Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

pigo kubwa sana kwa mwigulu na vijana wake wa lumumba wa hapa mtandaoni, aya singo ya ugaidi imeisha. njooni na nyingine. mkono wa bwana wetu yesu kristo upo juu yetu, naye atatupigania kila siku.
watakuna kichwa mpaka nywele zote zitaisha kichwani..leo watalala lumumba wakitafuta njia mbadala
 
Hii si siku nzuri kwa Pasco

Ukweli una tabia moja tu, utabakia kuwa ukweli milele...

Kama ulivyo ukweli kwamba nchi hii kamwe haiwezi kuongozwa na mwizi kama Edward Lowasa basi ukweli huu utabaki milele na kama Urais ajiandae kugombea Urais wa TFF, FIFA wameagiza mchakato uanze upya.

kwi! Kwi! Kwi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?
Kaka nature ya hii habari ni lazma imtie mwandish kimuhemuhe. Hata ungekuwa wewe umeinyaka kwa mara ya kwanza, sidhan kama ungeweza andika chochote unless uwe mwana CCM. I am very happy to hear this.

Kwa jinsi CCM walivyoipa promo habari hii, naimani kwa ushindi huu, kifo chao ndio kitakuwa kimetangazwa rasmi. Wapi Mwigulu aliyetutaka tumuombee uhai ili aieleze mahakama ushahidi alionao????Naimani kuachiwa huru huku kunatokana na ushahid wa TISS na taasisi za serikali kuhusishwa kwenye sakata hili, serikal ilione itaishia kujiacha wazi km wataendelea na hii kesi.
 
Ok ametoka, lakini hatala sumu huko magereza? Akapimwe afya yake maana slow poison ni hatari
 
mnatakakuendelea na matamko,maendamano,migomo,sumu,kugawa namba za watu, wizi wa wake za watu,matumizi mabaya ya ruzuku na misuguano isiyoisha .r.i.p.chadema

Ninyi mnataka tuendelee na kauli za serikali ambazo nyingi ni za ki- pumbavu, mbio za kibatari ninyi mnaita mwenge! Kuna upuuzi kushina huo! Migomo ya kushindwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi, Kukolimba wenzenu, Kuongwa suti na wanaume zaidi yenu, kuiba meno yetu ya ndovu, matumizi mabaya ya rasilimali zetu, kusuguana usiku na kina Beatrice Shelukindo, Pindi Chana etc. Muulize Jah Kaya alimega tunda kwa salma miaka mingapi kabla ya ndoa yao? Ni not less than 4 years! Acha upuuzi. VIVA CHADEMA.
 
Hawa CCM hawaoni aibu, ni kama kipofu anayejitahi kukimbia mbio za mita mia moja ili avunje rekodi ya Ussain Bolt.
Magaidi halisi wamepanga mbinu, wametengeneza bomu na kuwalipua Waumini huko Arusha lkn serikali na TISS wako bize na CDM wakashindwa kuwabaini Magaidi halisi.
 
Wapi mwingulu chemba la mavi uko wapi??? Njooo tukusute ...
 
mnatakakuendelea na matamko,maendamano,migomo,sumu,kugawa namba za watu, wizi wa wake za watu,matumizi mabaya ya ruzuku na misuguano isiyoisha .r.i.p.chadema

mkuu my web, tukiamua kuwataja magamba hapa wenye kasoro hizo zote ulizozitaja hapo juu hapatatosha hapa. wengine wana mpaka ushahidi wa picha kuwa nani kamzalisha mwanafunzi yupi. bahati mbaya au nzuri ni kuwa sisi CDM si chama cha matusi, kazi yetu si kutangaza matusi bali kutangaza sera za ukombozi wa mtanzania anayetawaliwa kisiasa, kiuchumi na kijamii katika nchi yake mwenyewe tena na watu wake mwenyewe. nyie magamba pelekeni matusi kwa jamii sisi makamanda tunapeleka ujumbe wa ukombozi na faraja ili tulete mwanga palipo na giza, tulete matumaini kwa waliokata tamaa na faraja kwa walioonewa. magamba ni vema mngeelewa sasa mkalisikiliza neno roho aliambialo kanisa. Lakini kama mnajifanya kichwa ngumu na hamtaki kunisikiliza mimi basi shauri yenu, jililieni ninyi wenyewe na watoto wenu kwa maana upanga na juu yenu. after all mimi siye, ila mimi ni sauti tu iliayo nyikani, wapo wajao nyuma yangu(lwakatare, zito, lema, slaa, mboye msigwa nk) ambao sistahili hata kufungua kamba za viatu vyao. hao watawanyoosha tu...mene mene tekel peres...
 
Wanazidi kuongezeka mkuu, hii ni saa 14:30
There are currently 1566 users browsing this thread. (276 members and 1290 guests)

naona domo la mawigulu michembe kama la sokwe wa pale Luthuli street
 
kuna mtu atajinyonga hapa na mbwembwe zao hawa ni Mwigulu na Nape.
Plan A udini,plan B ukabila, plan C Ukanda,plan D ugaidi zimeshindikana.
plan E sijui itakuwaje.
Hii ni habari njema sana kwa wanachadema na watanzania.
kesi itarudi kisutu kuendelea pale kwa full trial ingawa nina uhakika hawana evidence.
state attorney watazungusha baadae kesi itafutwa.
Mkuu lokissa plan E ni kuwanyima haki wabunge wa chadema na katiba mpya..wakuu msisahau kinana anamaliza tembo wetu
 
mkuu my web, tukiamua kuwataja magamba hapa wenye kasoro hizo zote ulizozitaja hapo juu hapatatosha hapa. wengine wana mpaka ushahidi wa picha kuwa nani kamzalisha mwanafunzi yupi. bahati mbaya au nzuri ni kuwa sisi CDM si chama cha matusi, kazi yetu si kutangaza matusi bali kutangaza sera za ukombozi wa mtanzania anayetawaliwa kisiasa, kiuchumi na kijamii katika nchi yake mwenyewe tena na watu wake mwenyewe. nyie magamba pelekeni matusi kwa jamii sisi makamanda tunapeleka ujumbe wa ukombozi na faraja ili tulete mwanga palipo na giza, tulete matumaini kwa waliokata tamaa na faraja kwa walioonewa. magamba ni vema mngeelewa sasa mkalisikiliza neno roho aliambialo kanisa. Lakini kama mnajifanya kichwa ngumu na hamtaki kunisikiliza mimi basi shauri yenu, jililieni ninyi wenyewe na watoto wenu kwa maana upanga na juu yenu. after all mimi siye, ila mimi ni sauti tu iliayo nyikani, wapo wajao nyuma yangu(lwakatare, zito, lema, slaa, mboye msigwa nk) ambao sistahili hata kufungua kamba za viatu vyao. hao watawanyoosha tu...mene mene tekel peres...
 
Zitto ulitaka
Lwakatare atoswe na chama na pia chama kifanye uchunguzi wa ndani.Pamoja
na kujua kwamba chama kilisimama na wewe katika sakata lako la Buzwagi
na ilipovunjwa kamati yako ya POAC lakini uliamua kuendelea kutoa
matamko huku kuhusiana na Mawasiliano aliyoanika hadharani Mabere
Marando huku ukiweka wazi kuwa kuna njama za kumgeuza rafiki yako Dennis
Msacky uliyemuita victim kuwa mtuhumiwa.

Jambo hili lilizua shinikizo kubwa kwenye mitandao la kukutaka ujiuzulu.

Je,baada ya uamuzi wa mahakama bado unataka Lwakatare ajiuzulu?

Je,Ni kwa nini sasa usijiuzulu wewe ili uchunguzwe kwa kauli zako hizi
zinazotia mashaka?

huyu zito ameshajulikana ndio maana hata viongozi wake wanampuuza,hana maana kabisa,safari yake kisiasa inaelekea ukingoni.
 
Lazima Pasco ataona aibu kwani huwa eti nae ni mwanasheria uchwara!!!!

Pasco huwaga hana aibu kama bata mbele za watu, angalia anavyoteteaga thread zinazomhusu Lowasa ndani ya JF, mshipa wa aibu wa Pasco ni kama sasa hivi utafute pesa ya zamani ILIYOKUWA INAITWA LUPIA
 
aibu kubwa anatakiwa aibebe mwigulu nchemba kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa akipanunua mdodo wake na kubwabwaja kuwa hata mahali muhimu sana kama bungeni kuwa ana ushahidi wa hayo.

Mtu kama huyu ndiye anayefanya watu wenye busara zao wakione chama cha mapinduzi kuwa kimeingiliwa. Hii haifai kabisa. Hafai kabisa kuwa mwana ccm kwa kuwa anatudhalilisha.

mwigulu na kinana ni mzigo kwa chama chetu,mwigulu nilimshtukia wakati alipoichana hotuba ya bajeti ya chadema bungeni mwaka jana.nilimshangaa sana kwa kitendo hiki.chama chetu kilionekana mbele ya jamii kama genge fulani la wahuni wavuta bangi.kinana kwa sasa anajulikana nchi nzima kama jangili.na mwizi wa mashine ya kufua nguo ya mt.meru hospital.eti hawa ndio aina ya viongozi wa chama.
 
Tunawapigia BUNGENI,.. Tunawapigia MAHAKAMANI.... Tunawapigia KWA WANANCHI maskini.... Dakika 90+ Chadema MABINGWA wa Siasa Tanzania.

"tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, tumedharauliwa kiasi cha kutosha...na sasa basi...", by G Lema, Azimio la Arusha - April, 2013.
 
Zitto ulitaka Lwakatare atoswe na chama na pia chama kifanye uchunguzi wa ndani.Pamoja na kujua kwamba chama kilisimama na wewe katika sakata lako la Buzwagi na ilipovunjwa kamati yako ya POAC lakini uliamua kuendelea kutoa matamko huku kuhusiana na Mawasiliano aliyoanika hadharani Mabere Marando huku ukiweka wazi kuwa kuna njama za kumgeuza rafiki yako Dennis Msacky uliyemuita victim kuwa mtuhumiwa.

Jambo hili lilizua shinikizo kubwa kwenye mitandao la kukutaka ujiuzulu.

Je,baada ya uamuzi wa mahakama bado unataka Lwakatare ajiuzulu?

Je,Ni kwa nini sasa usijiuzulu wewe ili uchunguzwe kwa kauli zako hizi zinazotia mashaka?
You're just hopelessly wimp.
Why are you cowering with FAKE ID. Come out with your verified ID.

Maneno yako hayawezi kumzuia Zitto kunywa maji. Hata wanaokutuma pia ni COWARD zaidi yako.

You're just banging your head against a brick wall.
 
Umepiga sarakasi na taulo tupu
PHP:
MsemajiUkweli
 
You're just hopelessly wimp.
Why are you cowering with FAKE ID. Come out with your verified ID.

Maneno yako hayawezi kumzuia Zitto kunywa maji. Hata wanaokutuma pia ni COWARD zaidi yako.

You're just banging your head against a brick wall.

watu kama Hawa kina MsemajiUkweli ganga njaa ndo wanaomuyumbisha zitto, kwamba wanamatumani kuwa kwa unafki wao, siku zito akipata hiki atawapa kile. ndugu yangu zitto hizi zakupewa toka kwa hawa wanafki changanya na za kwako (chambeche mkw.re......by the way haya ndo maneno pekee ya maana ambayo mkw.re keshawahi sema katika kipindi chake chooooooote cha magogoni, nearly 10 years now.)
 
Back
Top Bottom