Nimeandika sababu zangu kwa kifupi sana lakini nafikiri zinabeba maana kubwa believe me.
.................Vote for Dr. W. Slaa .........................OR ...........Vote for Hon. H Mwinyi ........ OR.......... Vote For Hon E. Lowassa
......................
......................![]()
![]()
..............Chadema Candidate................................................... CCM Candidate............................... Independent Candidate
......Serikali ya Utawala wa Sheria na Haki...................... Serikali ya Umoja na Mshikamano................... Serikali ya Uwajibikaji
Una maoni gani kati ya haya majina matatu ni yupi unayempa asilimia kubwa na kwa sababu gani kama kwa haya majina matatu hakuna unayehisi ni mgombea anayefaa ni yupi unayeona atafaa na kwa sababu zipi, natanguliza shukurani.
Haaa haaa ati serikali ya Uwajibikaji wakati mtu kujivua gamba NEC imekuwa uhasama mkubwa usiokwisha. Hivi neno kuwajibika mnalitumia vipi humu, ni lini jizi likawajisha watu wengine au ndio akili ya unyapala!...
Naloli (ni kweli) hapo kwenye wekundu ebu baelezee bana,tukumbuke Aboud Jumbe yaliyompata Kyela,pia vijiji vya ujamaa vilivyokataliwa.Pia yanayotokea Mwanjelwa yote ni kuukataa uzandiki,mwanakijiji huyu jamaa ananikera sana anautaka urais kwa nguvu zote Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs( EL) Hata membi pia hafai
kuna majembe kama akina mwakyembe, mwandosya ila ndio wamewapa sumu na ndio tunataka rais kama hawa wakinyooshe chama maana wanyakyusa si desturi yao unafiki kama wa JK.
membi na EL wajue vita yao furaha ya kunguru lets them fight and tupate rais kutoka nje yao it will be much better
Mkuu walichokifanya Waasi wa Libya hakina tofauti na Alichofanya Marehemu Gadafi zaidi ya Miaka Arobaini iliyopita. Gadafi aliua akaingia na hakuwahi kufanya Ucahguzi and Yet tulikuwa tunamtambua. Museveni aliingia Madarakani Kajeshi and Yet tulimtambua na bado tunamtambua. Kagame aliingia Madarani kwa Mtutu wa Bunduki tulimtambua na Tunamtambua.
Mkuu Kubali kataa katika hili la Libwa kuna Interest za akina Membe zimezimwa. Bila sahaka walikuwa wanampango wa kupokea Pesa ili waje wapambane na Laig'wanan Lowasa
Hivi kipi kikubwa kuachia u-PM au kujiondoa CCM??
Mkandara EL aliishajiuzulu na kuwa mfano wa uwajibikaji bora kabisa kwa ngozi zetu hizi nyeusi ...........haya ya kuwa ni mwizi au la unasema ww ila kwa wengine wangeuliza kwa nini yuko huru? ili hali unatoka mapovu kuwa ni mwizi na anakutetemesha!
kama kweli mwizi na yuko huru definitely tatizo sio EL tena we have more work to do maana kumbe siyo EL atapona wengi tu we aill then create criminalised society! if we are not there yet
Mkuu kwenye swala la EL tulia sana , maana nimeona comments zako nyingi sana zenye maswali mengi sana, siku zote ishini kwa misimamo. Unajua ukiwa CCM unaonekana kwa rangi zote....siasa za makundi zinawamaliza
CCM wote wezi hakuna wa kumvua gamba mwenzake, umesikia??
Mwanakijiji na Lowasa siku izi.mh!
Yuko kazini kumsafisha lowassa ...utaona atakavyompigia kampeni keep on watching
weweee sijitakii laana?