Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lukolo Chris Lukosi mnafiki nakuona hapa...roho inawauuuummaaaaaaa
Laiti ungejua kwamba nina kadi ya chadema tangu mwaka 2010, na ninailipia kila mwaka wala usingepoteza muda wako kutoa comment kama hii. Na kwa taarifa yako 2015 nagombea ubunge kupitia CHADEMA. Nilishawaambia, kuwa kwangu chadema hakujani-blind. kuwa kwangu chadema hakunifanyi niwe mpuuzi wa kushindwa kutofautisha zuri na baya. Suala la Lema ambalo liliwafanye wengi wenu mniite mnafiki lilikuwa wazi, na kila mpenda amani anaendelea kulaani hadi leo ile kauli yake. Sasa wewe ukitaka kuendelea kuniita mnafiki, endelea tu ilimradi unaburudika ndani ya moyo wako.
 
Wakili mkuu wa serikali aliyoongoza kesi hii namfahamu vyema kwa uadilifu wake!

Namfahamu vyema ndugu yangu Wakili Prudence Rweyongeza toka anasoma Rubya na baadae UDSM na baadae kupangiwa kituo cha kazi Tabora na baadae kurudishwa Dar;ni wakili mzuri mwenye msimamo na SIELEWI KWA NN ALIKUBALI KUCHUKUA KESI YA UONGO KAMA HII ILIYOMPA AIBU SASA!

Wakili Prudence Rweyongeza jinsi nimjuavyo sidhani kama alikubaliana nao wakuu wake kuongoza kesi hii ya ajabu;kuna kitu tu walimtishia!

Sijapata kuona kesi ya ajabu kama hii
wengi tunaofahamu hawa ndugu ex seminarians na wanaimb kwaya na kupiga vinanda walichofanya kwangu ni kama kuutukana na kuikana imani yao. kwani tumechekwa sana na rafiki zetu kuwa magaidi sasa wanajulikana, kumbe walikuwa wanatusingizia. Hii iliniuma sana na nimepanga siku nikikutana nao wote ni watani zangu nitawatania na kufikisha ujumbe
 
Hongera ni hatua nzuri kwa wanamapinduzi..

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
There are currently 1428 users browsing this thread. (248 members and 1180 guests)
 
Can somebody call Mwigulu??

Tell him 2014 imekaribia n yet tunaruka viunzi tu, aje na project ingine.
 
There are currently 1429 users browsing this thread. (252 members and 1177 guests)

Ama kweli PAYROL ya NAPE ni kubwa sana!!:gossip:
 
Kwenye uzi huu mbona vijana wa lumumba siwaoni? Au ndo wanapanga mbinu zingine?
Nadhani sasa ni wakati turudi kwenye ujangili maana jamaa kapumua sana hizi siku tatu.

We nae, Ivi hujui zile I'd zao ni Za kutafutia rizki tu, matumbo yajae but those guys are purely CDM, hapa wamo na I'ds nyingine wakiponda magambaz, unaambiwa CCM yenyewe haina anayeipenda si mwanachama hadi kiongozi maskini, utakuta Hata Mwigulu mwenyewe anaichukia Basi tu afanyeje.. Imekufa Vibaya .. !!
 
Tunakushukuru mungu kwa unayotutendea.hao magamba wataendelea kuumbuka tu.
 
Mungu wangu si nilimsikia mwigulu bungeni yupo tayari kutoa ushahidi hata mbinguni ...........wale wa ndio wakashangilia du hiii mbingu alioisema itakuwaje sasa ataenda kanisani kweli ......big up cdm

Kwena mbinguni si kama kwenda danguro? Hawa utakuta mtu na haiba yake anasema chama chao kitadumu milele, wakati yeye mwenyewe atakufa wakati wowote na hata anaowaacha watakufa pia. Wanasahau walisema zidumu fikra sahihi za mwenyekiti, ni kweli zimedumu na zitadumu katika maandishi lakini kama zitatekelezwa zitanisubiri mimi niwe rais
 
Kwenye uzi huu mbona vijana wa lumumba siwaoni? Au ndo wanapanga mbinu zingine?
Nadhani sasa ni wakati turudi kwenye ujangili maana jamaa kapumua sana hizi siku tatu.

Wako kwenye kikao KIZITO. Watakuja wakimaliza kikao.
 
Ni Kweli Lukolo.Bila ukosoaji hatuwezi kukua kama chama cha siasa.Bravo!
Kuna watu humu ukiandika mazuri ya CHADEMA na ukaandika mabaya ya CCM, wanakuona ni wa kawaida kwa kuwa unaandika wanayoyapenda wao. Lakini siku utakapoandika mabaya ya CDM na kuyasifia mazuri ya CCM, hata kama yana ukweli, watu watakujia juu. Wanadhani ukiwa CHADEMA basi unatakiwa uwe mnafiki na kusifia kila kitu hata kile chenye kutishia mstakabali wa chama.

Ninajua wengi hivi sasa wanapenda mageuzi na wanayatafuta kwa hali na mali, kiasi cha kwamba wapo tayari kuona chadema inaingia madarakani despite mapungufu yake. Lakini mageuzi ya namna hii yatatuumiza. kama hatutaclear baadhi ya weakness zetu, basi tunaweza kuingia madarakani halafu tukafanya vibaya kuliko hata hao CCM. Jifunzeni kutoka kwa Fredrick Chiluba kule Zambia.

Ni lazima tujenge utamaduni wa kukosoana. Na ni lazima tutambue kwamba CHADEMA kinaongozwa na binadamu wenye tabia kama za wale wa CCM. Kunahitajika kuonyana na kukaripiana ili kurudishana kwenye mstari na kuweza kujitofautisha na CCM. Kama tutaamini kila wafanyacho chadema ni kizuri, na hata wakikosea tunatafuta namna ya kuyapaka mafuta makosa yao, basi tutakimaliza hiki chama yumkini hata ikulu kinaweza kisiingie. Tukosoane ili tujengane.
cc. Kdm255
 
Hakika mwenyezi mungu ametenda maajabu,amewaangazia wale wasio na hatia waliopelekwea mahamani kwa chuki wakaswekwa mikononi mwa shetani mto roho za watu,mungu awabariki sana waliotenda muujiza huu
 
At last Court has prove Alfred Lwakatare is NOT terrorist!!
 
Hili ni pigo kubwa kwa Mwigulu na ma-ccm wenzake! Ni aibu kwa polisi na ni aibu kwa serikali yetu! Nimemsikia mzee wasira akisema "watawachukulia hatua wote wanao leta uchochezi" wa kuanza nao iwe kina Mwigulu.

Aibu kubwa anatakiwa aibebe Mwigulu Nchemba kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa akipanunua mdodo wake na kubwabwaja kuwa hata mahali muhimu sana kama bungeni kuwa ana ushahidi wa hayo.

Mtu kama huyu ndiye anayefanya watu wenye busara zao wakione chama cha Mapinduzi kuwa kimeingiliwa. Hii haifai kabisa. Hafai kabisa kuwa mwana CCM kwa kuwa anatudhalilisha.
 
According to Radio One stereo, mashitaka matatu ya ugaidi ndiyo yamefutwa limebaki moja la kula njama ya kumlisha sumu mwandishi Denis Msaki
 
poleni sana wana bukoba tuendelee kumshukuru Mungu kwa kila jambo

Pole ni kwa watanzania wote wapenda ukweli,walioko n'gambo na nyumbani. Natambua viongozi wa upinzani wanaowindwa sana ni wale watokao: kaskazin, kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini, magharibi,mashariki na kanda ya kati. Mungu atulinde na haya majangiriccm yanayotupakazia kesi kila kukicha.
 
Back
Top Bottom