Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Nooo! aliyeleta, aliyebandika, aliyetengeneza, hii video watabaki huru mbele ya sheria?
Vipi dhamana za vyeo ktk jamii. Inasikitisha sana.
 
There are currently 1555 users browsing this thread. (275 members and 1280 guests)


Nangetwa,
bahati mbaya,
CHRISTURKER,
bluetooth,
Middle,
Mlayjr,
marembo,
Chuma Chakavu,
Msuruhishi,
Wa Busiya,
fresoo,
STIDE,
Manyi,
Teamo,
Wakutu,
JJB,
bato,
siri ya bata,
the boss13,
BBJ,
Mponjori,
KAZA MOYO,
Mkiliman,
berenya,
Open-Minded,
wakuwaza,
mutahappy,
Jemsi,
kiluvya,
NIGGA,
Tamatheo,
washwa washwa,
Nyenyere,
ZionGate,
Lemmi28,
Ukwaju,
bushman,
samilakadunda,
Mvaa Tai,
Royals,
achonya,
controler,
hmasunga,
Hassan J. Mosoka,
kukukakara,
Kokoliko,
Mutakyamirwa,
Head prefect,
mvuv,
Lobapula,
Ding'ano ya mbongo,
lonesome,
Jasusi,
KELVIN GASPER,
Mwakiluma,
OIL CHAFU,
babtutu,
Criss,
mgt software,
Ranks,
chidou,
Deus F Mallya,
Heloo,
Makupa,
Joss,
Molemo,
Dr Ntinkutina.,
kichangaa,
Jackbauer,
think3r91,
mcheshi,
Fatumah,
Thereni,
ESAM,
giraffe,
Lu-ma-ga,
Mimibaba,
palalisote,
put,
Nicas Mtei,
BabaH,
Danny Massawe,
eowange,
Ginner,
Josbless,
Trueman,
masatujr1985,
TZX2012,
TALEI,
Kiraucha,
Gomic,
RICH OIL SHEIKH,
DEMO,
MKWELItu,
ngunhila ng'ombe,
Frekim,
ESI,
kelao,
Lokissa,
commited,
Chibenambebe,
ndomyana,
CT SCan Mchina,
G Sam,
Capt Tamar,
Maishamapya,
Nkwabi Jetta,
Lusa Nise,
gulio,
Kilongwe,
Mshinga,
Twilumba,
kupelwa,
J Mbungi,
Fisadidagaa,
samirnasri,
spartacus,
SOTI,
Acha Uvivu,
JACADUOGO2.,
Ben Saanane,
NGANU,
piper,
Peasant,
Richruge,
Lukom,
Mchwechwele,
man A,
Mangandula,
Allen Tarimo,
deedee,
shakidy,
mzalendokweli,
Mdau35,
Tekelinalokujia,
kichomi,
EMMANUEL MKINGA,
Yusuf marekany,
Jibaba Bonge,
Bazobonankira,
Kamili Gado,
bagi,
COMPLEX NUMBERS,
Manmura,
Nasema,
nemasisi,
Mayombo,
Ben Mugashe,
moto2012,
Maisha+,
DOUGLAS SALLU,
Welu,
OMUSILANGA,
MBURE JASHA,
Mkoroshokigoli,
Babu Kijana,
Mwakalinga Y. R,
MadamG,
Ndulungu,
Noel france,
Ngalewa,
Download,
mwitu,
Kanigini,
Naoa,
peasilia,
Maarko,
TzPride,
Mr.Mak,
only83,
mkizantongani,
kasimba123,
kisururu,
long'oi,
winner forever,
Magezi,
Edmond,
Basil Lema,
gody mwa,
CHIJANYE,
nchasi,
vuga,
Sabung'ori,
Access Denied,
Bob,
12STONE,
Ta Muganyizi,
jonaleemanson,
MIGNON,
Aisatu,
Arsenal,
Amiliki,
Venga Boy,
Nsiande,
Kijana leo,
Babuu Rogger,
oneblood,
BORATUMBO,
The Invincible,
Pukudu,
Allien,
mchonga,
Emma.,
Ng'wanangwa,
anatropia,
Mwangendage,
Babkey,
hans79,
Omulangira,
Almeda,
jolson masaki,
MR.DIGITAL,
Soki,
Uriria,
Mtu wa Shamba,
Atongwele,
chishango,
Elizabeth Dominic,
Bobby,
Amanda,
raia tz,
lusungu22,
Mohamedi Mtoi,
Mtanzania1,
mwita ke mwita,
Mohamed Mbelwa,
Tuyuku,
Speaker,
Dionisi M. Thomas,
mlavie,
Sisimizi,
Baba JJ,
Lizaboni,
tricky,
edwinhans,
inno87,
Adolph,
spleen,
kigoda,
kistwangara,
Frankico Kagu,
DENGESHOO,
ngajapo,
Wambugani,
mliberali,
novava,
Advocate Jasha,
Ntonga,
Bitungwa,
Mtanzania haswa,
Nduna Likapo,
naloliga hurita,
Runyota,
Ndekirhepva,
kipuyo,
don-oba,
SmithG,
oldwilliams,
bnf,
mbezibeach 2,
swaswa,
kibaja,
tmkissima,
MOHAMED OMARI TUPPA,
Abu Ikrimah,
Aman Cosmas,
tartoo,
faemba,
SERGIO,
Massenberg,
Mkwaha,
Shadow,
Nanyaro Ephata,
Imma01

Rwakatare upo juu...........
 
Kuna watu humu ukiandika mazuri ya CHADEMA na ukaandika mabaya ya CCM, wanakuona ni wa kawaida kwa kuwa unaandika wanayoyapenda wao. Lakini siku utakapoandika mabaya ya CDM na kuyasifia mazuri ya CCM, hata kama yana ukweli, watu watakujia juu. Wanadhani ukiwa CHADEMA basi unatakiwa uwe mnafiki na kusifia kila kitu hata kile chenye kutishia mstakabali wa chama.

Ninajua wengi hivi sasa wanapenda mageuzi na wanayatafuta kwa hali na mali, kiasi cha kwamba wapo tayari kuona chadema inaingia madarakani despite mapungufu yake. Lakini mageuzi ya namna hii yatatuumiza. kama hatutaclear baadhi ya weakness zetu, basi tunaweza kuingia madarakani halafu tukafanya vibaya kuliko hata hao CCM. Jifunzeni kutoka kwa Fredrick Chiluba kule Zambia.

Ni lazima tujenge utamaduni wa kukosoana. Na ni lazima tutambue kwamba CHADEMA kinaongozwa na binadamu wenye tabia kama za wale wa CCM. Kunahitajika kuonyana na kukaripiana ili kurudishana kwenye mstari na kuweza kujitofautisha na CCM. Kama tutaamini kila wafanyacho chadema ni kizuri, na hata wakikosea tunatafuta namna ya kuyapaka mafuta makosa yao, basi tutakimaliza hiki chama yumkini hata ikulu kinaweza kisiingie. Tukosoane ili tujengane.
cc. Kdm255
.
Unaweza kuandika mawazo yako ukajaribu kufikiria Kwamba uko sahihi.. HAUKO SAHIHI HATA KIDOGO..

Tukiwa tunavuka mto wenye mamba wakali, akili zetu kila Mtu Ndani ya mtumbwi hujibidiisha kupiga kasia Za nguvu kufika Pwani ya Pili. Hapo shughuli nyingi huwa zina-ahirishwa Na kila raia anajitosa Kwenye Kazi ya bidii ya kupiga kasia kufika ng'ambo..

Wajinga, wazembe, wavivu n.k mtumbwini hawawezi kosekana. Kusitisha unahodha wa chombo Na kuwashughulikia wavivu Ndani ya chombo ni kuhujumu speed ya boti Na akili za kijiko. Kutokuona Hatari tuliyonayo chomboni, Na raia mmoja KUGEUKA kuanza kukodolea vibanzi Kwenye macho ya wenzake chomboni Na kuhujumu mwendo wa boti ni LAANA Na dhambi kubwa. Malumbano ya wavuvi chomboni hukimbiza Samaki(wanachama) Na kuonyesha nyufa Kwa mamba(Ccm).

Ikumbukwe VYAMA vya NCCR, TLP, SAU, CUF nk Kwa nyakati waliwahi kutumia slogan hii ya KIPEPO kushambuliana HADHARANI Na sisi ni mashahidi wako wapi Kwenye medani Za siasa Leo hii.

Itoshe kwangu Mimi kusema wazi Kwamba ingawa tuna piga kasi kuisogelea Pwani SIO kibali Basi kwa abiria Na wafanyakazi wa chombo Kufanya taka-taka. Zipo taratibu Na Vikao halali Na uwasilishi wa maoni halali Ndani ya mtumbwi Na hushughulikiwa haraka pasipo kupiga kelele hadharani kumpa credit Mamba. Na endapo basi itathibitika abiria/mfanyakazi Kwenye mtumbwi amefikia ukomo wa kushauriwa anatoswa baharini kiume ni bora kupunguza mizigo, akapige mbizi mtoni, atapiga kelele kwa muda kabla ya kufia majini..

Mtu yeyote anayeweka maneno ya Chuki, Kero Na Siri Za Chama HADHARANI HAFAI, ni ADUI, Ni nyokaz. Watu hawa ni WAROPOKAJI, wasiojua Nini Cha kusema Na wapi pa kukisemea. Mf namba Za wabunge zote zipo on, Kama una ushauri unampigia cm kumshauri. Au vikao vipo, au nenda ofisini, au m-pm Facebook au JF.. SIO kutukana HADHARANI kama mapunguani magamba.
 
Tumepigwa bomu Arusha na kinachoitwa na watawala UGAIDI na sio UDINI. Rwakatare alishitakiwa kwa UGAIDI, hivi tutashinda vita hii ya Ugaidi kama tunaitumia sheria ya Ugaidi kimzaha namna hii? Kesi ya Rwakatare kwa wenye akili zao washajua ni upuuzi, ni propaganda za magamba. Tutawashindaje magaidi kama tunapandikiza hisia za ugaidi kwa wasio magaidi? Magaidi wanafanya kweli sasa, tutaponaje? Nathubutu kuunga mkono hoja kuwa AKILI NDOGO ZINAPOTAWALA AKILI KUBWA NI MATATIZO. Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kamanda RWAKATARE
 
Sikumaanisha kwamba CCM wanafanya mazuri mengi sana yanayostahili kusifiwa. Lakini pia haimaanishi kwamba hakuna siku waliyowahi kuja na wazo jema. Hata kuanzisha usafiri wa trein tu Dar es salaam lilikuwa ni wazo zuri linalohitaji pongezi, hata huo mpango wa Dart bado unatia moyo. Hata kama ni maadui zetu kisiasa, wakija na wazo lenye tija tuwapongeze. Nia yetu si kuwakosoa tu hata kwa mazuri, bali kuwasaidia wawatumikie vizuri watanzania.

Ndugu yangu, CCM hapaswi kusifiwa hata kidogo! Uovu waliowatendea watanzania (baada ya kuua azimio la Arusha) ni mkubwa sana, hata kama wangejenga tarmac roads of several kilometres kwenda mbinguni! hawapaswi kusifiwa hata kidogo. UOVU WA CCM UMEVUKA MIPAKA NA KAMWE MAZURI YAO HAYAWEZI KU- COMPASATE KWA UOVU WANAOWAFANYIA WATANZANIA. CCM wameturudisha nyuma, nchi haipigi hatua. CCM WANASTAHILI KITU KIMOJA TU, NARUDIA KITU KIMOJA TU: Kitu hicho ni: LAANA.
 
Sijawahi kusikia chadema wameshindwa case yoyote ile, inamaana serikali ya CCM huwa hawajipangi kabla ya kuwafungulia mashtaka..?
 
listi ya watu ambao wangebidi wadondoke pamoja na Lwakatare ilikuwa ndefu sana, haikuwa rahisi lakini iliwabidi wafikie maamuzi hayo.

Ok nafurahi kunipooza kihivyo, Ila si ndio hao ambao wanajiita wazalendo na wapenda amani na maendeleo? au huwa ni amani ya wanyonge ila si kwa wakubwa?. Maana ningefurahi sana kama huyo aliyeitwa GAIDI ahukumiwe pamoja na list yote hiyo, Kama wanamwacha Movie wanayotuambia Huyo sio gaidi bali wao ndio magaidi. Full stop
 
Ni aibu ya mwaka kwa Zitto Kabwe.Anajutia kuvujisha barua maana hakujua kama ingeishia hivi sasa waliotaka ajiuzulu walikua na Hoja.Zitto jiuzulu kwa kitendo chako cha kutoa shutuma kwa ofisi ya katibu mkuu wa chama chako upishe uchunguzi huru
 
There are currently 1428 users browsing this thread. (248 members and 1180 guests)

Wanazidi kuongezeka mkuu, hii ni saa 14:30
There are currently 1566 users browsing this thread. (276 members and 1290 guests)
 
Siasa za Tanzania hizo.

very true, nawapongeza baadhi ya wanasheria wanaoheshimu profession zao na kuweka mambo ya siasa pembeni. Hii issue sasa hata kama ni kweli, jamii itaona ni uonevu tu, we kesi gani mara mtu kafunguliwa kosa la jinai, mara kaachiwa huru na kukamatwa tena kwa ugaidi, mara kafutiwa makosa ya ugaidi na kurudishiwa tena ya jinai. what is this????!!!!!!!
 
Tutakoma, sasa ni kutekwa, kutobolewa macho na kuvutwa na kutolewa kucha kwa kwenda mbele. Kufutwa kwa mashtaka ua Ugaidi kutamfanya Lwakatare na Chadema waone kuwa kumbe kuteka watu na kutoa kucha zao ni vitendo vinavyokubaliwa chini ya sheria...this is a mockery to the law!!!

Kuna mtu yeyote katika familia alishawahi tekwa???

Au basi tufanye kweli ni gaidi, je mwizi alieiba Mabibo ndo huyo huyo atakeyekuja kuiba kwenu kwenu kawe au mbagala???

Kua na akili na acha bangi coz itakuletea matatizo akilini

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Asante Yesu, Asante Mungu, Asante mama Bikira Maria kwa ulinzi wenu na kufanikisha haki kutendeka dhidi ya udhalimu ulioletwa na Mwigulu Nchemba. Tunaomba kwa udhalimu wake (Mwigulu) aaibike milele.
 
Back
Top Bottom