Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
Napenda Kutumia Fursa hii kuonesha Kukerwa Kwetu (Mimi na wakazi wote Mtaa wetu Plus JF Members) na Kauli ya
Lukuvi Juu ya Kufutwa kwa Matokeo ya Kidato cha nne.
Who is Lukuvi By the way?
Je , Kawambwa na Mulugo bado wanapeta?
Kimsingi hii ndo main Point ya Tume ya Pinda.Serikali inataka kusema kuwa Wasahihishaji wamewaonea Watoto.
Hii ni indication kuwa NECTA na Dr Ndalichako wamekubali (Kwa Kulzimishwa) Kuubeba Msalaba wa Serikali wa kutokujali Kilio Cha Walimu.
Madai ya Msingi ya Walimu ambayo Kimsingi ndo yalipelekea Janga la Mwaka Jana.
Hata waki Standardize, Wakisema C Inazia 30% Badala ya 41%, haitakuwa na Tija Kabisa.
Taifa la Wa Taalamu Feki Msingi wake ni Maamuzi ya Kipuuzi Kabisa kama haya.

"Standardization ifanyike ili matokeo ya wanafunzi yalingane na juhudi wazizoziweka katika kusoma kwa mazingira,
hali halisi ya Tanzania na uamuzi wa taifa kuongeza idadi ya shule na wanafunzi wakati uwekezaji katika ubora unaendelea,"
alisema Lukuvi.