Luninga kwenye chumba cha kulala

Luninga kwenye chumba cha kulala

Hoja za hii sred zimenisukuma sana na nimepoteza uwezo wa kubishana, ila siku zote nimekuwa mtu kupenda kiasi kwenye kila kitu hii imenisaidia sana kutokuwa mtumwa wa interest zangu....

Naamini ninaweza kuwa na luninga chumbani na bado nikitaka kusoma nitasoma na JF nitaingia kama kawaida na majukumu ya kijamii nitahudumia kama inavyonipasa...

Ila kwa mtu usiyeweza kuwa na kiasi kwenye mambo yake nadhani umetoa ushauri wa msingi sana ni vizuri kuiepuka hii kitu!

Kuhusu suala la watoto, watafuata utaratibu wa kawaida tu Tv ya sebuleni ndio yao. Hawawezi kuwa na hoja za kushindwa kujibu eti kwanini mimi nina TV chumbani basi na wao wawe nayo, nitawajibu kwa utaratibu tu na wataelewa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Partner tuanzishe EMPIRE CINEMA yetu halafu tuweke na vitanda humo humo, tena double beds kwa wale wale was double double.

Kwa wale watakaotaka king size bed tuna-attach ka-semi empire cinema kwenye kitanda.



Noted Partner. Kunaweza kuwa na dili hapa.
spare my riiiiiibs please!
ahahahahhahahahhahahahhahahhaha was just vutaring the picha ya king size na attachment ya semi empire cinema!
ahahahahhahahahhahahh!
ahsent partner!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Daah kule ni noma....miaka ya nyuma nilimpeleka mgeni wangu pale nikamsindikiza chumbani...sasa kwenye kypigapiga stori mbili tatu si nikawasha tvii!!!daah almanusura nivunje tv yao!!nilikutana na sarakasi za kufa mtu...imagine mgeni mwenyewe tulikuwa tunaheshmiana ile mbaya

Hahaaa nimepatia picha...nimecheka mpaka machozi!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hoja za hii sred zimenisukuma sana na nimepoteza uwezo wa kubishana, ila siku zote nimekuwa mtu kupenda kiasi kwenye kila kitu hii imenisaidia sana kutokuwa mtumwa wa interest zangu....

Naamini ninaweza kuwa na luninga chumbani na bado nikitaka kusoma nitasoma na JF nitaingia kama kawaida na majukumu ya kijamii nitahudumia kama inavyonipasa...

Ila kwa mtu usiyeweza kuwa na kiasi kwenye mambo yake nadhani umetoa ushauri wa msingi sana ni vizuri kuiepuka hii kitu!

Kuhusu suala la watoto, watafuata utaratibu wa kawaida tu Tv ya sebuleni ndio yao. Hawawezi kuwa na hoja za kushindwa kujibu eti kwanini mimi nina TV chumbani basi na wao wawe nayo, nitawajibu kwa utaratibu tu na wataelewa.

word..........
 
Ahsante sana mkuu EMT,

I don't miss not having it our bedroom...ingawa pia mitihani mingine nayo ipo kibao..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Ningekuw na uwezo ningeweka luninga hadi maliwato
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT Actually inaweza ikawa nzuri au mbaya kutegemeana na matumizi.

-VE
. .Inachangia uchovu wa akili.
Sadly mimi ni mmoja wa watu ambao huwa wanaishia kulala na kuacha tv on. Ukiamka asubuhi macho yanakuwa machovu pamoja na akili kwasababu ya kelele na mwanga.
. .Inasababisha mtu achelewe kulala.
Ukiwa nayo chumbani unashawishika kuangalia na kuangalia na kuangalia hata kama muda uliopanga kulala ulishafika, kwasababu tu ipo karibu.
. . Inaweza kupunguza mawasiliano kati ya wanandoa wawapo chumbani. Badala ya kupiga story na kuchombezana wakati mnautafuta usingizi mama yuko busy na tamthilia/baba yuko busy na news BBC hata kusumbuliwa.

+VE
. . Inapunguza sababu ya mtu kuishia kulala kwenye kochi/sofa na kuambulia maumivu ya shingo na mgongo.
. . Inaweza kuongeza ukaribu kati ya wanandoa.
Badala ya mmoja kubaki sebuleni akisubiria sijui kipindi gani huku mwenzie akienda kubembeleza usingizi peke yake mnaongozana na kama mko vizuri hicho kipindi kinaweza hata kisiangalike.
. . Ukaribu + +
Kama sio wabinafsi mnaweza kujikuta kila mmoja anajenga interest na kile anachopenda mwenzake (mf movie, tamthilia, michezo, habari n.k) kwenye tv kitu ambacho kitaongeza mambo ya ninyi kuzungumzia.
. . Distraction
Bila kusahau kelele kidogo ili kuficha wakati wanandoa wanajishughulisha.

Nadhani jambo la muhimu ni watu kujiangalia tu na kujua walivyo. Wengine inafaa zaidi wawe nazo chumbani, na wengine haifai.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuwa nikishawishika mara kwa mara kuweka luninga chumbani ila mara karibu na zote nasita.
Maana nikiwa na movie nzuri basi huwa natumia hata laptop kitandani kuiwatch kiasi kwamba naweza lala saa kumi napo ni kujilazimisha ili kesho niweze function kazini.

So kwa mtu ambaye aso na kipimo na again kwa uhai wa mahusiano sishauri; chumba kibaki sehemu ya kupumzikia tu na faragha.
 
Kuhusu suala la watoto, watafuata utaratibu wa kawaida tu Tv ya sebuleni ndio yao. Hawawezi kuwa na hoja za kushindwa kujibu eti kwanini mimi nina TV chumbani basi na wao wawe nayo, nitawajibu kwa utaratibu tu na wataelewa.

Hebu tupe jibu ambalo utawapa kama wakikuhoji.
 
.......inasaidia kupotezea 'makelele' bana....


Kweli kuna baadhi ya watoto wanadai kuwa they feel a bit annoying wakati wazazi wakiwa bizi kwenye 6x6.

Badala ya TV kama ana-scream inashauriwa funga mdomo wake kwa mkono wako.

Kama mnafanya style ya kinyuma nyuma mweke mto kwenye uso wake alalie. She can bite the pillow too unless ni kibogoyo.

Pia kuna baadhi ya wanawake wanadai kuwa wanapenda kufanya kufanya bila TV kuwa on as this turns them on.

Ikishindikana kabisa, basi tumia hii

7971689676870895.jpg








 
Wengine sisi tunaishi uswazi kule ambako chumba ni hicho hicho na sebule ni hiyo hiyo huku unaweza kusikia yale yanayoendelea kwenye chumba cha mpangaji mwenzako kwa kutokuwa na silling board

Bila kusahau kelele za muziki kwenye radio ndogo za kuchaji[hapa nawashukuru wachina kwa kutuletea hizi radio za kuchaji maana tunaishi nyumba zisizokuwa na umeme] ambapo kila mtu anakuwa anasikiliza stesheni yake,sasa hapo utaiwaza tv kweli?

:focus::focus:
Kwenye suala hili japokuwa ninakubaliana na mtoa mada lakini napenda kusema yafuatayo

Ili maisha yaende inatakiwa tuwe in control kwenye miili yetu,kitendo cha kuacha kuweka TV chumbani kwa kuhofia hili au lile wakati ukiamua hata hiyo TV unaweza usiiwashe hata mwezi mzima naona ni kama kutokujitendea haki sisi kama binadamu

Kuwa na amri kwenye miili yetu itasaidia sana kuwa na heshima kwayo na wengine pia!
 
nimekupata mkuu,,,,,,,,,,,,,, ila ukishakuwa na familia kubwa uhuru wa kimahaba kati yenu hupungua sana , sasa kama unaweza kubadilisha mazingira kuwa na faida kwenu inakuwa ni vizuri kuliko kuchukulia changamoto kihasara zaidi.

Of course, kadri familia inavyokuwa kubwa, mambo yanaenda yakibadilika. That is something you have to accept.

Lakini bado naamini kuwa mahaba yanaweza kuwepo bila kuweka TV bedroom. TV is not the only source ya mahaba.

Maana hata kusoma kitabu kwa pamoja ni mahaba tosha. Tena mnapokezana chapter badala ya kupokezana remote.

Bado couple wanaweza kufanya mahaba kwa kuwa pamoja, kuongea na kuzidisha mawasiliano.

Wakati wewe unasema turn on the TV to turn on your partner, I think the better way is to turn off to TV to turn on your partner.
 
Ahsante sana mkuu EMT,

I don't miss not having it our bedroom...ingawa pia mitihani mingine nayo ipo kibao..

Babu DC!!

Watu wa Australia wanaofuatilia ligi za ulaya wanastahili kuhurumiwa kuwa na TV chumbani?
 
Back
Top Bottom