Luninga kwenye chumba cha kulala

Luninga kwenye chumba cha kulala

EMT Actually inaweza ikawa nzuri au mbaya kutegemeana na matumizi.

-VE
. .Inachangia uchovu wa akili.
Sadly mimi ni mmoja wa watu ambao huwa wanaishia kulala na kuacha tv on. Ukiamka asubuhi macho yanakuwa machovu pamoja na akili kwasababu ya kelele na mwanga.
. .Inasababisha mtu achelewe kulala.
Ukiwa nayo chumbani unashawishika kuangalia na kuangalia na kuangalia hata kama muda uliopanga kulala ulishafika, kwasababu tu ipo karibu.
. . Inaweza kupunguza mawasiliano kati ya wanandoa wawapo chumbani. Badala ya kupiga story na kuchombezana wakati mnautafuta usingizi mama yuko busy na tamthilia/baba yuko busy na news BBC hata kusumbuliwa.

+VE
. . Inapunguza sababu ya mtu kuishia kulala kwenye kochi/sofa na kuambulia maumivu ya shingo na mgongo.
. . Inaweza kuongeza ukaribu kati ya wanandoa.
Badala ya mmoja kubaki sebuleni akisubiria sijui kipindi gani huku mwenzie akienda kubembeleza usingizi peke yake mnaongozana na kama mko vizuri hicho kipindi kinaweza hata kisiangalike.
. . Ukaribu + +
Kama sio wabinafsi mnaweza kujikuta kila mmoja anajenga interest na kile anachopenda mwenzake (mf movie, tamthilia, michezo, habari n.k) kwenye tv kitu ambacho kitaongeza mambo ya ninyi kuzungumzia.
. . Distraction
Bila kusahau kelele kidogo ili kuficha wakati wanandoa wanajishughulisha.

Nadhani jambo la muhimu ni watu kujiangalia tu na kujua walivyo. Wengine inafaa zaidi wawe nazo chumbani, na wengine haifai.

nimeiprnda hii , na siyo kuendekeza hofu na woga usiokuwa na maana....................
 
kwa sisi tuliokuwa na wake wenye mishahara mikubwa kuliko sisi ni bora miaka 100 kuwa na Tv chumbani maana ukimgusa mkeo akikukaripia basi unachukua series yoyote ya kikatili na kuiangalia ili ujifanye umesahau kumbe unaumia.
Nalog off
 
Daah kule ni noma....miaka ya nyuma nilimpeleka mgeni wangu pale nikamsindikiza chumbani...sasa kwenye kypigapiga stori mbili tatu si nikawasha tvii!!!daah almanusura nivunje tv yao!!nilikutana na sarakasi za kufa mtu...imagine mgeni mwenyewe tulikuwa tunaheshmiana ile mbaya

Majirani zangu Safari_ni_Safari na Kiteitei nawaunga mkono NAMNAANI ni noma mie nilipata aibu ya mwaka baada ya kumpeleka mkwe wa jamaa yangu pale si akataka kuangalia news, ile nawasha tv duh nilijisikia nimedhalilika yaani sitasahau
 
.Kama mtu anaweka TV chumbani na haitumii kwa muda wa mwezi mzima, then haistahili kuwapo pale.
Unless hulali humo chumbani, it becomes redundant and it should be removed.
Tena inaweza hata kuleta vumbi chumbani maana itakuwa imefungwa tuu huko.

Nilitaka tu kukuonesha kuwa kama tukitaka kuwa viongozi wa miili yetu TV haiwezi kuwa kikwazo popote pale!
 
Inapunguza concentration ya maongezi ya wawili, kuna vipindi vingine unaingia ushabiki tu kwa sababu viko karibu na wewe. Unaweza kuwa huna mpango wa kuangalia series, lakini kwa sababu tv iko on, na muda huo mara nyingi uko kitandani, unaanza kutupia jicho kidogo kidogo mwishowe unajikuta mshabiki haswaa.

Inapunguza maelewano, imagine mjamaa anataka ugeuke afu wee kipindi upendacho kiko on, na unataka kujua nini kinaendelea. Hata kama utageuka hutakuwepo hapo, unatamani kumwambia fanya haraka bana. Kadhalika kuwe na mpira, mko kitandani afu Chelsea imeshafungwa, unashtukia mtu kaamka na ukaa. Saa hii ya huyu anataka huyu anaangalia kipindi ni mvurugano tu.
Afu sometimes kuna vipindi fulani hivi vya usiku, vinahamasishaga sana matukio. Kama mmoja anaangalia n mwingine kalala, huchelewi kumrupua mtu usingizini akupe mchezo, aliyekuwa kalala anabaki anashangaa tu nini kinaendelea mbona mwenzangu ana nguvu za supaman. Somehow ok, ila wakati mwingine ni kumsumbua tu aliyelala, ukute kesho yake ana ratiba ngumu za kazi na hapo kaamshwa for 2 hrs usiku wa manane.

Kuchelewa kulala bila sababu ya maana, ukiamka umechoooka, inaumiza hata macho. Afu ule mwanga unaomulika ndani, kama mnaishi uswahilini ndio mwanzo wa kupigwa chabo.

Kwa sababu hizi, sipendi tv chumbani.

Break down the experience for us then.
 
tv chumbani hapana aisee

chumbani sehemu ya kupumzika na kupumzikiana, na kushusha stress au kuonyesha furaha

no tv
 
Kids are tricky, very, unaweza kuona watoto wanalala saa 1, kumbe wanalala asubuhi.

Kuna familia moja, watoto wako shule ya msingi, wana games chumbani, na tv iko sebuleni full dstv. Sijui kuna kipindi gani, walikuwa wanakipenda na kinaonyeshwa saa 9 za usiku. Wakawa wanaamka na kuangalia hadi asubuhi, wanajiandaa kwenda shule.

Na hii ilitokea tu sababu tv iko sebuleni ambako ni chini, na watoto na wazazi wanalala juu, wananyata kutoka chumbani kwao wanaenda sebuleni na kuangalia. Kilichokuja kufanya ikajulikana, mooja wao alikuwa darasa la 2, akawa analala sana darasani. Walimu wakaita mzazi na kumwambia tatizo la mtoto, baada ya huyo mdogo kubanwa sana ndio akasema, nakuwa nimechoka sababu naamka saa 9.

Sasa ndio uwawekee tv chumbani ndio kabisa, kama hakuna atakayechoka darasani ndio hutakaa ujue nini kinaendelea.

Kuhusu games, si tu siwez kuweka chumbani, bali hata kununua iwepo nyumbani siwezi hata kidogo. Games zina jinsi ya kula ubongo wa mtoto, sijui ni aje, but nachoamini ni kuwa mtoto akianza kupenda games tu, shule inakuwa matatani. Mie walishaomba games hadi wakasalenda, na wameshajua game halitakiwi nyumbani kwangu kabisa.

Komputa, yes lakini hata kuweka internet wawe na access nayo bado najiuliza. Sijui nitawa-monitor vipi kwa sasa bado wadogo, labda wakue kue kwanza.

Namshukuru Mungu sijawahi kusumbuka na watoto.... wanajua watafanya kitu ambacho mimi nataka wafanye.....
chumbani kwao kuna TV na games za kila aina but wanajua games wanaruhusiwa kucheza weekends tu, kuanzia Ijumaa mpaka Jumapili, siku za wiki no games.
TV wanaangalia kila siku, wakimaliza homework wanachagua kucheza nje au kuangalia cartoon, but muda wa mwisho ni pale wanapoenda kuoga, wanakula na kulala saa 1 na nusu wakichelewa sana saa 2. sijawahi sikia nung'uniko kuwa wanataka kucheza game wala kuangalia TV muda ambao sio wa kufanya hivyo. wanaheshimu na wamekubaliana na kila kitu.
 
Kwa kweli hili ni jambo la muhimu sana, kufundisha mtoto kushare. Kuna watoto ni wagumu sana kuishi na watu wengine sababu tu ya malezi waliyopewa. Unaishi na mtoto anadhani yeye ni center ya dunia, kila kitu kina-revolve around yeye.

Aking'ang'ania kuangalia katuni hata taarifa hamtatizama, aking'ang'ania kuanza kula yeye hatasubiri wenzie, unabaki kishangaa tu.

Wakati mwingine malezi yetu yanawafanya watoto wawe wachoyo bila hata sisi kujua

Kuna haja ya kuwaelimisha watoto jinsi ya ku-share vitu. If the programme is so important then, siku hizi unaweza kurekodi hata vipindi wakati unaangalia vipindi vingine bila interruption.

In fact, badala ya watoto na wazazi kujikita in the house muda mwingi wakigombania TV, they should get out there. It might be much better healthy.

But at the end of the day, ni option ya mtu of course, though the fact kuwa watu wengi wanapendelea multi-room TV installation sidhani kama ina-convince niweke TV chumbani.
 
TV zinachangia sana kuweka distance kwa watu wanaoishi pamoja. Nakumbuka wakati nakua, tulikuwa hatuna TV ana were extremly close. Tunakaa tunapiga story hadi saa nne. Tena kama ni wakati wa likizo hadi hata saa 6. Sasa nikijiuliza huwa hata sielewi tulikuwa tunaongelea nini.


Hata sasa huwa naona umeme ukiwa umekatika, hasa nyakati za usiku. Najikuta nasimulia watoto hata mambo ambayo hayana maana niliyokuwa nafanya nikiwa mdogo, havina maana, lakini vinawafanya watoto wakujue zaidi.


Siku hizi hatuna hata muda wa kusimulia watoto hadithi, matokeo yake watoto wanafundishwa hadithi na TV, lakini hadithi hizo zi za asili yetu ni imported. Ndio maana unakuta mtoto msukuma lakini hajui hata hadithi moja ya kisukuma wala utamaduni, anachojua ni Ben 10 na Santa Claus.

Najua baadhi ya familia ambazo hazima hata TV moja nyumbani pamoja na kuwa wana uwezo mkubwa tuu wa kuwa nazo.

Wala sidhani kama ni uamuzi radical bali ni watu tuu kuamua wanachokitaka zaidi maishani mwao. Tena that can be supplemented na shughuli nyingine kama kusoma vitabu zaidi, kupika, kuwa na muda mrefu wa mazungumzo, kufanya training za aina mbalimbali na kulala.

Faida za kutokuwa na TV kabisa ni pamoja na ku-save pesa, kutoangalia matangazo ya biashara (love this one), kutumia ule muda ambao ungeangalia TV kwa kuwa more more creative, n.k.

Hata hivyo, inahitaji commitment sana, udhubutu, kuwamua kwa pamoja na siyo maamuzi ya mtu mmoja tuu, kuweka angalizo na kuweka time frame kama ile ya kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe. You cant just stop watch TV just like that kama umeshaizoea.

Ila kwa sie wapenda soka, kwa kweli kuacha kuangalia TV kabisa inabidi pia kuacha kabisa kufuatilia soka which is extremely difficult thing to do for me personally.
 
Ha ha ha ha, kwa nini series ya kikatili?

kwa sisi tuliokuwa na wake wenye mishahara mikubwa kuliko sisi ni bora miaka 100 kuwa na Tv chumbani maana ukimgusa mkeo akikukaripia basi unachukua series yoyote ya kikatili na kuiangalia ili ujifanye umesahau kumbe unaumia.
Nalog off
 
ukishaoa tu tv tupa kule,
chumbani ni sehemu ya faragha na mkeo
tena mkiwa uchi
ngozi kwa ngozi
mcheze, mcheke, mpeane mahaba mtaniane mfurahiana
ndo sehemu ya kupanga mipango, mipango ya chini ya shuka achana nayo, ukitoka hapo una nguvu kubwa ya kwenda kutekeleza
ndo sehemu ya kufarijiana na kujaza ulimwengu kwa nafasi,
nyie wawili ni tv tosha, hamuitaji tv nyingine kwanza zitawapigia makelele kama sio kuwamulika na kuwaumiza macho



Me ambaye niko single TV inanifariji sana
 
mke mwenza unamwaga point aisee......
siku hizi kitoto cha miaka 3 kinalilia katuni
hakuna bond kisa tv, sasa ikiwa chumbani si ndo balaa?



TV zinachangia sana kuweka distance kwa watu wanaoishi pamoja. Nakumbuka wakati nakua, tulikuwa hatuna TV ana were extremly close. Tunakaa tunapiga story hadi saa nne. Tena kama ni wakati wa likizo hadi hata saa 6. Sasa nikijiuliza huwa hata sielewi tulikuwa tunaongelea nini.


Hata sasa huwa naona umeme ukiwa umekatika, hasa nyakati za usiku. Najikuta nasimulia watoto hata mambo ambayo hayana maana niliyokuwa nafanya nikiwa mdogo, havina maana, lakini vinawafanya watoto wakujue zaidi.


Siku hizi hatuna hata muda wa kusimulia watoto hadithi, matokeo yake watoto wanafundishwa hadithi na TV, lakini hadithi hizo zi za asili yetu ni imported. Ndio maana unakuta mtoto msukuma lakini hajui hata hadithi moja ya kisukuma wala utamaduni, anachojua ni Ben 10 na Santa Claus.
 
kwa upande wangu, kuna faida na hasara za kuwa na tv chumbani, unaweza kuwa na watoto wanafuatilia michezo fulani au tamthilia ambazo ni nzuri tu, sasa baba yeye anapenda taarifa ya habari, cnn au aljazeera, sasa mkikaa wote sebuleni inakuwaje, kama una nafasi ktk nyumba unayoishi na unaweza kumudu kuwa na tv chumbani inawezekana ila sio usiku wa manane mwenzi ana usingizi wewe unaangalia move, hapo ndiyo inaweza kuleta shida. Kuwa na tv chumbani si lazima na watoto wawe na ya kwao chumbani kwao, ya sebuleni inawatosha kabisa.Tv chumbani ni suala la kujipanga na maelewano ya wawili baba na mama
 
ukishaoa tu tv tupa kule,
chumbani ni sehemu ya faragha na mkeo
tena mkiwa uchi
ngozi kwa ngozi
mcheze, mcheke, mpeane mahaba mtaniane mfurahiana
ndo sehemu ya kupanga mipango, mipango ya chini ya shuka achana nayo, ukitoka hapo una nguvu kubwa ya kwenda kutekeleza
ndo sehemu ya kufarijiana na kujaza ulimwengu kwa nafasi,
nyie wawili ni tv tosha, hamuitaji tv nyingine kwanza zitawapigia makelele kama sio kuwamulika na kuwaumiza macho

Wife umenena jambo. Mmeoana kwa ajili ya kugegedana na kujenga familia. Si kuangalia TV.

Mnapoingia rumuni kwenu mnapaswa kujilipua kwa ngono zembe, then mnajadiliana mustakabali wa maisha yenu kabla usingizi haujawatenga kwa muda.

Naprefer zaidi chumbani kuwe na mziki mzuri badala ya TV.
 
Tv ukoloni mamboleo hadi basi

Ndio mambo ya kujifunza kulia 'ooh yesss, gadem it', kweli?! Badala ya kulia 'yelewwiii, baba manka'
Ina maana zamani mambabu nao walisema ooh yes jamani?! Tv zimetufikisha kwenye kupinduana :frusty:bila sababu

mke mwenza unamwaga point aisee......
siku hizi kitoto cha miaka 3 kinalilia katuni
hakuna bond kisa tv, sasa ikiwa chumbani si ndo balaa?
 
Back
Top Bottom