Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Wakati kama huu, Malaika wa Mungu hufurahi na huku wakiimba nyimbo za kumsifu yeye aliye hai na mpenda haki.

HAKIKA, HILI NALO LIMEPITA
VIVA CDM
 
Wakati kama huu, Malaika wa Mungu hufurahi na huku wakiimba nyimbo za kumsifu yeye aliye hai na mpenda haki.

HAKIKA, HILI NALO LIMEPITA
VIVA CDM
Hao wanaofurahi ugaidi na sumu ni malaika wa shetani
 
Wakati kama huu, Malaika wa Mungu hufurahi na huku wakiimba nyimbo za kumsifu yeye aliye hai na mpenda haki.

HAKIKA, HILI NALO LIMEPITA
VIVA CDM

Watashindana NASI Lakini Watashindwa Kwa kuwa TUNAYE atushindiaye. MUNGU pekee.
 
CCM wanajibomoa kwani wameshazoea SI-HASA na kutegemea Poli-CCM.
Bado Selekasi za Arusha maana zile za Zanzibar zimeshaisha.
Mnatekeleza mauaji mnakimbilia kwenye vyombo vya habari kupotosha. Shame on you
 
Ni habari nzuri,"YALE MAZUZU YANA KAZI".
 
Kwani ni CCM au ni Mwigulu? Ukisoma gazeti la Dira ya Mtanzania la tarehe 6-12 Mei 2013 ukurasa kwa 1 utaona kuwa Mwugulu anadai analo bomu jingine ambalo akililipua CDM itasambaratika. Bila shaka hili ndilo aliloomba aombwe kabla hajalilipua. Kulingana na gazeti hilo anawatumia Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Kwa hiyo sherehe ya kufutiwa baadhi ya mashataka bwana Lwakatare isiwe kubwa sana but with reservations.:humble:

Hakuna bomu hapo ni maneno tu kwani hawakujua kwamba hii movie itabuma, alitangaza bungeni kuwa anao ushahidi mzito, sasa kwanini hakuutoa polisi ili wautumie kutengeneza mashitaka?
Juliana na Mtela hawawezi kuwa na bomu kwa Chadema. Kama wanalo basi litawalipukia wao wenyewe...
 
Mkuu idawa ki ukweli Pasco nilikuwa namuona ni mtu wa maana nilianza kumdharau mara baada ya kukomalia kuwa ile clip ni orignal pia mashtaka aliofunguliwa Lwakatale, alifuata fikra fupi za Chris Lukosi sasa anaona aibu.

Lazima Pasco ataona aibu kwani huwa eti nae ni mwanasheria uchwara!!!!
 
Watashindana NASI Lakini Watashindwa Kwa kuwa TUNAYE atushindiaye. MUNGU pekee.


Nimefurahi sana mkuu. Mwacheni Mungu, aitwe Mungu.

Wapuuzeni watu kama bungeni na wenzie ktk huu uzi. Wanatafuta nao waonekane wapo tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni rasmi kuwa gaidi lwaka analisha watu sumu kama ilivyo kwa saanane anayetembea nayo hadi bar
 
.
Unaweza kuandika mawazo yako ukajaribu kufikiria kwamba uko sahihi.. Hauko sahihi hata kidogo..

Tukiwa tunavuka mto wenye mamba wakali, akili zetu kila mtu ndani ya mtumbwi hujibidiisha kupiga kasia za nguvu kufika pwani ya pili. Hapo shughuli nyingi huwa zina-ahirishwa na kila raia anajitosa kwenye kazi ya bidii ya kupiga kasia kufika ng'ambo..

Wajinga, wazembe, wavivu n.k mtumbwini hawawezi kosekana. Kusitisha unahodha wa chombo na kuwashughulikia wavivu ndani ya chombo ni kuhujumu speed ya boti na akili za kijiko. Kutokuona hatari tuliyonayo chomboni, na raia mmoja kugeuka kuanza kukodolea vibanzi kwenye macho ya wenzake chomboni na kuhujumu mwendo wa boti ni laana na dhambi kubwa. Malumbano ya wavuvi chomboni hukimbiza samaki(wanachama) na kuonyesha nyufa kwa mamba(ccm).

Ikumbukwe vyama vya nccr, tlp, sau, cuf nk kwa nyakati waliwahi kutumia slogan hii ya kipepo kushambuliana hadharani na sisi ni mashahidi wako wapi kwenye medani za siasa leo hii.

Itoshe kwangu mimi kusema wazi kwamba ingawa tuna piga kasi kuisogelea pwani sio kibali basi kwa abiria na wafanyakazi wa chombo kufanya taka-taka. Zipo taratibu na vikao halali na uwasilishi wa maoni halali ndani ya mtumbwi na hushughulikiwa haraka pasipo kupiga kelele hadharani kumpa credit mamba. Na endapo basi itathibitika abiria/mfanyakazi kwenye mtumbwi amefikia ukomo wa kushauriwa anatoswa baharini kiume ni bora kupunguza mizigo, akapige mbizi mtoni, atapiga kelele kwa muda kabla ya kufia majini..

Mtu yeyote anayeweka maneno ya chuki, kero na siri za chama hadharani hafai, ni adui, ni nyokaz. Watu hawa ni waropokaji, wasiojua nini cha kusema na wapi pa kukisemea. Mf namba za wabunge zote zipo on, kama una ushauri unampigia cm kumshauri. Au vikao vipo, au nenda ofisini, au m-pm facebook au jf.. Sio kutukana hadharani kama mapunguani magamba.

sijkusoma mkuu.funguka zaidi.unamsema nani?lakini usisahau kwenye msafara wa mamba na kenge nao wamo.
 
Sumu waliyotaka kumlisha msaki iko kama ile waliyompa mwakyembe nn
 
Back
Top Bottom