FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 733
Hakika Lowassa anatisha! Maana hamlali kila kukicha ni Lowassa!
Kwa umakini ukitafakari sana utaona Lowassa ndo anafaa ndo maana amekua kama mti wenye matunda mema mAana ndio unaotupiwa mawe.