mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,038
Mhh speechlessIf you want a good sex life, get the TV out of your bedroom!
It can act as a distracting mechanism sometimes...
Mhh speechlessIf you want a good sex life, get the TV out of your bedroom!
It can act as a distracting mechanism sometimes...
+VE
. . Inapunguza sababu ya mtu kuishia kulala kwenye kochi/sofa na kuambulia maumivu ya shingo na mgongo.
. . Inaweza kuongeza ukaribu kati ya wanandoa.
Badala ya mmoja kubaki sebuleni akisubiria sijui kipindi gani huku mwenzie akienda kubembeleza usingizi peke yake mnaongozana na kama mko vizuri hicho kipindi kinaweza hata kisiangalike.
. . Ukaribu + +
Kama sio wabinafsi mnaweza kujikuta kila mmoja anajenga interest na kile anachopenda mwenzake (mf movie, tamthilia, michezo, habari n.k) kwenye tv kitu ambacho kitaongeza mambo ya ninyi kuzungumzia.
. . Distraction
Bila kusahau kelele kidogo ili kuficha wakati wanandoa wanajishughulisha. Nadhani jambo la muhimu ni watu kujiangalia tu na kujua walivyo. Wengine inafaa zaidi wawe nazo chumbani, na wengine haifai.
Watu wa Australia wanaofuatilia ligi za ulaya wanastahili kuhurumiwa kuwa na TV chumbani?
Nimekuwa nikishawishika mara kwa mara kuweka luninga chumbani ila mara karibu na zote nasita.
Maana nikiwa na movie nzuri basi huwa natumia hata laptop kitandani kuiwatch kiasi kwamba naweza lala saa kumi napo ni kujilazimisha ili kesho niweze function kazini.
So kwa mtu ambaye aso na kipimo na again kwa uhai wa mahusiano sishauri; chumba kibaki sehemu ya kupumzikia tu na faragha.
Wengine sisi tunaishi uswazi kule ambako chumba ni hicho hicho na sebule ni hiyo hiyo huku unaweza kusikia yale yanayoendelea kwenye chumba cha mpangaji mwenzako kwa kutokuwa na silling board
Bila kusahau kelele za muziki kwenye radio ndogo za kuchaji [hapa nawashukuru wachina kwa kutuletea hizi radio za kuchaji maana tunaishi nyumba zisizokuwa na umeme] ambapo kila mtu anakuwa anasikiliza stesheni yake,sasa hapo utaiwaza tv kweli?
:focus::focus:
Kwenye suala hili japokuwa ninakubaliana na mtoa mada lakini napenda kusema yafuatayo
Ili maisha yaende inatakiwa tuwe in control kwenye miili yetu,kitendo cha kuacha kuweka TV chumbani kwa kuhofia hili au lile wakati ukiamua hata hiyo TV unaweza usiiwashe hata mwezi mzima naona ni kama kutokujitendea haki sisi kama binadamu. Kuwa na amri kwenye miili yetu itasaidia sana kuwa na heshima kwayo na wengine pia!
TV mim ntaeka nione kama tv inapunguza munkari..
Tumalize haraka haraka ili niangalie TV..? Haina mantiki..
Hahahaha. . EMT Ndio nime'seto' huku kwetu Sudan baada ya kuchomewa na wazushi wa JF. . .Lolz
Back to topic
Mgao wa umeme hautosababisha mgao wa mambo mengine, ila tu watu wengine wanaenjoy zaidi pale wanapojisikia huru kupiga tukelele twa hapa na pale kuliko kuzibana midomo.
Kuhusu ukaribu, TV inaweza kuongeza ama kupunguza hilo halina ubishi. Inategemea tu na aina ya mtu uliyenaye pamoja na hobby zake/zenu. Ukiwa na mtu anaependelea kusoma its obvious unaweza ukaongeza ukaribu nae ikiwa na wewe unapenda kusoma ama utajitahidi kusoma every now and then. . .vile vile kwa wapenzi wa tamthilia,movie,kusafiri na kuendelea. Kwahiyo zipo njia nyingine za kuimarisha ukaribu, lakini haziwezi kutumika kwa kila mtu.
Usiniambie team ikishindwa hata strip teasing haiwezi amsha vilivyonuna??????Kuliko kushindia kwenye TV chumbani why don't you put on some cool music and strip for him? I am sure he will love it na remote ya TV atatupilia mbali huko.
Hata yule wa Fixed Point anayengalia soka in the bedroom atatupilia remote huko potelea mbali hata kama timu yake ikifungwa (though kwa wengine when it comes to soka tafadhali sana mtupishe whether it is in the bedroom or sebule).
Sasa wakati unakuja huku utoe taarifa kabisa ili tujipange. Tokea yale ya Mushi tumekuwa very careful
Does this applies to all? Hata kama ina-apply kwa wote vipi kama mkiweka mziki uliotulia na unaoendana na mnachofanya?
Mie napenda sana soka. Wakati wa live soka huwa nataka ku-concentrate kwenye soka tuu, sitaki kuguswa au kuambiwa chochote unless uniulize kama bia imeisha na unataka kuiniongezea nyingine. Hata uki-strip hapo, nitaona kama unaniwekea kiwingu tuu.
Sasa nikikutana na mtu anayependa tamthilia na hiyo tamthilia ipo hewani wakati wa soka, kuna uwezekano mkubwa nikakuacha huko bedroom na TV yako na kuwa kipindi cha pili kwenye kibandaumiza cha mtaa wa pili.
Hapo sidhani kama TV itakuwa inajenga ukaribu, hata kama ipo sebuleni.
Hivi kumbe humu na tv watu huwa mnaangalia!
Maana kuna wale wa chitchat all the time wanamimina post mpaka huwa najiuliza sijui hata amri ya sita huwa wanaisigina saa ngapi?
Hivi kumbe humu na tv watu huwa mnaangalia!
Maana kuna wale wa chitchat all the time wanamimina post mpaka huwa najiuliza sijui hata amri ya sita huwa wanaisigina saa ngapi?