wako aende mahakama mbona kauchuna?Nyumbu bhana!
Uchaguzi na mbwembwe zake viliisha tangu oktoba 2015!
Sasa ni kazi tu!
Majungu bakini nayo huko huko Ukawa!
Cha kushangaza zaidi ni kwamba pamoja na kupiga kelele nyingi, kufanya mbwembwe za kila aina, kufanya mikutano ya hadhara mingi tu, bado ule unaoitwa ushahidi wa mitambo maalum ya DVR kuhusu tukio la mlipuko wa bomu katika mkutano wa hadhara wa Chadema Arusha haujawahi kutolewa hadi leo licha ya kwamba Mbowe na kampani yake walijitapa kuwa nao.Ikumbukwe kwamba ndugu Mwigulu Nchemba aliwahi kujiapiza kwamba anao ushahidi usio na chembe ya mashaka ambao anaweza kuutoa hata mbinguni kuthibitisha ugaidi wa kamanda Lwakatare lakini cha kushangaza ushahidi huo alishindwa kuuwasilisha kwenye mahakama za duniani .
makaka poa huwa na tabia kama hizi zako au na ww umeanza kuwa na zile tabia kama za makonda zilizokatazwa na dini zote.Nyumbu bhana!
Uchaguzi na mbwembwe zake viliisha tangu oktoba 2015!
Sasa ni kazi tu!
Majungu bakini nayo huko huko Ukawa!
hili ni jambo zito ambalo halizungumzwi , mpanga njama hatasamehewa milele .Mimi nikikumbuka mabomu ya Arusha machozi yananilengalenga.
Hivi Ukiacha madaraka ya kupewa , kingine alichonacho mwigulu ni nini ?Huyu mzee ni hewa asijifananishe na mwigulu
mbona mahakama ililitupilia mbali na video yenu ya kungaunga.Ipo ile video akipanga ukagidi ni vile nchii ilikuwa likizo tuu
kutembea na wake za watu. ref fumanizi la igunga.Hivi Ukiacha madaraka ya kupewa , kingine alichonacho mwigulu ni nini ?
Hapo sawa, utakuwa umeokoa nafsi yako!!!Mkuu nikiona Maji marefu suruhisho ni mbio tu!
hakuna cha video wala nini , editing ya kitoto sana .Ipo ile video akipanga ukagidi ni vile nchii ilikuwa likizo tuu
Nadhani kilichomuokoa wakati ule ni sheria ya ushahidi wa kielektroniki ilikuwa haijatungwa fikiria ushahidi huu ungeletwa leo.kuna majungu kuzidi ya kumsingizia binadamu mwenzio ugaidi ? Mwigulu amuombe radhi lwakatare haraka sana , huu ni ushauri wa bure .
ndio mkuu, ndio yule shonza ni chakula cha mwigulu.Hivi lile fumanizi lilikua na Mh. mbunge juliana yule naniliu..???
Mwambie lowasa afute piaMwigulu pita ufute ujinga ulioandikwa kwenye mawe nchi nzima eti mwigulu rais 2015!
Mwigulu alikuwa anautafuta urais kwa njia za kijinga sana, akiamini kutukana upinzani na kuipepea ccm kungemfanya apitishwe na ccm kugombea urais, lakini akakatwa kwa kuwa wote waliona hana upeo wa kuongoza.Ni wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba kuna watu walijiapiza kuthibitisha ugaidi wake duniani na hata mbinguni
Ikumbukwe kwamba ndugu Mwigulu Nchemba aliwahi kujiapiza kwamba anao ushahidi usio na chembe ya mashaka ambao anaweza kuutoa hata mbinguni kuthibitisha ugaidi wa kamanda Lwakatare lakini cha kushangaza ushahidi huo alishindwa kuuwasilisha kwenye mahakama za duniani .
Habari za mtama msalimie chanju na batmankuna majungu kuzidi ya kumsingizia binadamu mwenzio ugaidi ? Mwigulu amuombe radhi lwakatare haraka sana , huu ni ushauri wa bure .