Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

Lukuvi: Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane

elimu ya Tanzania cjui inaelekea mashariki magharib kusin au kaskazini.kwa mtindo huu hatutang'aa kwenye ajira anga za kimataifa .wastandardise ili iweje?je watakuwa wamesolve tatzo au kulipumzisha na kusubir maziro mengine

mimi ni mimi elim yetu kwa sasa inaelekea far east,
nakutaarifu kuwa azam nao wameshinda dk ya 7
 
Last edited by a moderator:
elimu ya Tanzania cjui inaelekea mashariki magharib kusin au kaskazini.kwa mtindo huu hatutang'aa kwenye ajira anga za kimataifa .wastandardise ili iweje?je watakuwa wamesolve tatzo au kulipumzisha na kusubir maziro mengine

mimi ni mimi elim yetu kwa sasa inaelekea far east,
nakutaarifu kuwa azam nao wameshinda dk ya 7
 
Last edited by a moderator:
Tuacheni ushabiki muda mwingine, Lukuvi ana kosa gani hapo? Yeye katoa msimamo wa serkal kama muwakilishi,
Pia wengi tulikuwa tukitoa povu na kusema tume ya pinda haitakuja na lolopte jipya alafu leo hii tunaanza kulalama,
Wengi wenu mnaotoa povu either hamna uchungu na wadogo zenu waliofelishwa, watu wamezika huku mtaani hiv hiv kisa upumbavu wa NECTA alafu mnaanza kutetea upumbavu na wakati wengi humu JF tilifahulu kwa alama za zamani sasa kwanini tulazimishe hawa madogo wapimwe kwa kutumia alama mpya tena za juu sana.? Shit !!!
 
Mi naona Lukuvi anaonewa hapa kwa sababu aliyetoa mapendekezo hayo ni Tume ambayo inaongozwa na Profesor Mchome (aliyekuwa Mhadhiri wa Sheria UDSM). Lukuvi amesoma tu hayo na yaliungwa mkono na Baraza la Mawaziri.
 
We ndo huna akili, mleta mada ana akili timamu, na anacho kihoji hapa ni kwa nini wana siasa wanajifanya wataalam wa kila kitu ? Je ku-standardise matokeo ndo suluhisho au ni njia ya kuahirisha tatizo ? Possibly wewe inaonekana hujui kwanini wanafunzi walifeli ?

Sakata la vijana wetu kufeli ni hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu, hivyo hatukutarajia wana siasa kama akina Lukuvi ambao elimu zao ni za ku-unga unga kwa bandeji kibao kushughulikia swala mhimu kama hili, bali serikali ingewakabidhi wataalam wa elimu ambao ni Walimu watafute suluhisho la kudumu na siyo zima moto kama serikali ya muishiwa dhaifu ilivyo fanya.

Kwa hiyo baada ya kufuta matokeo, ina maanisha mwaka huu hatutakuwa na form five ? Je wale ambao wamesha chukua result slip na kuendelea na michakato yao ya masomo ikiwemo na kujiunga shule za private wanafanyaje ?

Kwa hili serikali imekurupuka kama nyumbu, and take it from me, madhara yake ni makubwa kuliko unavyo fikiria.
Endapo Dr. Joyce Ndalichako atakubaliana na huu upuuuzi wa wana siasa wanao fanya maamuzi kwa political interest na yeye pia atakuwa ameingia kwenye mtengo na credibility yake aliyo jijengea kwenye jamii yetu itaporomoka kwa kasi ya ajabu, na hata aminika tena.

Mkuu si kweli kwamba mwaka huu hakutakuwa na Form5.
 
elimu ya tanzania haina thamani, mwalimu hawezi faulisha wanafunzi wake mia kwa mia ili aonekane kafaulisha kumbe anazalisha mambulura.
 
Pitia elimu ya Lukuvi utagundua hata yeye alifanyiwa Standardization. Alifeli form four akaenda kusomea ualimu wa grade A, kupitia mpango wa UPE lakini leo nae anajiita "degree holder" Chuo chenyewe alichosoma hakitambuliki. Hii ndio Tanzania... Ukistaajabu ya Lukuvi utaona ya Agustine Mrema (hajaenda sekondari lakini nae ana degree). Yani huyu ndo funga kazi, ukisia Dar mpaka Moro ndo hii. yani "from Primary to University"

umenikera sana, lyatonga mrema huwezi mfananisha na lukuvi hata kidogo!
 
Umeisoma na kuielewa sheria inayounda baraza la mitihani? au unakurupuka tu na kutuhumu kuwa wamekosea?

Kama sheria imeelekeza NECTA kutumia mbinu au mfumo unaofaa ili kusahisha mitihani, je, wewe ni nani uhoji maamuzi yao?

Mimi sioni kosa lolote la NECTA, sana sana wanapaswa kupongezwa kwa umakini na umahiri wa kusahisha, na pia kwa kubana mianya ya uvujaji wa mitihani ya taifa.

Mimi naamini NECTA wangeanza operesheni hii ya kuzuia uvujaji wa mitihani mapema, mleta mada na watu wote wa aina yako mngekuwa miongoni wa wanafunzi waliozungusha, maana uelewa wenu ni mdogo sana.
Bruno unachoongea kinanitia mashaka juu ya uelewa wako katika mambo ya dunia hii hasa tanzania unaongea kama dogo wa chekechea asiyefikiri sana.
 
umenikera sana, lyatonga mrema huwezi mfananisha na lukuvi hata kidogo!
Lukuvi ana vyeti vya kughushi na kuna Afisa mmoja wa Baraza alikuwa amehamishiwa Ilboru aliwekwa ndani kutokana na kumpa Lukuvi statement of Results wakati hajawahi kufanya mitihani. Ana bahati mambo yake yalizimwa lakini kuna kipindi ilikuwa ni patashika anafuatiliwa na vijana wa DCI Iringa
 
Elimu ya Lukuvi ni ovyo we unategemea nini?

Imagine,tume iliundwa na magwiji wa elimu,hatimaye ----- wa kamati yao ndo huo.TUMPONGEZE MBATIA KWA KUKATAA UJUMBE WA TUME HII,WALIO KULA PESA YA TUME HII SHAURI YAO.
 
Hakuna kitu kilichoikera Serikali ya JK kama ule taarifa ya kuwa tangu aingie madarakani elimu imezidi kushuka siku hadi siku ukilinganisha na mtangulizi wake BEN,
Kabla matokeo hayajatangazwa walimwambia Ndalichako achakachue matokeo ili wanafunzi waonekane wamefaulu, aligoma, sasa wameamua kuyachakachua kwa lazima na waziwazi, wakiwa wamehalalisha uchakachuliwaji huo, ili tu watoto waonekane wamefaulu hata kama hawajui chochote.
 
mwakani necta watafanya kazi itakayo ''ipendeza'' sirikali.

Tumaini letu pekee ni mabadiliko YANAYOWEZA kufanyika 2015
 
Mimi si mwalimu, bali nilifundishwa na waalimu waliopenda kazi yao. Wakati wetu waalimu walikuwa nadhifu kweli kweli. Walivaa stockings nyeupe na viatu vya ngozi (sio matawanda au kanda mbili). Walionekana wana afya na mishahara yao ilikuwa inalingana na ile ya watumishi wa umma waliofuzu nao, lakini wakapata au kupangiwa kazi nyingine.

Miaka hii baada ya Mwalimu Nyerere kuachia uongozi, inaonekana walimu wamepuuzwa. Sio tu kwamba wanalipwa mishahara kiduchu, bali Serikali inachelewesha malipo na kupuuza kujenga au kukarabati nyumba zao. Nyumba zenyewe hazitoshi, na hasa vijijini walimu wanalazimika kuishi mbali na skuli zao, wakitembea umbali mrefu kwenda na kutoka kazini.

Nimesoma thread moja jana katika JF juu ya mshahara anaolipwa Rais wetu. Sikuamini kwamba Tanzania yenye Bunge na vyama vya siasa ingeweza kufumba macho na kulipa kiasi hicho kwa kiongozi wananchi waliyemchagua! Shilingi 662,000,000 kwa mwezi mmoja!!!! Hii ni kusema kwa mwaka kiongozi huyu anatugharimu sisi walipakodi dhoofu Sh. 7,944,000,000!!!!! Maoni yangu ni kwamba kama Bunge lilifahamu na kupitisha kiasi hiki, basi halizingatii mahitaji na ufukara wa Watanzania. Ni aibu tupu.
 
Wanafunzi wengi walifeli mitihani ya kidato cha nne kwa kuwa walimu na serikali kwa ujumla walielekeza nguvu nyingi sana kwenye sensa ambako walimu tuliona inalipa kwa kuwa hakuna teaching allowance. Kwa ujumla, mgomo wa walimu na maandalizi ya sensa yalichangia kwa kiasi kikubwa.
 
yaani hapo iko ivi 'maziwa yapo kidogo watu ni weng il maziwa yatoshe 2natia maj' ndo kitu serkal imefanya. Kwamba serkal yenyewe inaangalia quantity sio quality. Nashindwa hata kuiilewa hii serkal yetu nafkr kuna haja yakua na viongoz wenye upana wa fikra sio sample hii
 
Kwanini elimu isishuke wakati nyinyi ndio mnapeleka watoto wetu "gesti hausi" na kuwaachisha masomo?

Mmomonyoko mkubwa wa maadili ndio sababu kubwa inayopelekea matokeo haya.

Hali ya kutopenda shule ndio imetawala akili za vijana wetu wa mashuleni.

Hata kama serikali ikitoa kila kitu, suala la maadili lina nafasi kubwa katika ufaulu, jambo ambalo limetushinda wazazi wengi kulisimamia.

Nani anawajibu wa kusimamia na kulinda maadili ya taifa letu ?
Je kwenye uongozi wa awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu wanafunzi walikuwa hawaendi kwenye nyumba za kulala wageni ? Je kwenda guest kuna uhusiano gani na wanafunzi wa Kawa-mbwa kufeli kwa kiwango cha kutisha ? Je waliofeli ni wasichana tu ?
 
Back
Top Bottom