Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

adi nitakapoona katika TV akitoka mahakamani na akiwa nje kwa dhamana

yani ccm haweshi vituko kwa kupandikiza kesi za kishenzi,tunangojea kiroja cha arusha sasa!!

no,ameshapelekwa rumande, hawakujiandaa kwa dhamana. Hivi ludovick inakuwaje?
 
Usalama wa Msack na Zitto sasa upo mashakani
 
kuna mtu atajinyonga hapa na mbwembwe zao hawa ni Mwigulu na Nape.
Plan A udini,plan B ukabila, plan C Ukanda,plan D ugaidi zimeshindikana.
plan E sijui itakuwaje.
Hii ni habari njema sana kwa wanachadema na watanzania.
kesi itarudi kisutu kuendelea pale kwa full trial ingawa nina uhakika hawana evidence.
state attorney watazungusha baadae kesi itafutwa.
 
...daaah kamanda acha kuchelewesha msosi wakati tunasikia harufu taaamu,hebu funguka zaidi watu tunashangilia lakini hatujui kinachotushangilisha....
 
atang'ang'ana kwamba ana ushahidi wa mlipuko wa ars.
Hiyo michembe ni hasara tupu.
 
Kwa mantiki hiyo Mwigulu anaweza kufungulia kesi kwa kuwa aliongopa???
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo lina dhamana.

>Kuna habari zinadai kuwa amefutiwa mashtaka ya ugaidi ila anashtakiwa kama kosa la Jinai.

JE? Kunaukweli wowote?

>MUNGU IBARIKI TZ
 
Mbona ludovick hakuonekana kufurahi wakati watu wakilipuka kwa furaha pale mahakamani? Lwakatare kalipuka kwa furaha. Nipeipenda hiyo. Hakukuwa na mkutano wa kigaidi.ful stop
 
Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?
hujui kusoma lakini kuandika unajua.

Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo lina dhamana.​

 
Huyo hakimu aliyefuta kesi ya ugaidi tusishangae kusikia kahamishwa kikazi au kaundiwa zengwe au tutarejea kumbukumbu ya Juan Mwaikusa (RIP)
 
Ndio maana Mwigulu safari hii amekua mpole sana.

alijua upepo utamwendea vibaya.
 
Hili ni pigo kubwa kwa Mwigulu na ma-ccm wenzake! Ni aibu kwa polisi na ni aibu kwa serikali yetu! Nimemsikia mzee wasira akisema "watawachukulia hatua wote wanao leta uchochezi" wa kuanza nao iwe kina Mwigulu.
 
Haya sasa magamba wameshakula za uso mahakamaa kuu. Hakuna cha ugaidi wala ndugu yake na ugaidi, sasa Mwigulu aende akatoe ushahidi mbingu ya shetani kwakuwa anao kama alivyokuwa anapiga propaganda.

Tulishawaambia tangu mwanzo kwamba hii kesi imetengenezwa tu na hakuna substance ya kuifanya iwe kesi ya ugaidi, zaidi ya kuwa makosa ya kanuni ya adhabu lakini hawakutaka kuelewa, haya sasa mahakama kuu imewaumbua.
 
I and i this old i know,i and i this old i say,i and i reconsider,i and i see upfully that,lumumba house is falling down,and nyerere curse is eating it down to the grave!
 
Mwigulu sasa atajinyonga

Anatakiwa akamatwe ili awasilishe ile video aliyosema anayo viongozi chadema wakipanga mauaji maana mahakama imeshaonyesha sio hii!!chedema kwa nini hawamfungulii kesi Mwigulu kwa maneno yale aliyotoa Star Tv??
 
Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?

wewe ndio unasoma kama unakimbizwa mleta mada amesema lwakatare kabakiziwa shitaka moja la utekaji ambalo lina dhamana soma vizuri.
 
Back
Top Bottom