Luninga kwenye chumba cha kulala

Luninga kwenye chumba cha kulala

Nafikiri hii topic inategemea mahali ulipo, nimefanya kazi kwa miaka miwili ya kufanya satellite TV Installation naweza kusema kwa uhakika katika kipindi hicho sijapata zaidi ya nyumba 5 zenye tv moja. Watu almost wote wana TV vyumbani mwao. Je kwa wale wanaopenda XXX je utaangalizia living room? Watoto wanataka kuangalia Cartoon (SpongeBob, Mick Mouse nk) na wewe unataka kuangalia comedy itakuwaje? TV zote zina power button, hivyo basi ni juu ya mtumiaji wakati gani aiwashe/kuzima.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hamna haja. . .nimeshaanza kuwekeza kwenye kitu cha beretta M9 na hand grenade.

NO IT DOESN'T.
Na swala la kuweka music wengine watakuambia limekaa kitamthilia/kizungu zaidi na wengine hawana interest na music. Hata huo muda wa kuanza kutafuta sijui cd yenye nyimbo nzuri za kukolezea mambo hawana kahiyo sauti ya tv ndio inayowaokoa kwenye hilo. Uzuri unajijua. Sasa hiyo ni mojawapo ya hali ambazo zinafanya uwepo wa tv upunguze ukaribu unless ofcourse wote mnadatishwa na mpira.

Inaweza pia tegemea na maisha ya wahusika. Kama wamekuwa wote the whole day, then inawezekana kukawa na machache sana ya kuongea pamoja.

Lakini kama mmeagana tokea asubuhii saa kumi na moja kuwahi foleni na kurudi usiku, then you might need some quite time to converse. In that way TV inaweza kuwa-distract depending on what you are conversing, of course.

Hata hivyo, on my side bado nadhani TV inazuia intimacy. Inazuia mazungumzo ku-flow smoothly. Concentration inaweza kupungua.

Halafu na nyie jinsi mnavyopenda kusikilizwa attentively mkiona tume-concentrate zaid kwenye TV mnaizima kwa hasira, eti you're not listening.
 
N.B. Huu uzi hauwahusu wale ambao wanamiliki au wamepanga chumba kimoja tuu ambacho wanakitumia kama chumba cha kulala, sebule, jiko, n.k.

Mkuu EMT nilitaka kuchangia ila nimezingatia vigezo na masharti.
Bado nipo kwenye hili kundi kiongozi!!..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nafikiri hii topic inategemea mahali ulipo, nimefanya kazi kwa miaka miwili ya kufanya satellite TV Installation naweza kusema kwa uhakika katika kipindi hicho sijapata zaidi ya nyumba 5 zenye tv moja. Watu almost wote wana TV vyumbani mwao. Je kwa wale wanaopenda XXX je utaangalizia living room? Watoto wanataka kuangalia Cartoon (SpongeBob, Mick Mouse nk) na wewe unataka kuangalia comedy itakuwaje? TV zote zina power button, hivyo basi ni juu ya mtumiaji wakati gani aiwashe/kuzima.

Kwani wanakuwa wanaangalia hizo XXX mchana? Watoto watakuwa wanaangalia hizo cartoon usiku?

Kuhusu watoto kutaka kuangalia cartoon na mzazi kutaka kuangalia comedy, sidhani kama solution ni kuwa na TV ya ziada chumbani.

Kuna haja ya kuwaelimisha watoto jinsi ya ku-share vitu. If the programme is so important then, siku hizi unaweza kurekodi hata vipindi wakati unaangalia vipindi vingine bila interruption.

In fact, badala ya watoto na wazazi kujikita in the house muda mwingi wakigombania TV, they should get out there. It might be much better healthy.

But at the end of the day, ni option ya mtu of course, though the fact kuwa watu wengi wanapendelea multi-room TV installation sidhani kama ina-convince niweke TV chumbani.
 
Mkuu EMT nilitaka kuchangia ila nimezingatia vigezo na masharti.
Bado nipo kwenye hili kundi kiongozi!!..

Siku utakapotoka kwenye hiko kundi ungependa kuweka TV kwenye chumba cha kulala na kwa nini?
 
Naunga mkono hoja ingawa na mimi ni mmoja wa wahanga wa TV,,,

Kuna watu hawapati usingizi, na ukipata ushauri wa wataalamu watakwambia njia moja wapo inayosababisha hili tatizo ni vitu unavyofanya kabla ya kulala (TV ni moja ya vitu vinavyokata usingizi)

Kwa watoto ndio worse (wanangu hawana TV na wala sitawawekea TV chumbani) kwa sababu inakufanya mzazi ushindwe ku control matumizi ya muda wao.

Kuna dada nilikutana nae siku za karibuni na alikuwa anatupa life experience yake ambayo ni ya hajabu; anaishi nchi moja ya ulaya na anasema hatumii TV; na anatumia internet kwa shughuli maalumu; hivyo ni kwa limited time. (mmoja wetu akamwambia basi wewe ni radical...alibadilika mpaka rangi mpaka ikabid tu define what it means in a positive way)

Alitufanya wote tuliokuwa tunamsikiliza tujitazame na kujiona tumekuwa watumwa wa modernization.
 
Siku utakapotoka kwenye hiko kundi ungependa kuweka TV kwenye chumba cha kulala na kwa nini?

Nilikua natania mkuu, similiki nyumba ila nimepanga sehemu yenye sebule na chumba cha kulala,

Back to the topic, Kama ulivyosema hapo juu, kila kitu kina faida na hasara, cha msingi unaangalia mzani unalalia kwenye faida au hasara. TV iko sebuleni. Nikiingia chumbani ni kulala tu, ndio maana kunaitwa bedroom.

Siku hizi hata laptop naiacha ofisini. Nyumbani nifanye mambo ya nyumbani ambayo siwezi kuyafanya nikwa ofisini.
 
Ni kweli kabisa kuweka tivii chumbani siyo vizuri maana muda mwingi utatumika kuangalia tivii kuliko kuongelea mipango yenu maana mchana mnakuwa bize kutafuta mkate wa kila siku na usiku ndo muda pekee wa kuweka sawa mambo yenu,ukisema kwamba eti inasaidia kuamsha hisia za mapenzi huo ni uongo kwamba bila tivii kuwepo hamuwezi kufanya au kupata hamu ya kupeana haki automatically mtakuwa wagonjwa mnahitaji kumuona dokta, lakini eti siku hizi ndiyo fashion usipokuwa na tivii chumbani unaonekana wa zamani!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Namba 2 hizo shughuli mbili mimi sizijui
 
Kuna dada nilikutana nae siku za karibuni na alikuwa anatupa life experience yake ambayo ni ya hajabu; anaishi nchi moja ya ulaya na anasema hatumii TV; na anatumia internet kwa shughuli maalumu; hivyo ni kwa limited time. (mmoja wetu akamwambia basi wewe ni radical...alibadilika mpaka rangi mpaka ikabid tu define what it means in a positive way). Alitufanya wote tuliokuwa tunamsikiliza tujitazame na kujiona tumekuwa watumwa wa modernization.

Najua baadhi ya familia ambazo hazima hata TV moja nyumbani pamoja na kuwa wana uwezo mkubwa tuu wa kuwa nazo.

Wala sidhani kama ni uamuzi radical bali ni watu tuu kuamua wanachokitaka zaidi maishani mwao. Tena that can be supplemented na shughuli nyingine kama kusoma vitabu zaidi, kupika, kuwa na muda mrefu wa mazungumzo, kufanya training za aina mbalimbali na kulala.

Faida za kutokuwa na TV kabisa ni pamoja na ku-save pesa, kutoangalia matangazo ya biashara (love this one), kutumia ule muda ambao ungeangalia TV kwa kuwa more more creative, n.k.

Hata hivyo, inahitaji commitment sana, udhubutu, kuwamua kwa pamoja na siyo maamuzi ya mtu mmoja tuu, kuweka angalizo na kuweka time frame kama ile ya kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe. You cant just stop watch TV just like that kama umeshaizoea.

Ila kwa sie wapenda soka, kwa kweli kuacha kuangalia TV kabisa inabidi pia kuacha kabisa kufuatilia soka which is extremely difficult thing to do for me personally.
 
i

Halafu na nyie jinsi mnavyopenda kusikilizwa attentively mkiona tume-concentrate zaid kwenye TV mnaizima kwa hasira, eti you're not listening.

Sometimes its the other way around. . .haswa mkiwa mnataka mambo flani flani na mama yuko busy na tamthilia.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sometimes its the other way around. . .haswa mkiwa mnataka mambo flani flani na mama yuko busy na tamthilia.

There you go. Kumbe inakula kote kote.
 
HAHAHAHAHA Matola
Huwa wana'DO' huku wanapost.

Hata mimi nahisi hivyo aisee, yani JF ni full vituko kwanza utashangaa watu wa MMU sijui ni muda gani huwa wanapractice hayo mapenzi ambayo wao ni mahiri kuyachambuwa.

Kwakweli nachoka kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nahisi hivyo aisee, yani JF ni full vituko kwanza utashangaa watu wa MMU sijui ni muda gani huwa wanapractice hayo mapenzi ambayo wao ni mahiri kuyachambuwa.

Kwakweli nachoka kabisa.

Easy!!!

Wanachombezana na waume/wake/wapenzi wao kwenye thread, wakizidiwa wanahamia PM kabla ya kumalizia chumbani.
 
Haifai kuweka tv chumbani. Km uliyemuoa ndo anakuzingua mwambie ulifuata tv kwangu?
 
Back
Top Bottom