Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,713
- 671
Alisema kuwa sura ni yake lakini maneno si ya kwake!.lakini video ni yake ngoja tuone mwisho wake.
Mpaka mwaka huu mkongwe Bruce Lee ametoa movie mpya mkuu!.
Alisema kuwa sura ni yake lakini maneno si ya kwake!.lakini video ni yake ngoja tuone mwisho wake.
of course the boy is ageedibly smart upstairs, no one can deny that but, unfortunately, as its widely a known fact, kwamba kizuri nacho pia hakikosi kasoro. kwa maana hiyo basi jamaa naye pia anazo kasoro nyingi tu na kubwa kuliko zote ni hii ya u-superioty complex. he is too arrogant kuweza kujizuia mihemko, tamaa za kutaka mambo ya harakaharaka na kujiona yeye ndiye yeye; kwamba eti kafanikisha sana kuliko wengine na kwa hiyo eti anastahili sana kuliko wengine. of course, to be sincere, in a way this is true lakini the truth inachafuliwa na tabia ya jamaa kukosa kuwa humble na reserved. sisi wengine, ambao ni wakweli kwake, tunamsemaga kwa uwazi si kwa sababu tuna mchukia ila tunamtaka ajifunze, ajitulize ili azidi kuwa mtu muhimu sana katika harakati za ukombozi na ujenzi wa taifa jipya la Tanzania. Kimsingi wanamapinduzi wengi tunamkubali, tunamheshimu, Tunampenda na tunamhitaji sana. kitu tunachomwomba kuliko vyote ni kuwa atulie, atulize bolu (play it cool zito) na mara zote aitangulize CDM mbele naye aje nyuma, tena kwa mbaaaaaaali taratibu. akifanya hivyo sisi wanamapinduzi tutazidi kumpenda na haitachukua miaka mingi kabla hatujamvuta kwenye kiti cha mbele kabisa kwa sababu ni kweli kuwa, with time, the guy deserves and is, of course, capable. only tu atulie, asiwe kama kumbikumbi kutaka kuruka angani haraka coz, after all, kumbikumbi huruka na huliwa.
mnatakakuendelea na matamko,maendamano,migomo,sumu,kugawa namba za watu, wizi wa wake za watu,matumizi mabaya ya ruzuku na misuguano isiyoisha .r.i.p.chadema
mnatakakuendelea na matamko,maendamano,migomo,sumu,kugawa namba za watu, wizi wa wake za watu,matumizi mabaya ya ruzuku na misuguano isiyoisha .r.i.p.chadema
tulitegemea hili la kumfutia mashtaka lifanyike ,hongera wapambanaji wa cdm hakuna kurudi nyuma .
Mpaka sasa ni Lwakatare na CDM 3 : 1 Mwigulu Nchemba na CCM
Katika uwanja wenu wa nyumbani.
Mahakama Kuu ya Tanzania
imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa
Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja
tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.
Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA
walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA
waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.
Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono
wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.
Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano
ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter
Kibatala na Naronyo Kicheere.
Lwakatare ni gaidi tu
-
Kuna ugonjwa wa akili umeingia, Mtu masaa 24 anawaza UKRISTU/UISLAM alltime.. Ukristu wenu na Uislam wenu Pelekeni huko Kwenye Nchi Zenu.. SISI NI WATANZANIA..
Dini hizi ni propaganda Za kiutawala tu, habu acheni mambo ya Dini-Dini embu njooni wote TUACHENI DHAMBI, TUMWAMINI NA KUMFUATA YESU.. Yesu SIO ukristu wala Uislam Yesu ni YESU TU.. !
nakubaliana na wewe,
udhaifu wa chama na viongozi ni lazima usemwe, hii itaisaidia chadema
kukua kuwa imara zaidi kuliko kusifiana tu
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.
Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.
Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.
Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
leo lazima walale njaa..buku saba imeyeyukaNa leo posho hawapati, maaana hawajapost kitu kwenye hii thread, watakomaje?