muhogomtamu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 412
- 69
Tazama takwimu hizi hapa kwa mujibu wa The Guardian ya tarehe 05.05.2013:
Mwaka 2009 waliofeli...........26%
Mwaka 2010 waliofeli...........50%
Mwaka 2011 waliofeli...........46%
Mwaka 2012 waliofeli...........60%
Nashangaa tunashangaa nini!!
Mwaka 2013 watakaofeli........ 74% kama utaratibu huu huu utazingatiwa