Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,298
- 7,322
Gamba ZeMarcopolo linajifanya Dr kumbe ni mganga wa kienyeji kama kaka yake prof Maji marefuOngeza na hawa....NasDaz na The marcopolo
Gamba ZeMarcopolo linajifanya Dr kumbe ni mganga wa kienyeji kama kaka yake prof Maji marefuOngeza na hawa....NasDaz na The marcopolo
KQjdslqukh
natamani ningekuwa bukoba[FONT=arial
black]Tutampa Ukaribisho wa kishujaa hapa
Kagera[/FONT]
Wapi Chris Lukosi pamoja na Rejao!
Simpendi huyo mtu yaani basi tu.
Mungu ni mwenye haki na daima husimama upande wa wenye haki na kuwalinda.
Shimo walilotuchimbia, watatumbukia wenyewe.
Hua sielewi, mkuu wa kaya anamsifiaga sana huyu jamaa, mbona project zake nyingi hua zinafeli mapema hata kabla ya majaribio? Kulikua na ile project ya kutishiwa kuuawa kwa njia ya sms, Marando akampa kubwa, alitengeneza mauaji kule Singida mjini, Igunga, Arumeru n.k, lengo likiwa nikifanya CDM kionekane ni chama cha mauaji lakini kilichotokea ndio hicho tena, watu wanazidisha imani kwao, hii movie nayo ilianza kuoesha dalili za kudoda sokoni mapema kabisa hata kabla ya kuingia huku kwenye mauzo, ilipigiwa promo ya kutosha kabisa, hivi ndio kusema huko magambani huyu ndio genus au?