ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 121
Si nasikia Mh. Lukuvi ni std 7 ya zamani? Sasa mambo ya elimu nayeye wapi na wapi? Anaelewa kweli hizo jargons wanazotumia huko?
Mleta mada inaelekea elimu yako ndogo sana, utambui mhe. Lukuvi ni nani kwenye ripoti ya tume ya Pinda?
Mhe. Lukuvi amekukera kwa lipi? maana alichopeleka bungeni ni maazimio ya serikali na wala sio yake binafsi.
Kuhusu standardization, watakokotoa kiwango ambacho kitaongezwa kwa kila mwanafunzi, mara nyingi kiwango hiko hakibadili sana matokeo, maana ni ongezeko dogo tu linaongezwa.
lukuvi mwenye ana cheti cha UPE tu unategemea nini?
Si nasikia Mh. Lukuvi ni std 7 ya zamani? Sasa mambo ya elimu nayeye wapi na wapi? Anaelewa kweli hizo jargons wanazotumia huko?
Tazama takwimu hizi hapa kwa mujibu wa The Guardian ya tarehe 05.05.2013:
Mwaka 2009 waliofeli...........26%
Mwaka 2010 waliofeli...........50%
Mwaka 2011 waliofeli...........46%
Mwaka 2012 waliofeli...........60%
Nashangaa tunashangaa nini!!
Aiseee! Huwa naskia humu duniani kuna watu ambao ubongo wao umeganda nafkiri mmoja wao ni wewe..Lukuvi ni mtu makini na mahiri hamna hoja za maana nendeni shule kwanza
Napenda Kutumia Fursa hii kuonesha Kukerwa Kwetu (Mimi na wakazi wote Mtaa wetu Plus JF Members) na Kauli ya
Lukuvi Juu ya Kufutwa kwa Matokeo ya Kidato cha nne.
Who is Lukuvi By the way?
Je , Kawambwa na Mulugo bado wanapeta?
Kimsingi hii ndo main Point ya Tume ya Pinda.Serikali inataka kusema kuwa Wasahihishaji wamewaonea Watoto.
Hii ni indication kuwa NECTA na Dr Ndalichako wamekubali (Kwa Kulzimishwa) Kuubeba Msalaba wa Serikali wa kutokujali Kilio Cha Walimu.
Madai ya Msingi ya Walimu ambayo Kimsingi ndo yalipelekea Janga la Mwaka Jana.
Hata waki Standardize, Wakisema C Inazia 30% Badala ya 41%, haitakuwa na Tija Kabisa.
Taifa la Wa Taalamu Feki Msingi wake ni Maamuzi ya Kipuuzi Kabisa kama haya.