Luninga kwenye chumba cha kulala

Luninga kwenye chumba cha kulala

ukiiangalia kwa jicho la pili , hamuwezi kuitumia kuimarisha mahusiano/pendo lenu?

I think the mere of having a TV for the sake of it haiwezi kuimarisha mahusiano. What matters ni jinsi unavyoitumia hiyo TV kuimarisha hayo mahusiano.

Pia hakuna njia nyingine yoyote inayoweza kutumika kuimarisha mahusiano zaidi ya kuwa na TV in the bedroom.

Kama alivyosema huyo mwandishi "In almost all regards, television rarely depicts the world and life accurately. As a result, too much television results in disillusionment about what to expect from the world around us. This can be most detrimental to our relationships when the unrealistic expectations are applied to our marriage, family, love, romance, and sexuality."
 
Chumbani ni kulala na hayo maswala mengine ulokua hujataka kuyataja. Kuweka tv sehem ya kulala ni ku disturb brain yako. Kiafya haifai.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ha haaa, EMT kweli unajua kuchokoza watu walikojificha.......
sidhani kama nazijua hasara za kutokuwa na TV katika chumba cha kulala, ila naweza kusema najua faida za kuwa nayo.
Nakubaliana na point nying ulizoziandika, kama ukiangalia kwa mtazamo wako...... lakini mimi (sisi) tunaangalia kwa kutumia pembe nyingine.
1) Itambulike kuwa siyo sababu una TV basi utakuwa unaiangalia masaa yoote. kama huna umuhimu wa kuangalia haina haja ya kuiwasha.
2) Mimi labda niseme ni wale wa old school, kuna sinema au program kwenye TV ambazo siruhusu wanangu kuziangalia, lakini kwa wakati huo huo mimi napenda kuziangalia. huwezi kujua hiyo sinema itaanza saa ngapi. badala ya kufukuza wanangu kwenda kucheza wakati naangalia kitu roho inapenda, ni bora nikaingia chumbani kwangu nikakaa na kuangalia kwa raha zangu.
3) sidhani kama kweli kuangalia TV kunapunguza muda wa sex katika ndoa, labda niseme inategemea unaangalia vipindi gani kwenye hiyo TV ya chumbani. Mimi napenda sana kuangalia romantic movies (siyo porns), na imeshatutokea mara nyingi tu tukashindwa kuimalizia sinema na kuendelea na mambo yetu. kuna sinema nakumbuka tuliiangalia kwa siku 3 ndo tukaimaliza, siku 2 za mwanzo zote tulikuwa tunaishia njiani.
4) siyo kila program unayoiangalia unakuwa na concentration 100%, mnaweza kuongea huku mnaangalia TV na mkaelewana tu, na kama kuna kitu serious cha kuhitaji 100% basi huwa tunazima TV na kuendelea na maongezi yetu. hatujawahi kukosa/ kupunguza muda wa maongezi sababu ya TV.
5) siyo kila siku wanandoa mnakuwa pamoja katika chumba cha kulala. kuna kusafiri. mmoja akisafiri basi mwingine anakuwa mpweke sana chumbani. kwangu wanangu wanalala latest saa 2. sasa kama mtu kasafiri na mimi nilale saa 2?
6) kusoma huwa nasoma saaana..... hili pia ninalo, ninakuwa na vitabu vya kutosha beside my bed, yaani nikifungua macho kabla sijatoka kitandani lazima nasoma angalau kurasa 2 za kitabu nitakachoguswa kukisoma siku hiyo. kwa maana hiyo kuwa na TV chumbani hakumaanishi utashindwa kujisomea, kuna wakati wa kufanya kila kitu, ni kujipanga tu.
7) ha haaaa, watoto walianza kuwa na TV kabla yangu baada ya kuchoshwa na kuangalia cartoons muda wote wanaotaka kuangalia TV. wao hakuna program wanayotaka kuiangalia zaidi ya cartoon, hata kukiwa na mgeni wanamshauri aangalie cartoon. njia rahisi ya kuwafukuza ni kuwa na TV yao chumbani (NB: hapa haimaanishi wanangu wanaangalia TV muda wote. wana muda wao wa kuangalia, na muda wa kulala huwa unaheshimiwa sana, hawawashi TV wanapotakiwa kulala).
8) kama kuna watu wanayaishi maisha yao ni sisi, tuna vitu vya peke yetu kabisaaaa, hatuyaigi hayo ya kwenye TV, tunaishi ya kwetu.
9) Mimi siyo mpenzi wa kuangalia mpira, mwenzangu ndo ugonjwa wake na mara nyinga anatamani sana niangalie naye. Muda pekee ambao atani-hook kwenye mpira ni kama tutaangalia kwa kitanda, tumejilaza..... huko sebuleni, no thanx.

NB: nakubaliana nawe kila chumba kina kazi yake lakini haimaanishi haziwezi kuingiliana. ndo maana kuna siku hapa tulikuwa tunajadili kuhusu wamama kuhifadhi household stocks chumbani wakati wana stoo sababu tu ya ufujaji wa matumizi ya vitu. Ukiona nina TV chumbani ujue ina matumizi yake ambayo naona yana faida kwangu na kwa mwenzangu
 
Last edited by a moderator:
Kuna ukweli kabisa, ukiwa huna luninga chumbani unalala mapema, ukiwa nayo chineke, utasubiri Fashion Police saa tano usiku hadi saa sita. Ole wake mtu akuguse wakati Joan Rivers anaongea, lazima utamlambua makofi.

Kwa watoto ndio sithubutu hata kugusia kuweka luninga, wanaweza kukesha na top gear.
Namshukuru Mungu sijawahi kusumbuka na watoto.... wanajua watafanya kitu ambacho mimi nataka wafanye.....
chumbani kwao kuna TV na games za kila aina but wanajua games wanaruhusiwa kucheza weekends tu, kuanzia Ijumaa mpaka Jumapili, siku za wiki no games.
TV wanaangalia kila siku, wakimaliza homework wanachagua kucheza nje au kuangalia cartoon, but muda wa mwisho ni pale wanapoenda kuoga, wanakula na kulala saa 1 na nusu wakichelewa sana saa 2. sijawahi sikia nung'uniko kuwa wanataka kucheza game wala kuangalia TV muda ambao sio wa kufanya hivyo. wanaheshimu na wamekubaliana na kila kitu.
 
anayetaka tv chumbani si aende kulala EMPIRE CINEMA!?
partner HAKIKISHA HII UMEWEKA KWENYE doc ile!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hahahahahahaaaaa jamani yaani umeondoka siasani umekuja huku bestito EMT
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Hivi enzi za zamani kabla ya TV, wakubwa walikuwa hawafurahii mahabati?

Mie naona mahaba ya kudesa yanachosha kuliko ya kutunga wenyewe, au ni old fasheni?

kila zama na nyakati zake na mambo yake.............

mbona zamani watu walikuwa wanatembea kwa miguu ............ ila hamsemi saiv hatutembei na magari kisa zamani mlikuwa mnatembea miles na miles.?

hiyo luninga kuwa chumbani mnaweza kuifanya ni ubunifu kwa namna yenu kama unavyodai hapo............... wewe huoni wengine inawakata libido wamekuja na namna ya kuzitoa huko chumbani?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Of course kuna faida za kuwa na TV in the bedroom kama kuangalia chochote unachotaka bila bugudha.

At the end of the day ni kupima faida na hasara za kuwa na luninga in the bedroom.

Kuna uwezekano wa hizo faida kuja na price yake.

nimekupata mkuu,,,,,,,,,,,,,, ila ukishakuwa na familia kubwa uhuru wa kimahaba kati yenu hupungua sana , sasa kama unaweza kubadilisha mazingira kuwa na faida kwenu inakuwa ni vizuri kuliko kuchukulia changamoto kihasara zaidi.
 
.......inasaidia kupotezea 'makelele' bana....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ha haaa, EMT kweli unajua kuchokoza watu walikojificha....... sidhani kama nazijua hasara za kutokuwa na TV katika chumba cha kulala, ila naweza kusema najua faida za kuwa nayo.
Nilidhani hizo hasara za kutokuwa na luninga katika chumba cha kulala ndiyo faida zenyewe?

Nakubaliana na point nying ulizoziandika, kama ukiangalia kwa mtazamo wako...... lakini mimi (sisi) tunaangalia kwa kutumia pembe nyingine.
1) Itambulike kuwa siyo sababu una TV basi utakuwa unaiangalia masaa yoote. kama huna umuhimu wa kuangalia haina haja ya kuiwasha.
Granted.

2) Mimi labda niseme ni wale wa old school, kuna sinema au program kwenye TV ambazo siruhusu wanangu kuziangalia, lakini kwa wakati huo huo mimi napenda kuziangalia. huwezi kujua hiyo sinema itaanza saa ngapi. badala ya kufukuza wanangu kwenda kucheza wakati naangalia kitu roho inapenda, ni bora nikaingia chumbani kwangu nikakaa na kuangalia kwa raha zangu.

Kwa upande wa Bongo hili ni tatizo kwanza zile TV ambazo zinaonyesha filamu au mazagazaga mengine muda wowote tena bila parental guide. Kwenye nchi za watu filamu na mazagazaga ya kikubwa yanaanza kurushwa kuanzia saa tatu au nne usiku.

Pili, kwa wale wazazi ambao hawazingatii kabisa muda wa watoto kulala. Unaweza kuta mtoto yuko macho saa tano hadi sita usiku na kesho yake anaenda shule asubuhi. Unaweza kusema ruksa kulala late weekend kwa sababu hawaendi shule, lakini huo unaweza kuwa wakato wa kuangalia nao TV, badala ya kujificha chumbani ukiangalia vipindi vyako uvipendavyo huku wakiangalia vyao vyao sebuleni. Mtoto atakuwa interested kujua ni madude gani huwa baba na mama wanaangalia chumbani na kutuacha sie sebuleni?

3) sidhani kama kweli kuangalia TV kunapunguza muda wa sex katika ndoa, labda niseme inategemea unaangalia vipindi gani kwenye hiyo TV ya chumbani. Mimi napenda sana kuangalia romantic movies (siyo porns), na imeshatutokea mara nyingi tu tukashindwa kuimalizia sinema na kuendelea na mambo yetu. kuna sinema nakumbuka tuliiangalia kwa siku 3 ndo tukaimaliza, siku 2 za mwanzo zote tulikuwa tunaishia njiani.

Aisee! Utakuwa mpenzi mkubwa wa The Officer and a Getleman na Sex, Lies and the Video Tapes.

4) siyo kila program unayoiangalia unakuwa na concentration 100%, mnaweza kuongea huku mnaangalia TV na mkaelewana tu, na kama kuna kitu serious cha kuhitaji 100% basi huwa tunazima TV na kuendelea na maongezi yetu. hatujawahi kukosa/ kupunguza muda wa maongezi sababu ya TV.

Okayeeeeeee.

5) siyo kila siku wanandoa mnakuwa pamoja katika chumba cha kulala. kuna kusafiri. mmoja akisafiri basi mwingine anakuwa mpweke sana chumbani. kwangu wanangu wanalala latest saa 2. sasa kama mtu kasafiri na mimi nilale saa 2?

Waweza kuangalia TV hapo sebuleni muda wa kulala ukifika unaenda kulala. Kwani kuna baridi au joto sana hapo sebuleni?

6) kusoma huwa nasoma saaana..... hili pia ninalo, ninakuwa na vitabu vya kutosha beside my bed, yaani nikifungua macho kabla sijatoka kitandani lazima nasoma angalau kurasa 2 za kitabu nitakachoguswa kukisoma siku hiyo. kwa maana hiyo kuwa na TV chumbani hakumaanishi utashindwa kujisomea, kuna wakati wa kufanya kila kitu, ni kujipanga tu.

Unaweza kusoma na ku-concentrate wakati TV ikiwa on?

7) ha haaaa, watoto walianza kuwa na TV kabla yangu baada ya kuchoshwa na kuangalia cartoons muda wote wanaotaka kuangalia TV. wao hakuna program wanayotaka kuiangalia zaidi ya cartoon, hata kukiwa na mgeni wanamshauri aangalie cartoon. njia rahisi ya kuwafukuza ni kuwa na TV yao chumbani (NB: hapa haimaanishi wanangu wanaangalia TV muda wote. wana muda wao wa kuangalia, na muda wa kulala huwa unaheshimiwa sana, hawawashi TV wanapotakiwa kulala).

Kwa huo muda uliopangwa, kwa nini wasiangalie tuu TV sebuleni? Afterall ni nyumba. Mgeni hawezi kuwa-dictate waangalie kile anachopenda kuangalia. Nonethelss, watoto, lazima wajifunze ku-share bana.

8) kama kuna watu wanayaishi maisha yao ni sisi, tuna vitu vya peke yetu kabisaaaa, hatuyaigi hayo ya kwenye TV, tunaishi ya kwetu.

Sawa.

9) Mimi siyo mpenzi wa kuangalia mpira, mwenzangu ndo ugonjwa wake na mara nyinga anatamani sana niangalie naye. Muda pekee ambao atani-hook kwenye mpira ni kama tutaangalia kwa kitanda, tumejilaza..... huko sebuleni, no thanx.

Heheeeeeee!!! Hapo sidhani kama mpira utanoga hata kama timu yake ikishinda.

NB: nakubaliana nawe kila chumba kina kazi yake lakini haimaanishi haziwezi kuingiliana. ndo maana kuna siku hapa tulikuwa tunajadili kuhusu wamama kuhifadhi household stocks chumbani wakati wana stoo sababu tu ya ufujaji wa matumizi ya vitu. Ukiona nina TV chumbani ujue ina matumizi yake ambayo naona yana faida kwangu na kwa mwenzangu
Umejaribu ku-justify faida za kuwa na TV chumbani. Wengi watakubaliana na baadhi ya sababu ilizotoa. At the end of the day it comes to the person him/herself. Maana unaweza kuwa TV subuleni tuu lakini ika-control maisha yako yote.

Ila kwenye suala la kuwa na TV kwenye chumba cha watoto hapo tukubali tuu kutokubaliana. Bado naamini kuwa ili watoto walale vizuri na kuwa na staili ya maisha yenye afya ni kuondoa aina yoyote ya teknologia kwenye vyumba vyao.
 
I think the mere of having a TV for the sake of it haiwezi kuimarisha mahusiano. What matters ni jinsi unavyoitumia hiyo TV kuimarisha hayo mahusiano.

Pia hakuna njia nyingine yoyote inayoweza kutumika kuimarisha mahusiano zaidi ya kuwa na TV in the bedroom.

Kama alivyosema huyo mwandishi "In almost all regards, television rarely depicts the world and life accurately. As a result, too much television results in disillusionment about what to expect from the world around us. This can be most detrimental to our relationships when the unrealistic expectations are applied to our marriage, family, love, romance, and sexuality."

zipo njia nyingi , nilichotaka kuonesha ni kuwa kunauwezekano pia wa kuitumia hiyo tv kwa faida kwenye mahusiano..........

je wewe unakubaliana na kila kitu mwandishi alichoandika hapo?
 
anayetaka tv chumbani si aende kulala EMPIRE CINEMA!?

Partner tuanzishe EMPIRE CINEMA yetu halafu tuweke na vitanda humo humo, tena double beds kwa wale wale was double double.

Kwa wale watakaotaka king size bed tuna-attach ka-semi empire cinema kwenye kitanda.

partner HAKIKISHA HII UMEWEKA KWENYE doc ile!

Noted Partner. Kunaweza kuwa na dili hapa.
 
zipo njia nyingi , nilichotaka kuonesha ni kuwa kunauwezekano pia wa kuitumia hiyo tv kwa faida kwenye mahusiano.......... je wewe unakubaliana na kila kitu mwandishi alichoandika hapo?

Not all lakini niki-balance naona kuna faida zaidi za kutokuwa na TV chumbani kuliko kuwa nayo.

TV inaweza kutumika kwa faida kwenye mahusiano kama ikiwekwa sehemu nyingine pia. Not necessarily in the bedroom.
 
zaidi ya kutafuta stimu za gemu sidhani kama wanasababu nyingine...ukitaka kuangalia vipindi vya kawaida kwani sebleni hapatoshi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hahahahahahaaaaa jamani yaani umeondoka siasani umekuja huku bestito EMT

Bestito mbona huku ndiko maskani yangu? Kule sihasani ni sebuleni tuu.

Huku ndiko bedroom kwenye mambo yenyewe aka the intimacy department.
 
kila zama na nyakati zake na mambo yake.............

mbona zamani watu walikuwa wanatembea kwa miguu ............ ila hamsemi saiv hatutembei na magari kisa zamani mlikuwa mnatembea miles na miles.?

hiyo luninga kuwa chumbani mnaweza kuifanya ni ubunifu kwa namna yenu kama unavyodai hapo............... wewe huoni wengine inawakata libido wamekuja na namna ya kuzitoa huko chumbani?

Hii ndiyo wengi wanasema ni modern life, modern way of living, modern family, n.k.
 
Back
Top Bottom