Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Toka lini gaidi akawa winifrid ingekuwa hussein sawa?????
 
Lwakatare gaidi?

Wameshajua nini maana ya ugaidi, maana wamejua kama walikuwa wanajifanyisha!

Wawatafute sasa magaidi kama kweli wao ni intelegensia.

Shekhe Ilunga, "Ua padri, askofu, ua kardinali, ua kiongozi yeyote mkuu, ili wajue kwamba ..." Mauaji yanafanyika; padre anapigwa risasi (anapona), padre mwingine anapigwa risasi (anakufa), bomu linapigwa kanisani, shekhe bado anazunguka mjini kwa raha zake.

Baada ya kuwamaliza viongozi wa kanisa atakuja na kauli mbio ya ua mbunge, ua mkuu wa mkoa, ua waziri etc.
 
Hivi tutaendelea kuwatania watanzania hadi lini?.....yaani serikali imetumia nguvu, na wakati mwingi kupote kwa tuhuma za kutunga ilhali magaidi wa kweli wakijipenyeza huko Arusha...na kuua na kujeruhi watanzania wakiwa hawana hatia yoyote!! lazima KINA TUNDU LISSU WAANGALIE UWEZEKANO WA KUISHITAKI SERIKALI KWA HILI!! Inauma sana kuona jinsi serikali hii ya CCM jinsi inavyoweka rehani rohozetu!!


Hata hao wa Arusha sio Magaidi kama uvyoamini or mnavyoaminishwa...ni serikali yenyewe imejipiga bomu huko ili kuwaadaa wananchi na matatizo yao. Msicheze na serikali inayoongozwa na msanii.
 
hapo kwenye red ni akina nani!!!?

There are currently 1307 users browsing this thread. (230 members and 1077 guests)
 
He mpaka page ya 13 vijana wa Lumumba hawajaonekana kabisa mitaa hii,maskini Mwigulu unaoana
sasa umewakosesha vijana hela ya kula leo'
 
Ccm oyeeeee.........!!! Macomrade wa ccm wote oyeeeee.....!!! Magambas na pro-ccm wote semeni mimi selukamba!
 
Pasco Kutumika kubaya sana,


Mkuu Tumaini Makene Ben Saanane Molemo Matola Tuko Mkirua Birigita Mohamedi Mtoi mikael P awenda Mzee Mwanakijiji

Tumpatie adhabu gani Pasco kwa kutumika kwake kwa Mwigulu Nchemba kwa haya maneno yake? kwa wanaJF na kamanda@Tumaini Makene?











CC Pasco

Tumsamehe BG(Bonafide Genuine) na Wale Maadui 'Virus' waliotaka tumtose na kumsaliti Lwakatare.Shame on them

Mungu hamfichi mnafiki Always.

CC:Wanafiki Wote na vibaraka wa CCM na marafiki zao
 
Extreamly happy. God is great, I am sure all involved in fabricating cases will be put to shame.
 
Tatizo lako wewe humjui Lukolo ni nani? Wewe unaamini Lukolo, chilisosi na Chris lukosi ni mtu mmoja. Lakini siyo kweli. Mimi ni mtu mwenye fikra huru. Nipo tayari kuikosoa chadema pale inapokosea na nipo tayari kuisifia inapofanya vizuri. Kwa kufanya hivyo naamini kwamba ninakisaidia chama changu cha CHADEMA kuweza kukua na kuimarika zaidi. Lakini unafiki wa kusifia hata pale ambapo viongozi wanachemka sidhani kama inamsaidia yeyote.
 
Haya bwana Magamba kanyaga twende. Anzisheni nyingine semeni Mnyika naye ni Shetani na mna ushahidi hadi mbinguni. Anakuja kuleta mwisho wa dunia. Mwigulu upo. NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi pia nitapenda sasa vyombo vya usalama au serikali iweke wazi juu ya undani wa ile video kwa kuwa imeonekana Lwakatare hana hatia lakini wakati huo huo video ipo kwa maana kuna aliyeitengeneza.Sasa mtunzi halisi wa ile movie, director na walioandaa script wakipatikana kwa usahihi ndio sasa tutasema tumekamilisha round moja.
 
Kwa yeyote mpenda haki na amani na Mtanzania mzalendo hii ni habari njema, tunaiomba mahakama isimame bila kuyumbishwa na mhimili mwingine wa serikali ambao umegeuka kuwa kama chama cha kigaidi.

Hakika haki siku zote ipo na inajidhirisha japo yaweza kucheleweshwa na njia ya muongo ni fupi.

Wapi Mwigulu aliyesema aombewe uzima kisa ana siri nzito juu ya kesi hii ya kutengeneza tena kwenye viofisi vya uchochoroni,
 
Namshukuru Mungu
kwa ajili ya kuweka ukweli huu bayana ila Tuendelee kuomba Mungu ili
wanaofanya dhambi hizi za kutesa watu na hata kuwaua kwa mateso
wajulikane na Mwenyezi Mungu awaadhibu Watanzania wakishuhudia. kuliko
hizo mbinu zao za kishetani za kubambikiza uovu kwa watu waadilifu kama
Kamanda Wilfred mwenye uchungu wa Watanzania wenzake.
poleni sana wana bukoba tuendelee kumshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom