Hakuna kitu kilichoikera Serikali ya JK kama ule taarifa ya kuwa tangu aingie madarakani elimu imezidi kushuka siku hadi siku ukilinganisha na mtangulizi wake BEN,
Mleta mada inaelekea elimu yako ndogo sana, utambui mhe. Lukuvi ni nani kwenye ripoti ya tume ya Pinda?
Mhe. Lukuvi amekukera kwa lipi? maana alichopeleka bungeni ni maazimio ya serikali na wala sio yake binafsi.
Kuhusu standardization, watakokotoa kiwango ambacho kitaongezwa kwa kila mwanafunzi, mara nyingi kiwango hiko hakibadili sana matokeo, maana ni ongezeko dogo tu linaongezwa.
Acha Uzuzu
Hivi mfumo mpya ndo kitu gani?
Mfumo mpya ulikuwa unasema 1+1=3?
Mbona Lukuvi hakusema huo Mfumo Mpya unafanya vipi kazi? na ulichangia vipi katika kufeli kwa wanafunzi???
Je, Serikali Haikushirikishwa na NECTA juu ya Matumizi ya Huo Mfumo Mpya???
Ni nani Developer wa Huo Mfumo Mpya na amechukuliwa hatua gani???
Tender ya Kutengeza Hu Mfumo Mpya alipewa na nani???
Kuleta Siasa kwenye Elimu ni Hatari sana kwa Mustakabali wa Nchi Yetu.
Msingi wa Taifa Lenye wataalamu Dhaifu/Incompetent, Msingi wake ni Maamuzi kama Haya
Kama sheria imeelekeza NECTA kutumia mbinu au mfumo unaofaa ili kusahisha mitihani, je, wewe ni nani uhoji maamuzi yao?
Mimi sioni kosa lolote la NECTA, sana sana wanapaswa kupongezwa kwa umakini na umahiri wa kusahisha, na pia kwa kubana mianya ya uvujaji wa mitihani ya taifa.
Hivi kwenye Hii Post, kuna sehemu yeyote nime mention suala la Kuvuja kwa Mitihani???Mimi naamini NECTA wangeanza operesheni hii ya kuzuia uvujaji wa mitihani, mleta mada ungekuwa miongoni wa wanafunzi waliozungusha, maana uelewa wako ni mdogo sana.
Mbowe ana cheti gani? CHADEMA mnategemea nini?
Mleta mada inaelekea elimu yako ndogo sana, utambui mhe. Lukuvi ni nani kwenye ripoti ya tume ya Pinda?
Mhe. Lukuvi amekukera kwa lipi? maana alichopeleka bungeni ni maazimio ya serikali na wala sio yake binafsi.
Kuhusu standardization, watakokotoa kiwango ambacho kitaongezwa kwa kila mwanafunzi, mara nyingi kiwango hiko hakibadili sana matokeo, maana ni ongezeko dogo tu linaongezwa.
Standardization ni kitu cha kawaida na kinafanyika duniani kote! Hivyo usione ajabu!Mods,
Naomba msiunganishe Huu uzi na Nyuzi nyingine za Kufutwa kwa Matokeo Ya Kidato Cha Nne
Napenda Kutumia Fursa hii kuonesha Kukerwa Kwetu (Mimi na wakazi wote Mtaa wetu Plus JF Members) na Kauli ya
Lukuvi Juu ya Kufutwa kwa Matokeo ya Kidato cha nne.
Who is Lukuvi By the way???
Je , Kawambwa na Mulugo bado wanapeta???
Kimsingi hii ndo main Point ya Tume ya Pinda.
Serikali inataka kusema kuwa Wasahihishaji wamewaonea Watoto.
Hii ni indication kuwa NECTA na Dr Ndalichako wamekubali (Kwa Kulzimishwa) Kuubeba Msalaba wa Serikali wa kutokujali Kilio Cha Walimu.
Madai ya Msingi ya Walimu ambayo Kimsingi ndo yalipelekea Janga la Mwaka Jana
Hata waki Standardize, Wakisema C Inazia 30% Badala ya 41%, haitakuwa na Tija Kabisa.
Taifa la Wa Taalamu Feki Msingi wake ni Maamuzi ya Kipuuzi Kabisa kama haya.
Mbowe ana cheti gani? CHADEMA mnategemea nini?
We ndo huna akili, mleta mada ana akili timamu, na anacho kihoji hapa ni kwa nini wana siasa wanajifanya wataalam wa kila kitu ? Je ku-standardise matokeo ndo suluhisho au ni njia ya kuahirisha tatizo ? Possibly wewe inaonekana hujui kwanini wanafunzi walifeli ?
Sakata la vijana wetu kufeli ni hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu, hivyo hatukutarajia wana siasa kama akina Lukuvi ambao elimu zao ni za ku-unga unga kwa bandeji kibao kushughulikia swala mhimu kama hili, bali serikali ingewakabidhi wataalam wa elimu ambao ni Walimu watafute suluhisho la kudumu na siyo zima moto kama serikali ya muishiwa dhaifu ilivyo fanya.
Kwa hiyo baada ya kufuta matokeo, ina maanisha mwaka huu hatutakuwa na form five ? Je wale ambao wamesha chukua result slip na kuendelea na michakato yao ya masomo ikiwemo na kujiunga shule za private wanafanyaje ?
Kwa hili serikali imekurupuka kama nyumbu, and take it from me, madhara yake ni makubwa kuliko unavyo fikiria.
Endapo Dr. Joyce Ndalichako atakubaliana na huu upuuuzi wa wana siasa wanao fanya maamuzi kwa political interest na yeye pia atakuwa ameingia kwenye mtengo na credibility yake aliyo jijengea kwenye jamii yetu itaporomoka kwa kasi ya ajabu, na hata aminika tena.
Mwenyekiti wa hii Tume ameshaeleza mipango hii ya kuwapa fursa watu waliomaliza shule ya msingi kutumia uzoefu wa maeneo yao kwenda chuo kikuu. Nafikiri wanaanza mwaka huu.Pitia elimu ya Lukuvi utagundua hata yeye alifanyiwa Standardization. Alifeli form four akaenda kusomea ualimu wa grade A, kupitia mpango wa UPE lakini leo nae anajiita "degree holder" Chuo chenyewe alichosoma hakitambuliki. Hii ndio Tanzania... Ukistaajabu ya Lukuvi utaona ya Agustine Mrema (hajaenda sekondari lakini nae ana degree). Yani huyu ndo funga kazi, ukisia Dar mpaka Moro ndo hii. yani "from Primary to University"
Naona mkuu master peace unavyo endeshwa na hisia na kuukwepa ukweli.
Suala la elimu hasa ili la kushuka kwa ufaulu limefanyiwa utafiti na tume ya Pinda, wajumbe wa hiyo tume ni wadau wakubwa wa elimu hapa nchini, na wala sio wanasiasa.
Lakini vilevile, maamuzi ya kusahisha upya na ku-standardize yametolewa na serikali kufuatia mapendekezo ya tume, sasa hapa siasa iko wapi?
Kinachofanyika hapa sio kibaya, ila ni katika jitihada ya kunusuru hawa watahiniwa, angalau waendelee na masomo ya kidato cha tano na sita, huku jitihada za kuboresha elimu zikiendelea.
Watakao nufaika na utaratibu wa standardization sio waliopata daraja sifuri, la hasha, ila serikali inataka wale wenye daraja la 4 na point 28-29 wafike angalau daraja la 3 na point 25.
Wewe kama mtanzania tena mzalendo utathubutu kukebehi na kukejeli maamuzi haya? hemu tuweke utaifa mbele na tuubariki huu mpango ili vijana waendelee na masomo, hizi dhihaka hazijengi chochote ndugu zangu.
Standardization ni kitu cha kawaida na kinafanyika duniani kote! Hivyo usione ajabu!
Niliwahi kuandika humu kuwa katika mwaka mmoja wa miaka ya 80 wanafunzi wa third year engineering UDSM karibu wote walifeli hesabu lakini alipokuja external examiner kutoka Makerere 90% ya wanafunzi walipasi!
Hakuna kitu kilichoikera Serikali ya JK kama ule taarifa ya kuwa tangu aingie madarakani elimu imezidi kushuka siku hadi siku ukilinganisha na mtangulizi wake BEN,