Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

mwigulu na kinana ni
mzigo kwa chama chetu,mwigulu nilimshtukia wakati alipoichana hotuba
ya bajeti ya chadema bungeni mwaka jana.nilimshangaa sana kwa kitendo
hiki.chama chetu kilionekana mbele ya jamii kama genge fulani la wahuni
wavuta bangi.kinana kwa sasa anajulikana nchi nzima kama jangili.na
mwizi wa mashine ya kufua nguo ya mt.meru hospital.eti hawa ndio aina ya
viongozi wa chama.

kwakweli hata mimi nimeanza kukata tamaa na chama changu,tabia ya kutumia polisi kubambika watu kesi ni tabia ya kishetani,nimeanza kuwa na wasiwasi juu mwenendo wa chama changu.
 
Wao wana DOLA sisi tuna MUNGU!

Wao wana DOA siyo dola. Dola yoyote ikijiunga na wezi katika taifa. Si dola tena bali ni DOA kwa taifa. Huko nyumbani hakuna dola. Bali ni gang. Kwa rasilimali zilizoko huko hao unaowaita "dola" wangesimama vizuri leo tungekuwa mbali sana kiuchumi. Ona hata maisha ya askari wetu.Ni maisha yanayodharirisha utu wao.Eti nao ni watumishi wa serikali!. Ni aibu sana. Japo wanaumiza CHADEMA. Siku ya kulia na kusaga meno kwa CCM inakuja. Ee Mungu siku hiyo isichelewe.
 
I like this. You're 100% right
 
Bila shaka sasa mnakubali kuwa mahakama inafata haki. Sio mbeleni mje kusema inapendelea ccm
 
Ndio maana Mwigulu safari hii amekua mpole sana.

alijua upepo utamwendea vibaya.

Mkuu usimsahau na kiongozi Zitto aliyeandika barua eti Lwaka ajiuzulu wadhifa wake ili kulinda heshima ya chama.
 
Wote wanaofurahia kubadilishwa kwa masjtaka dhidi ya lwaka ni wauwaji na ni magaidi
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.

Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.

Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.

Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.

Ugaidi ni nini?
 
kwa kuwa ni mkristo kaachiwa na mwisho wa siku pia hata hilo kosa moja hatakuwa nalo.
ila muislam mwenzetu SHEHE PONDA, ndugu yetu, kipenzi chetu kesho atafungwa tu.
waislam ndani ya tanzania tunaishi kama watumwa.
IPO SIKU.
 
Haya sasa magamba wameshakula za uso mahakamaa kuu. Hakuna cha ugaidi wala ndugu yake na ugaidi, sasa Mwigulu aende akatoe ushahidi mbingu ya shetani kwakuwa anao kama alivyokuwa anapiga propaganda.

Tulishawaambia tangu mwanzo kwamba hii kesi imetengenezwa tu na hakuna substance ya kuifanya iwe kesi ya ugaidi, zaidi ya kuwa makosa ya kanuni ya adhabu lakini hawakutaka kuelewa, haya sasa mahakama kuu imewaumbua.

Mkuu Maranya sasa Single ya Ugaidi imefulia jumla....Mtanzania watoe tena front page.Mungu ni Mwema Daima kwa watu wake.Wao na Shetani CDM na Mungu
 
Kama mimi ningekuwa Mwigulu , ningechukua uamuzi mgumu ! Ningejiuzulu Ubunge na hata uongozi wa Chama ili kujisitiri na Aibu yangu binafsi na kulinda heshima ya CHAMA CHANGU !
 
''Ikithibitika kuwa video hiyo ni feki na nimeitengeneza najiuzuru ubunge, unaibu katibu mkuu na nina acha siasa na nakwenda kuokoka upya’’ Mwigulu Nchemba, 09/04/13 19:29. JF

Mwigulu songela mbwane we mambo yamefikia ukingoni.TUENDELEEE TUSIENDELEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!! kaka itisha press conference ubwage manyanga vinginevyo ccm watakutafuna mchana kweupe umewaaibisha.ulisema mchawi huwa analia sana kilioni wewe je!!! serukamba
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.

Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.

Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.

Mwanafamilia mmoja wa Lwakatare huku akibubujikwa machozi akasema mkono wa Mungu umeonekana dhidi ya shetani mtoa roho za watu.

Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.

"...mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere..."

Kesho utasikia mtu mzima anainuka bungeni anauliza 'kwani Mabere Marando ni nani nchi hii?'

daima haki hufika japo kwa kuchelewa.

hii santuri ya ugaidi imechuja kabla haijaanza kuuzwa ama ushahidi wa Mwigulu bado haujafika mahakamani?

kwa kuwa ni mkristo kaachiwa na mwisho wa siku pia hata hilo kosa moja hatakuwa nalo.
ila muislam mwenzetu SHEHE PONDA, ndugu yetu, kipenzi chetu kesho atafungwa tu.
waislam ndani ya tanzania tunaishi kama watumwa.
IPO SIKU.

Sumu za M.saidi zinafanya kazi.!!!
 
You're just hopelessly wimp.
Why are you cowering with FAKE ID. Come out with your verified ID.

Maneno yako hayawezi kumzuia Zitto kunywa maji. Hata wanaokutuma pia ni COWARD zaidi yako.

You're just banging your head against a brick wall.
Hebu futa kwanza mimate yako na mikamasi...

Povu lote hili la nini? wewe ni verified user? mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Kwa verified users kukesha humu wakitetea hoja za kijinga na umbea ni upumbavu na kukosa akili hata kama unatumika/unatumiwa kwa malipo. Naamini hukumu hii itakuwa funzo kubwa kwa watu wa aina hii...JF idumu!
 
kwa kuwa ni mkristo kaachiwa na mwisho wa siku pia hata hilo kosa moja hatakuwa nalo.
ila muislam mwenzetu SHEHE PONDA, ndugu yetu, kipenzi chetu kesho atafungwa tu.
waislam ndani ya tanzania tunaishi kama watumwa.
IPO SIKU.

Sumu za M.saidi zinafanya kazi.
ametengeneza kizazi cha kulalamika tu bila kuwapa suluhu jinsi ya kujikwamua.!!
 
Bila shaka sasa mnakubali kuwa mahakama inafata haki. Sio mbeleni mje kusema inapendelea ccm

style yako inaonyesha kwa kiasi kikubwa kuwa, kama nilivyo mimi, wewe pia utakuwa si mwanasheria. lakini hata kwa asiye mwanasheria kama mimi na wewe anapaswa lau kuelewa moja ya principles za kisheria kuwa haki si tu kwamba inatakiwa itendeke bali inatakiowa IONEKANE IMETENDEKA. CCM au chama au mtu au taasisi yoyote ikitendewa haki na mahakama ni sawa tu almradi tu haki hiyo inayotendwa IONEKANE kweli ni haki haki hiyo kutendeka na si kutendewa tu almradi tu au maadamu tu ni CCM. vinginevyo Ikiwa hivyo kaka kelele lazima tutapiga tu.

mathalani, magamba mkishinda uchaguzi kwa katumia katiba batili mnayoitunga wenyewe wenyewe, kwa kelele za ndiyoooooooooooo bungeni, au mkishinda uchaguzi unaosimamimiwa na tume fake ya uchaguzi mnayoiunda, kuisimamia na kuilipa ninyi ninyi wenyewe, ni lazima tu tutapiga kelele. kwan nini bwana? hivi kuna mwenye akili timamu asiyejua kuwa no one can be a judge in their own cause?! au wewe mkuu majebere embu simama utufafanulie on how can a monkey judge an affairs of a forest??!!
 
Back
Top Bottom