Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

kuna rafiki yangu mmoja alimuuliza membe siku moja, tatizo lake yeye na lowassa na sita na nchimbi? Membe akajibu ' mbona nawapenda sana, ila anachukizwa na watu wengi kumpenda lowassa zaidi ya kikwete na akaapa kufanya juu chini lowassa achukiwe'.

Membe alisema anajiandaa kwa kampeni za 2012 ili watu wengi zaidi wamkubali..

My take; sioni influence yoyote ya membe. Hakubaliki kichama wala kiuongozi

inaonesha mmejipanga kisawasawa! Mnataka kutuchagulia lowassa minyukano iendelee, badala ya kushughulikia maendeleo yetu kazi itakuwa kuwashughulikia kina sita. Phew!
 
Mnyisanzu, kwanza hakuna ugomvi wowote kati ya watu hawa bali wanatofauti tuu katika comon interest ya urais wa 2015.

Kuna viongozi ambao ni born leader na made leader. Membe ni made leader na Lowassa ni born leader. Made leader anammaind born leader!

Kwa vile Ben alikuwa foreign na akawa rais, then JK alikuwa foreign akawa rais, Membe anaamini sasa ni zamu yake maana yeye ndiye yuko foreign!.

Lowassa was born to lead kutukomboa Watanzania!. Uwezo wa Membe mnaujua?. Ni afadhali ya JK mara mia!. Kama JK ndio ametufikisha hapa!, Membe si ndio atatuteketeza kabisa!. Hapa mtu ni EL tuu!.

Kumbukumbu zinaonyesha Mkapa wakati anagombea urais alitokea Ministry of Higher Education and Technology. Lekebisha kumbukumbu zako msiwapotoshe vijana, ambao miaka ya 1995 walikuwa chekechea, maana kwa mtindo huu unawapeleka chaka
 
Mnyisanzu, kwanza hakuna ugomvi wowote kati ya watu hawa bali wanatofauti tuu katika comon interest ya urais wa 2015.

Kuna viongozi ambao ni born leader na made leader. Membe ni made leader na Lowassa ni born leader. Made leader anammaind born leader!

Kwa vile Ben alikuwa foreign na akawa rais, then JK alikuwa foreign akawa rais, Membe anaamini sasa ni zamu yake maana yeye ndiye yuko foreign!.

Lowassa was born to lead kutukomboa Watanzania!. Uwezo wa Membe mnaujua?. Ni afadhali ya JK mara mia!. Kama JK ndio ametufikisha hapa!, Membe si ndio atatuteketeza kabisa!. Hapa mtu ni EL tuu!.

Weweeeeeeeeeeee!!??!??!!!!??
 
Unamaanisha kwamba Membe yupo kwenye Ukristo kiinteligensia siyo?
Nadhani kuna kaukweli katika hili, kwa jinsi anavyopiga kampeni Tanzania kuingia OIC ni kweli kwamba Membe ni Alhaj.

"Alhaj" Membe na "Jumanne" Malecela si wa kuaminika hata kidogo!
 
..hivi Membe amefanya kitu gani cha kupigiwa mfano mpaka tumfikirie kumpa Uraisi wa nchi hii?

..halafu utaratibu wake wa kusalimia "Salaam Aleykum" na "Bwana Asifiwe" unanitibua kwelikweli.

..naamini huko ni kuendekeza Udini nchi hii. Kwanini asitumie salamu isiyo na utambulisho wa dini yoyote ile?
 
"Alhaj" Membe na "Jumanne" Malecela si wa kuaminika hata kidogo!

Malecela alislim ili apate fedha za kampeni, membe is a muslim per se, tafuta dada zake huko Lindi watakwambia, hii ni list ile ile ya waislam waliadopt majina kama Bernard ili kupata shule za wamissionary
 
ya kweli haya mkuu?Membe nilisikia ni mseminari huyu,sasa seminari lengo kuu ni kutengeneza wito kuelekea upadre,sasa inakuwaje walishindwa kumgundua na kumwondoa walau kama walivyokuwa wanafanya st.Peters kwa kupeleka 'makapi' pale Kigurunyembe,au?
 
Ni nini hasa kilichowagombanisha hawa wanamtandao?

Hakuna kilichowagombanisha. Ni kwamba hawajawahi kuwa marafiki. Kiunganisho cha mtandao ni wote kuwa na urafiki na JK.

Membe aliingia kwenye mtandao wa Boyz-2-Men kwa mgongo wa 'ushemeji' na JK.
 
Kuna msemo, "Muungano wa wachawi haudumu".... Go figure!
 
Mnyisanzu, kwanza hakuna ugomvi wowote kati ya watu hawa bali wanatofauti tuu katika comon interest ya urais wa 2015.

Kuna viongozi ambao ni born leader na made leader. Membe ni made leader na Lowassa ni born leader. Made leader anammaind born leader!

Kwa vile Ben alikuwa foreign na akawa rais, then JK alikuwa foreign akawa rais, Membe anaamini sasa ni zamu yake maana yeye ndiye yuko foreign!.

Lowassa was born to lead kutukomboa Watanzania!. Uwezo wa Membe mnaujua?. Ni afadhali ya JK mara mia!. Kama JK ndio ametufikisha hapa!, Membe si ndio atatuteketeza kabisa!. Hapa mtu ni EL tuu!.
Lowassa for President!!! We all love and trust him 100 per cent
 
Lowasaaa.. lowasa!! Membeeee!! membe, Sitaaa!! sita.. Ah!! hata hamjui wengine tunachoka kusikia hizi makitu zikitajwatajwa kila Leo.. haya wengine haooo wamefikia mbali zaidi ..ALHAJ!!??.. MEMBE!!! HE!! mie simo..
 
Rais wa ukweli 2015 Dr WS yuko kimya wala hana presha anachapa kazi kuwazindua watu wa TZ kuhusu nchi yao,mbinu za 2005 na 2010 kupata uongozi hazina nafasi tena 2015,kama hawaamini waendelee tuu ila majuto mjukuu
 
ya kweli haya mkuu?Membe nilisikia ni mseminari huyu,sasa seminari lengo kuu ni kutengeneza wito kuelekea upadre,sasa inakuwaje walishindwa kumgundua na kumwondoa walau kama walivyokuwa wanafanya st.Peters kwa kupeleka 'makapi' pale Kigurunyembe,au?

[TD="class: text_menu, align: center"] PHOTO [/TD]
[TD="class: text_menu, width: 25%, bgcolor: #B1C3D9, align: center"] FULLNAME [/TD]
[TD="class: text_menu, width: 28%, bgcolor: #B1C3D9, align: center"] CONSTITUENT [/TD]
[TD="class: text_menu, width: 24%, bgcolor: #B1C3D9, align: center"] POLITICAL PARTY [/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
e3fda8ac-7214-425e-a508-e82e9238022c.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]FAITH MOHAMEDI MITAMBO[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]LIWALE[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
3bd8083d-7fd8-4711-9355-b84830f91b1f.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]KAMILLIUS MEMBE BERNARD[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]MTAMA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
4fc30141-c10b-471b-8cdf-7d51c5ad391e.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]KASSIM MAJALIWA MAJALIWA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]RUANGWA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
d2dbc946-41c1-4739-b765-b94010318521.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]MATHIAS MEINRAD CHIKAWE[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]NACHINGWEA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
c93c59ee-4ded-467a-bc1b-5c27473d3e31.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]MURTAZA ALLY MANGUNGU[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]KILWA KASKAZINI[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
8af0ec51-b898-4d71-a4ad-0e2758504662.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]SAIDI MOHAMED MTANDA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]MCHINGA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CCM[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
2a72f9a5-e22f-4e5e-aed2-bddb852cb172.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]SALUM KHALFAN BARWANY[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]LINDI MJINI[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CUF[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]
d8727f62-0f9f-4cf9-980f-7065c633152a.jpg
[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]SELEMANI SAID BUNGARA[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]KILWA KUSINI[/TD]
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"]CUF[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, colspan: 4, align: center"] Records 1 to 8 of 8[/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, colspan: 4, align: center"]
[/TD]

Bro hilo swala liko wazi kabisa kwa siasa za mkoa wa Lindi hata kabla ya kuuliza ndugu zake angalia majina ya wabunge wenzake mkoa wa Lindi na kisha google ili kujua percent ya wakristo mkoa wa Lindi, ndio utajua yeye anatoka kwa wazazi wa dini gani, wapiga kura wake ni wa aina gani
 
..hivi Membe amefanya kitu gani cha kupigiwa mfano mpaka tumfikirie kumpa Uraisi wa nchi hii?

..halafu utaratibu wake wa kusalimia "Salaam Aleykum" na "Bwana Asifiwe" unanitibua kwelikweli.

..naamini huko ni kuendekeza Udini nchi hii. Kwanini asitumie salamu isiyo na utambulisho wa dini yoyote ile?

Ni mlinzi mzuri wa Ndimu hasa zilizoko mtini
 
Rais wa ukweli 2015 Dr WS yuko kimya wala hana presha anachapa kazi kuwazindua watu wa TZ kuhusu nchi yao,mbinu za 2005 na 2010 kupata uongozi hazina nafasi tena 2015,kama hawaamini waendelee tuu ila majuto mjukuu

Duh, wacha wee!
 
Labda Tupeane za Uso humu JF, yaishie Humuhumu.. Bernard Kamilius Membe, mbaba wa miaka 59 sasa, ambaye 2015 atafikisha miaka miaka yake 62 hana Ndoto, wala hawazii kupania kugombea eti awe Rais.. Jambo Hilo Haliko moyoni mwake wala ndani ya Familia Yake.. mwenyewe haelewi ni lini au ni nani aliyepelekea yeye kuanza kuandikwa kwenye vyombo vya habari kwamba ana dalili za Kukabidhwa kijiti. Marafiki wake wa karibu wanamfariji kwamba labda ni kwa sababu amekikalia kiti cha Uwazili baada ya bahati kutokea kwa Asha Rose Migiro 2007 kuondoka ofisini hapo na yeye kuingia watu wanafikiri amewekwa hapo ili atengeneze mtandao wa siasa za nje kitu ambacho hakina mantik kabisa, Au kwa sababu mtangulizi wake naye alikikalia kiti hicho.
Yeye kama msomi wa" Maryland "kwenye fani ya Mahusiano ya Kimataifa kwenye chuo cha kifilosofia cha Yohana.. amejihusidha na masuala ya kiintelijensia kwa miaka Yake mingi ya Utumishi. Anakiri kwamba siasa kwake ilikuwa kama Mbeleko kwa sababu ya kuonekana msomi pekee wa kijiji kwenye Jimbo la Mtama Huko Lindi ingawa si mapenzi yake hasa kuwa mwanasiasa. Katika Shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu DSM, hakuthubutu hata kukaimu wadhifa wa mtunza madaftari ya darasa. Alipoulizwa na marafiki zake Je kama Ukiteuliwa kugombea na Hatimae kuwa Rais alidiriki kusema uRAis ni kazi Kama Kazi Nyingine, ashirio kwamba ni mtu asiye na Jipya.
Lowasa Ngoyai Edward ambaye Umri wake sawa na Bernad Membe naye 2015 atakuwa na miaka 62, lakini kwa Mzee sita yeye kidogo 2015 atakuwa amesogeza umri wa miaka 66. Tofauti na Membe, Lowasa na Sita Hali zao kiafya ni mgogolo sana. Hakuna anayeombea magonjwa kwa binadam mwenzake, Lakini pia hakuna afichaye maradhi, Ukweli ambao hata wao wanaujua.. Wakifanyiwa rehersal ya Kuzungukia lau mkoa mmoja na wilaya zake kufanya kampeni ya aina yoyote asilani wakaimudu.. .
Jambo Lililopo ni Ubabe, kila mtu Myuma yake ana watu na hao watu wana "mtu" wao ambao wanataka yeye "AWE" kwa maslahi yao..Na Mbaya zaidi katika makundi haya SITA na la saba na nane linanukia Hakuna Mzanzibar Hata Mmoja anayetajwa. na kila Kundi Lina nguvu, ushawishi na dumna ambayo si tu hatari kwa kifo cha CCM bali pia amani ya nchi. Nchi ambayo Viongozi wake waandamizi kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wameshasahau wajibu wao na kujikita kwenye siasa ni Hatari sana sana..

Kwa mtazamo huu, Kuna kampeni ambayo sitaki kuihukumu kwamba ni mbaya au nzuri inayoitwa SASA NI ZAMU YETE(ZANZIBAR). Kampeni hii ina malengo matatu. Kwanza ni kudhoofisha Nguvu ya makundi ambayo ni hatari kwa nchi, pili ni kuleteleza dhana ya Muungano na mazolea na tatu ni kukinusuru Chama. Kampeni hii inaokuja kwa Fujo imebeba sumu mbili ambazo ni hatari kulikoni makundi. Sumu ya kwanza ni Ubabe kwamba Zanzibar ni Nchi Huru yenye Mipaka yake Kisiasa, kiutamaduni, Kiuchumi na Kijeshi pia. Na kwa mantik hiyo Lazima ijitawale yenyewe(serikali ya mapinduzi ya Zanzibar) na Itawale bara (SJM) hi ni zumu ya kwanza ya wazi ambayo hawaipingi wanaihubiri waziwazi. Lakini sumu nyingine mbaya zaidi ni Udini..
My Take: Rais aliyeko madarakani namshauri ajiuzulu. Kwa hatua ya Makundi ilipofikia, haigusiki... haiwezekaniki kabisa kuyaondoa makundi kwa namna yoyote. Ulikuwepo uwezekano wa kufanya hivyo nyakati za nyuma ila sio sasa. Ameshailea hali hiyo na mtoto keshakua. Na kwa hatua ya Zanzibar vilevile si rahisi akaidhibiti.. Labda kwa sababu ya kuwa na washuri wabaya au maamuzi mabaya inchi imeshashindikana kuongozeka, kila mtu sasa ni Rais, anasema na kufanya anavyotaka. Basi ni Heshima yake akiachia ngazi, ili nchi iingie kwenye uchaguzi mwingine na yeye atakuwa na sifa yake. Uzalendo ni kukubali uelekeo wa upepo kabla nyumba haijaezuka mbele ya macho yako na kuwa aibu ya maisha.
Kukubali Kushindwa ni USHINDI!!
 
[TD="bgcolor: #F0F0F0, align: center"][/TD]

[TD="bgcolor: #F0F0F0, colspan: 4, align: center"][/TD]

Bro hilo swala liko wazi kabisa kwa siasa za mkoa wa Lindi hata kabla ya kuuliza ndugu zake angalia majina ya wabunge wenzake mkoa wa Lindi na kisha google ili kujua percent ya wakristo mkoa wa Lindi, ndio utajua yeye anatoka kwa wazazi wa dini gani, wapiga kura wake ni wa aina gani

Kwahiyo bros kwa Membe huko kigezo muhimu cha kushinda jimbo la uchaguzi ni dini?Chikawe nae vipi,au alisomea kwa wamisionari kwa jina la bandia?
 
Back
Top Bottom