Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Weshampa umaarufu wa kutosha lwaka. Sasa weshamsafishia njia ya ubunge bukoba... Bg up lwaka.
 
wajameni,na yule mjumbe wa kamati kuu ya CDM aliyetaka uchunguzi wa haraka kwa kumwandikia katibu mkuu kwa mbwembwe na kui-leakisha barua anasemaje???? duniani kuna mambo!!!!!!!!!!!!!!! Nchemba yumo hata CDM kupitia hawa
 
Tunaamini haki imetendeka....
Na huyo ludo niaje,,,,hivi haka kajamaa ni kanifiki au maaana me hii picha ya ludo cjaielewa mpaka leo?
 
Sasa hivi nguo za ndani za Mwigulu Nchemba zinalowa
 
Mwigulu,CCM,POLISI-CCM,DPP waumbuka kwa mkakati dhafu wa kubambikiza kesi ya ugaidi kwa viongozi wa CDM.

Ushauri kwa CDM wazunguke nchi nzima kutangaza ufedhuli huu wa NONDA MTOA ROHO (CCM) na jinsi walivyowashinda....................
 
Dhuluma na hujuma za magamba zitafika mwisho,Mungu ameonyesha NJia.TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU
 
Hii si siku nzuri kwa Pasco

Ukweli una tabia moja tu, utabakia kuwa ukweli milele...

Kama ulivyo ukweli kwamba nchi hii kamwe haiwezi kuongozwa na mwizi kama Edward Lowasa basi ukweli huu utabaki milele na kama Urais ajiandae kugombea Urais wa TFF, FIFA wameagiza mchakato uanze upya.
 
Last edited by a moderator:
pole mkuu,naona wamekuharibia siku kabisa.

Hapana mimi sipatagwi na siku mkuu nirijali wa ukweli. By the way mwenye haki yake apewe ukimnyima ni dhuluma so kama Lwakatale kaonekana hana kosa poa hiyo ni haki yake.
 
FIKIRI KWA USAHIHI MKUU. CCM WAMEFANYA ZURI LIPI?. Tuwasifie!. Ni lipi hilo unaloliona peke yako?. CCM WAMEIHARIBU SANA NCHI HII KWA UFISADI WA KUTUPWA NA MIPANGO ISIYO TEKELEZEKA?. Tuwasifie kwa lipi?. Litaje. CHADEMA kukosoana hakuna tatizo, ni wazo zuri sana.
Sikumaanisha kwamba CCM wanafanya mazuri mengi sana yanayostahili kusifiwa. Lakini pia haimaanishi kwamba hakuna siku waliyowahi kuja na wazo jema. Hata kuanzisha usafiri wa trein tu Dar es salaam lilikuwa ni wazo zuri linalohitaji pongezi, hata huo mpango wa Dart bado unatia moyo. Hata kama ni maadui zetu kisiasa, wakija na wazo lenye tija tuwapongeze. Nia yetu si kuwakosoa tu hata kwa mazuri, bali kuwasaidia wawatumikie vizuri watanzania.
 
Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?
mbona ameshasema, kuwa ana kesi moja tu sasa ya utekaji, au hilo hujaliona? Muwe mnasoma vitu kwa makini kabla ya kukurupuka na huongozwa na hisia za vyama
 
Leo kila mwanacdm anaisifia mahakama eti imetenda haki ila kama maamuzi yangekuwa kinyume na matakwa yenu basi yangemwagika matusi ya ajabu humu.

Watu wanaicheka serikali hii impontent. Kesi ni yakubambikizwa. Kwanini cdm wasifurahie kazi nzuri ya mawakili wao. Acha unafiki wako.
 
Pasco, tia neno mkuu
Mkuu atasema nini gamba Pasco alishasema sana hata zaidi ya mwezi... na ile redio ya Wafu, Sugu alisema warudi studio wakatengeneze CD upya!

quote_icon.png
By Pasco
Mkuu Tumaini Makene, with due respect, weka katika kumbukumbu yako maneno haya, "With 'bonafide genuine', the stakes are very high!, the price so huge!, you'll pay very dearly!". Mark my words!.

Pasco.
 
Last edited by a moderator:
mbona ameshasema, kuwa ana kesi moja tu sasa ya utekaji, au hilo hujaliona? Muwe mnasoma vitu kwa makini kabla ya kukurupuka na huongozwa na hisia za vyama
Inaonekana wewe ndiyo umeiona hii thread saa hizi baada ya kuongezewa maneno. wenzako walioiona mapema wameniwekea like. Au hujaziona?
 
Back
Top Bottom