Luninga kwenye chumba cha kulala

Luninga kwenye chumba cha kulala

kweli tv aihusu chumbani your partner must be ua tv at the time
muangalie mchokoze mtanie ongea nae na wakati wenu huo na kukodolea macho tv
na unga mkono hoja
 
Ngoja nimuombe BAK ama Fixed Point atupe vile vibao cha jumamosi asubuhi cha redio ya chumbani.

1. I will make love to u ~boyz ii men

2. Have you seen her ~ mc hammer

Mwenzio nipo mbali na Preta, hivyo vitu usinikumbushe. I'm missing morning glory ati!

Halafu sijui hawa ndugu zetu wa malodge kwanini hawafikirii kutuwekea redio badala ya ma-TV yao? Ajabu hata ukienda kwa honey moon wao na ma-TV tuuuu! full kubore!
 
Last edited by a moderator:
TV chumbani siyo mbaya.... inategemea tu inaku-drive kiasi gani.
kama unakuwa-glued kwenye TV muda wote ukiwa room, hata kama upo peke yako inakuwa siyo nzuri hata kwa afya. lakini kama unaitumia tu kama kiburudisho muda muafaka, tatizo liko wapi?
Mimi kuna kipindi nakaa hata 2 weeks sijaangalia TV, hata ya sitting room

muda muafaka upi
 
aisee hapo NAMNAANI SINZA nasikia ni chimbo zuri kwa kugegeda wake za watu mi mwenyewe na mke mmoja wa mtu namvizia ikitiki tu na mpeleka hapo NAMNAANI nasikia ni bonge la chimbo limetulia kuna vyumba kama 100 hivi yaani hapo unaweza ukawa hapo hapo na mke wako anachapwa hapo bila kujua.

Bandu Bandu, lile chimbo ni noma sana!!!!!
Mie najuta kulifahamu chimbo hilo.

Wamama, wadada, vibinti, vigori n.k. wanagegedwa sijapata kuhisi wala kuona. Lile eneo ni high class. Panalindwa na FFU huwezi amini aiseee!!!!

Wale jamaa wote wenye magamba aka mafisadi wa ccm wanapumzikia palepale na wake za wanyonge pamoja na watoto-vibinti vya wanyonge.

Ukiangalia magari yanayopaki nje utaelewa ni kwanini pawe na ulinzi mkali namna hiyo.

Lakini usiogope, we nenda tu hata na nissan march utatimbwilika tu full starehe.

Nalog off.
 
aisee hapo NAMNAANI SINZA nasikia ni chimbo zuri kwa kugegeda wake za watu mi mwenyewe na mke mmoja wa mtu namvizia ikitiki tu na mpeleka hapo NAMNAANI nasikia ni bonge la chimbo limetulia kuna vyumba kama 100 hivi yaani hapo unaweza ukawa hapo hapo na mke wako anachapwa hapo bila kujua.

Bandu Bandu, lile chimbo ni noma sana!!!!!
Mie najuta kulifamu chimbo hilo.

Wamama, wadada, vibinti, vigori n.k. wanagegedwa sijapata kuhisi wala kuona. Lile eneo ni high class. Panalindwa na FFU huwezi amini aiseee!!!!

Wale jamaa wote wenye magamba wanapumzikia palepale na wake za wanyonge pamoja na watoto-vibinti vya wanyonge.

Ukiangalia magari yanayopaki nje utaelewa ni kwanini pawe na ulinzi mkali namna hiyo.

Lakini usiogope, we nenda tu hata na nissan march utatimbwilika tu full starehe.

Nalog off.
 
Ulikuwa unautaka huu mlongo wangu?

.........turn off the light.......
get off ya clothes if .....................
uuuuuwih kwani leo lini?saa ngapi kwani?kesho ni kazini?ehehehehehhehhe
SANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE dada kubwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom