Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Mimi pia nitapenda sasa vyombo vya usalama au serikali iweke wazi juu ya undani wa ile video kwa kuwa imeonekana Lwakatare hana hatia lakini wakati huo huo video ipo kwa maana kuna aliyeitengeneza.Sasa mtunzi halisi wa ile movie, director na walioandaa script wakipatikana kwa usahihi ndio sasa tutasema tumekamilisha round moja.

Wanajulikana....Director Mwigulu Nchemba, Executive Producer: Muhidini Issa Michuzi.....Marketing Manager Mwigulu Nchemba, Camera man Joseph Ludovick, Sales Executive: Pasco...unaweza kuanzia hapo...ongeza na wengine hadi timu itimie...

CC. Kdm255 : Maoni yako yamezingatiwa...
 
Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?

Lukolo Chris Lukosi mnafiki nakuona hapa...roho inawauuuummaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Nibora kufuta kesi kwani MWIGULU NCHEMBA angepandishwa kizimbani, so case ingekuwa mbaya zaidi..welcome lwakatare for freedom fight, one day dream must come true r.i.p CCM
 
Pasco Kutumika kubaya sana,


Mkuu Tumaini Makene Ben Saanane Molemo Matola Tuko Mkirua Birigita Mohamedi Mtoi mikael P awenda Mzee Mwanakijiji

Tumpatie adhabu gani Pasco kwa kutumika kwake kwa Mwigulu Nchemba kwa haya maneno yake? kwa wanaJF na kamanda@Tumaini Makene?











CC Pasco

Mkuu kuna principle moja ndogo lakini muhimu sana watu inabidi tujifunze kwa bidii zote. Ni mara chache sana watu wanahukumiwa kwa KUTOKUONGEA RIGHT things. Mara nyingi watu wanahukumiwa kwa KUONGEA WRONG things. Nilishasema huku kwamba binadamu akizaliwa inamchukua takribani miaka 2 kujifunza kuongea, na pia inamchukua miaka michache kujifunza nini cha KUONGEA. Hata hiyo it takes almost life time kwa binadamu kujifunza nini cha KUTOKUONGEA...
Hakuna jambo baya kama kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho, hususani katika masuala yanayogusa hisia za wengine... you better stay quiet..
 
Sumu na wenzie akina Riz, makupa nk nendeni Lumumba mkajipange upya, aibu itakuwa juu yenu lakini kwa kuwa humuelewi mtaendelea kuropoka.
 
Mimi bado nimeitunza kauli ya Mwigulu kwenye signature yangu hapo chini.

Mkanda ni feki au genuine?

Ukiwa feki tuanze kumtaka Mwigulu ajiuzulu nyadhifa zake zote kama alivyoahidi.
 
Tatizo lako wewe humjui Lukolo ni nani? Wewe unaamini Lukolo, chilisosi na Chris lukosi ni mtu mmoja. Lakini siyo kweli. Mimi ni mtu mwenye fikra huru. Nipo tayari kuikosoa chadema pale inapokosea na nipo tayari kuisifia inapofanya vizuri. Kwa kufanya hivyo naamini kwamba ninakisaidia chama changu cha CHADEMA kuweza kukua na kuimarika zaidi. Lakini unafiki wa kusifia hata pale ambapo viongozi wanachemka sidhani kama inamsaidia yeyote.

Mkuu Lukolo kuanzia sasa nakutoa kwenye list hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Ni aibu kubwa kwa gaidi na mzushi Mwigulu Nchemba na magaidi wengine wote wa chama cha magaidi. Hata hili shtaka lililobaki lilistahili nalo kufutwa.
 
Tatizo lako wewe humjui Lukolo ni nani? Wewe unaamini Lukolo, chilisosi na Chris lukosi ni mtu mmoja. Lakini siyo kweli. Mimi ni mtu mwenye fikra huru. Nipo tayari kuikosoa chadema pale inapokosea na nipo tayari kuisifia inapofanya vizuri. Kwa kufanya hivyo naamini kwamba ninakisaidia chama changu cha CHADEMA kuweza kukua na kuimarika zaidi. Lakini unafiki wa kusifia hata pale ambapo viongozi wanachemka sidhani kama inamsaidia yeyote.

Ni Kweli Lukolo.Bila ukosoaji hatuwezi kukua kama chama cha siasa.Bravo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom