Wakati mwingine ofisi ya DPP huwa inajidhalilisha, hivi kweli utasema yale mashtaka ya Lwakatare ni ya ugaidi?. Kuna wakili mmoja wa serikali aliniambia wakati mwingine wanasimamia kesi kwa kulazimishwa hata kama wakitoa ushauri mzuri serikalini.
Kwenye uzi huu mbona vijana wa lumumba siwaoni? Au ndo wanapanga mbinu zingine?
Nadhani sasa ni wakati turudi kwenye ujangili maana jamaa kapumua sana hizi siku tatu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.