Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

Lowassa ni victim wa azimio la zanzibar la mwaka 1992, ambalo liliruhusu rasmi viongozi wote kujiingiza katika biashara kwa maana ya: Ruksa kwa viongozi wa kisiasa kuwa na mishahara zaidi ya mmoja, kuwa na nyumba za kupanga, na kuwa na hisa katika publicly traded company. Ndio maana ni vigumu kumtuhumu Lowassa, kama vile ilivyokuwa vigumu kuhoji utajiri wa Mbowe, kwani kila kiongozi wa siasa - Chadema, CUF, CCM, NCCR mageuzi, anafaidika na azimio la Zanzibar. Kwahivyo, unless azimio hili linafanyiwa marekebisho, Lowassa aachwe kama alivyo. Lakini hii haina maana kwamba azimio la zanzibar lipo sahihi.
 
kuna rafiki yangu mmoja alimuuliza membe siku moja, tatizo lake yeye na lowassa na sita na nchimbi? membe akajibu ' mbona nawapenda sana, ila anachukizwa na watu wengi kumpenda lowassa zaidi ya kikwete na akaapa kufanya juu chini lowassa achukiwe'.

membe alisema anajiandaa kwa kampeni za 2012 ili watu wengi zaidi wamkubali..

my take; sioni influence yoyote ya membe. hakubaliki kichama wala kiuongozi

Sio tu huko, wewe mwenyewe unamkubali?
 
Labda Tupeane za Uso humu JF, yaishie Humuhumu.. Bernard Kamilius Membe, mbaba wa miaka 59 sasa, ambaye 2015 atafikisha miaka miaka yake 62 hana Ndoto, wala hawazii kupania kugombea eti awe Rais.. Jambo Hilo Haliko moyoni mwake wala ndani ya Familia Yake.. mwenyewe haelewi ni lini au ni nani aliyepelekea yeye kuanza kuandikwa kwenye vyombo vya habari kwamba ana dalili za Kukabidhwa kijiti. Marafiki wake wa karibu wanamfariji kwamba labda ni kwa sababu amekikalia kiti cha Uwazili baada ya bahati kutokea kwa Asha Rose Migiro 2007 kuondoka ofisini hapo na yeye kuingia watu wanafikiri amewekwa hapo ili atengeneze mtandao wa siasa za nje kitu ambacho hakina mantik kabisa, Au kwa sababu mtangulizi wake naye alikikalia kiti hicho.
Yeye kama msomi wa" Maryland "kwenye fani ya Mahusiano ya Kimataifa kwenye chuo cha kifilosofia cha Yohana.. amejihusidha na masuala ya kiintelijensia kwa miaka Yake mingi ya Utumishi. Anakiri kwamba siasa kwake ilikuwa kama Mbeleko kwa sababu ya kuonekana msomi pekee wa kijiji kwenye Jimbo la Mtama Huko Lindi ingawa si mapenzi yake hasa kuwa mwanasiasa. Katika Shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu DSM, hakuthubutu hata kukaimu wadhifa wa mtunza madaftari ya darasa. Alipoulizwa na marafiki zake Je kama Ukiteuliwa kugombea na Hatimae kuwa Rais alidiriki kusema uRAis ni kazi Kama Kazi Nyingine, ashirio kwamba ni mtu asiye na Jipya.
Lowasa Ngoyai Edward ambaye Umri wake sawa na Bernad Membe naye 2015 atakuwa na miaka 62, lakini kwa Mzee sita yeye kidogo 2015 atakuwa amesogeza umri wa miaka 66. Tofauti na Membe, Lowasa na Sita Hali zao kiafya ni mgogolo sana. Hakuna anayeombea magonjwa kwa binadam mwenzake, Lakini pia hakuna afichaye maradhi, Ukweli ambao hata wao wanaujua.. Wakifanyiwa rehersal ya Kuzungukia lau mkoa mmoja na wilaya zake kufanya kampeni ya aina yoyote asilani wakaimudu.. .
Jambo Lililopo ni Ubabe, kila mtu Myuma yake ana watu na hao watu wana "mtu" wao ambao wanataka yeye "AWE" kwa maslahi yao..Na Mbaya zaidi katika makundi haya SITA na la saba na nane linanukia Hakuna Mzanzibar Hata Mmoja anayetajwa. na kila Kundi Lina nguvu, ushawishi na dumna ambayo si tu hatari kwa kifo cha CCM bali pia amani ya nchi. Nchi ambayo Viongozi wake waandamizi kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wameshasahau wajibu wao na kujikita kwenye siasa ni Hatari sana sana..

Kwa mtazamo huu, Kuna kampeni ambayo sitaki kuihukumu kwamba ni mbaya au nzuri inayoitwa SASA NI ZAMU YETE(ZANZIBAR). Kampeni hii ina malengo matatu. Kwanza ni kudhoofisha Nguvu ya makundi ambayo ni hatari kwa nchi, pili ni kuleteleza dhana ya Muungano na mazolea na tatu ni kukinusuru Chama. Kampeni hii inaokuja kwa Fujo imebeba sumu mbili ambazo ni hatari kulikoni makundi. Sumu ya kwanza ni Ubabe kwamba Zanzibar ni Nchi Huru yenye Mipaka yake Kisiasa, kiutamaduni, Kiuchumi na Kijeshi pia. Na kwa mantik hiyo Lazima ijitawale yenyewe(serikali ya mapinduzi ya Zanzibar) na Itawale bara (SJM) hi ni zumu ya kwanza ya wazi ambayo hawaipingi wanaihubiri waziwazi. Lakini sumu nyingine mbaya zaidi ni Udini..
My Take: Rais aliyeko madarakani namshauri ajiuzulu. Kwa hatua ya Makundi ilipofikia, haigusiki... haiwezekaniki kabisa kuyaondoa makundi kwa namna yoyote. Ulikuwepo uwezekano wa kufanya hivyo nyakati za nyuma ila sio sasa. Ameshailea hali hiyo na mtoto keshakua. Na kwa hatua ya Zanzibar vilevile si rahisi akaidhibiti.. Labda kwa sababu ya kuwa na washuri wabaya au maamuzi mabaya inchi imeshashindikana kuongozeka, kila mtu sasa ni Rais, anasema na kufanya anavyotaka. Basi ni Heshima yake akiachia ngazi, ili nchi iingie kwenye uchaguzi mwingine na yeye atakuwa na sifa yake. Uzalendo ni kukubali uelekeo wa upepo kabla nyumba haijaezuka mbele ya macho yako na kuwa aibu ya maisha.
Kukubali Kushindwa ni USHINDI!!

This is another eye opener! Haya ngoja Tusubiri WENYEWE waje waseme kwamba hiizi nazo ni porojo zenye nia ya kutia watu hofu.
 
Dada Salma, hongera kwa kuzama deep, nimefurahia uchambuzi wako, kadri safari ya 2015 inavyokaribia, ma great thinkers humu jf wanaongezeka kila kukicha, wewe uu miongoni mwao!.

Turudi kwenye safari ya 2015, kama tatizo la Lowassa ni afya yake tuu, hilo usiwe na shaka, linashughulikiwa na YEYE mwenyewe ALIYE juu!, ambaye ndiye anayesimamia hii issue nzima!. Na YEYE akishaamua, nani anaweza kuzuia?!.
 
Ndugu yangu Kiungani, heshima ni muhimu sana. Alhaj Membe na JK sio mashemeji. Ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali.

Baba yao ni muislam, Mama wa JK ni muislam, mama wa Alhaj Membe ni mkristo mkatoliki, tena alikuwa sister. Mama wa Membe alipatwa na Mzee K, alipokuwa hapa DSM, akagoma kuolewa akaenda kwao huko Lindi.

JK alipohamishiwa Lindi kukazi akamtafuta mdogo wake na kuanza kumpromoti na anataka kumrithisha kiti cha Urais.

Hakuna kilichowagombanisha. Ni kwamba hawajawahi kuwa marafiki. Kiunganisho cha mtandao ni wote kuwa na urafiki na JK.

Membe aliingia kwenye mtandao wa Boyz-2-Men kwa mgongo wa 'ushemeji' na JK.
 
Ni nini hasa kilichowagombanisha hawa wanamtandao?

Ukiachilia mbali tofauti zao za msingi(contradicting in principal ) ambazo zinawafanya naturally wawe pande mbili tofauti kama mafuta na maji, tofauti zao zinakuzwa zaidi na watu kama wewe (speculators na spectators) mnaotumika kama madaraja ya kufanikisha uhasama kwa kuchochea hisia mbaya na kuwafitinisha.
 
Ndugu yangu Kiungani, heshima ni muhimu sana. Alhaj Membe na JK sio mashemeji. Ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali.

Baba yao ni muislam, Mama wa JK ni muislam, mama wa Alhaj Membe ni mkristo mkatoliki, tena alikuwa sister. Mama wa Membe alipatwa na Mzee K, alipokuwa hapa DSM, akagoma kuolewa akaenda kwao huko Lindi.

JK alipohamishiwa Lindi kukazi akamtafuta mdogo wake na kuanza kumpromoti na anataka kumrithisha kiti cha Urais.

Aisee sikuijua hiii kuwa ni mtu na mdogo wake. Asante kiongozi
 
ni zile hela za ghadafi jamaa alizoziwahi kwenda kujengea kiwanda cha simenti
 
Lowassa kachoka sana juzi kati tu hapa alianguka katika hotel fulani ikiwa ni mara ya 2 mwaka huu afaya mgogoro sana huyu mtu ila tamaaa kaweka mbele licha ya kushikilia miradi kibao huko nchini. Hovyo sana kuwa na viongozi wa caliber hii. I would go for Membe
 
Mambo yetu ya 2015 yanampasua kichwa.Huku hataki kukubali mziki wa EL kwamba sio wakitoto
 
Kwani Chikawe dini gani bro?.

Siijui dini yake isipokuwa Jina lake la Mathias huwa linatumiwa na waumini wa dini ya kikristo hapa Tanzania.Inawezekana likawa jina tu lakini asiwe na imani ya kikristo.Inawezekana hana dini au ni muislam au wa dini nyinginezo.Nijuze bro
 
Ndugu yangu Kiungani, heshima ni muhimu sana. Alhaj Membe na JK sio mashemeji. Ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali.

Baba yao ni muislam, Mama wa JK ni muislam, mama wa Alhaj Membe ni mkristo mkatoliki, tena alikuwa sister. Mama wa Membe alipatwa na Mzee K, alipokuwa hapa DSM, akagoma kuolewa akaenda kwao huko Lindi.

JK alipohamishiwa Lindi kukazi akamtafuta mdogo wake na kuanza kumpromoti na anataka kumrithisha kiti cha Urais.

Mkuu ya kweli haya au tunaingizana chaka??
 
Malecela alislim ili apate fedha za kampeni, membe is a muslim per se, tafuta dada zake huko Lindi watakwambia, hii ni list ile ile ya waislam waliadopt majina kama Bernard ili kupata shule za wamissionary

Noted,
Majina ya dada zake Membe: Hamida, Mwanaisha, Mwanaidi, Hanifa, Asha.

Tanzania - Akili kumkichwa!
 
Labda Tupeane za Uso humu JF, yaishie Humuhumu.. Bernard Kamilius Membe, mbaba wa miaka 59 sasa, ambaye 2015 atafikisha miaka miaka yake 62 hana Ndoto, wala hawazii kupania kugombea eti awe Rais.. Jambo Hilo Haliko moyoni mwake wala ndani ya Familia Yake.. mwenyewe haelewi ni lini au ni nani aliyepelekea yeye kuanza kuandikwa kwenye vyombo vya habari kwamba ana dalili za Kukabidhwa kijiti. Marafiki wake wa karibu wanamfariji kwamba labda ni kwa sababu amekikalia kiti cha Uwazili baada ya bahati kutokea kwa Asha Rose Migiro 2007 kuondoka ofisini hapo na yeye kuingia watu wanafikiri amewekwa hapo ili atengeneze mtandao wa siasa za nje kitu ambacho hakina mantik kabisa, Au kwa sababu mtangulizi wake naye alikikalia kiti hicho.
Yeye kama msomi wa" Maryland "kwenye fani ya Mahusiano ya Kimataifa kwenye chuo cha kifilosofia cha Yohana.. amejihusidha na masuala ya kiintelijensia kwa miaka Yake mingi ya Utumishi. Anakiri kwamba siasa kwake ilikuwa kama Mbeleko kwa sababu ya kuonekana msomi pekee wa kijiji kwenye Jimbo la Mtama Huko Lindi ingawa si mapenzi yake hasa kuwa mwanasiasa. Katika Shahada yake ya kwanza Chuo Kikuu DSM, hakuthubutu hata kukaimu wadhifa wa mtunza madaftari ya darasa. Alipoulizwa na marafiki zake Je kama Ukiteuliwa kugombea na Hatimae kuwa Rais alidiriki kusema uRAis ni kazi Kama Kazi Nyingine, ashirio kwamba ni mtu asiye na Jipya.
Lowasa Ngoyai Edward ambaye Umri wake sawa na Bernad Membe naye 2015 atakuwa na miaka 62, lakini kwa Mzee sita yeye kidogo 2015 atakuwa amesogeza umri wa miaka 66. Tofauti na Membe, Lowasa na Sita Hali zao kiafya ni mgogolo sana. Hakuna anayeombea magonjwa kwa binadam mwenzake, Lakini pia hakuna afichaye maradhi, Ukweli ambao hata wao wanaujua.. Wakifanyiwa rehersal ya Kuzungukia lau mkoa mmoja na wilaya zake kufanya kampeni ya aina yoyote asilani wakaimudu.. .
Jambo Lililopo ni Ubabe, kila mtu Myuma yake ana watu na hao watu wana "mtu" wao ambao wanataka yeye "AWE" kwa maslahi yao..Na Mbaya zaidi katika makundi haya SITA na la saba na nane linanukia Hakuna Mzanzibar Hata Mmoja anayetajwa. na kila Kundi Lina nguvu, ushawishi na dumna ambayo si tu hatari kwa kifo cha CCM bali pia amani ya nchi. Nchi ambayo Viongozi wake waandamizi kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wameshasahau wajibu wao na kujikita kwenye siasa ni Hatari sana sana..

Kwa mtazamo huu, Kuna kampeni ambayo sitaki kuihukumu kwamba ni mbaya au nzuri inayoitwa SASA NI ZAMU YETE(ZANZIBAR). Kampeni hii ina malengo matatu. Kwanza ni kudhoofisha Nguvu ya makundi ambayo ni hatari kwa nchi, pili ni kuleteleza dhana ya Muungano na mazolea na tatu ni kukinusuru Chama. Kampeni hii inaokuja kwa Fujo imebeba sumu mbili ambazo ni hatari kulikoni makundi. Sumu ya kwanza ni Ubabe kwamba Zanzibar ni Nchi Huru yenye Mipaka yake Kisiasa, kiutamaduni, Kiuchumi na Kijeshi pia. Na kwa mantik hiyo Lazima ijitawale yenyewe(serikali ya mapinduzi ya Zanzibar) na Itawale bara (SJM) hi ni zumu ya kwanza ya wazi ambayo hawaipingi wanaihubiri waziwazi. Lakini sumu nyingine mbaya zaidi ni Udini..
My Take: Rais aliyeko madarakani namshauri ajiuzulu. Kwa hatua ya Makundi ilipofikia, haigusiki... haiwezekaniki kabisa kuyaondoa makundi kwa namna yoyote. Ulikuwepo uwezekano wa kufanya hivyo nyakati za nyuma ila sio sasa. Ameshailea hali hiyo na mtoto keshakua. Na kwa hatua ya Zanzibar vilevile si rahisi akaidhibiti.. Labda kwa sababu ya kuwa na washuri wabaya au maamuzi mabaya inchi imeshashindikana kuongozeka, kila mtu sasa ni Rais, anasema na kufanya anavyotaka. Basi ni Heshima yake akiachia ngazi, ili nchi iingie kwenye uchaguzi mwingine na yeye atakuwa na sifa yake. Uzalendo ni kukubali uelekeo wa upepo kabla nyumba haijaezuka mbele ya macho yako na kuwa aibu ya maisha.
Kukubali Kushindwa ni USHINDI!!

Hakikisha hiyo ID yako ina survive mpaka wakati huo! usije ukala maneno yako
 
Ndugu yangu Kiungani, heshima ni muhimu sana. Alhaj Membe na JK sio mashemeji. Ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali.

Baba yao ni muislam, Mama wa JK ni muislam, mama wa Alhaj Membe ni mkristo mkatoliki, tena alikuwa sister. Mama wa Membe alipatwa na Mzee K, alipokuwa hapa DSM, akagoma kuolewa akaenda kwao huko Lindi.

JK alipohamishiwa Lindi kukazi akamtafuta mdogo wake na kuanza kumpromoti na anataka kumrithisha kiti cha Urais.

inawezekanaeee!!!!! maana hata sauti zao zinalandana, ila Mkubwa kazidi kufanya uasherati!
 
Kum-compare EL na BM ni sawa na kumu-underestimate EL. This guy is too far from BM.
 
Ndugu yangu Kiungani, heshima ni muhimu sana. Alhaj Membe na JK sio mashemeji. Ni watoto wa baba mmoja mama mbalimbali.

Baba yao ni muislam, Mama wa JK ni muislam, mama wa Alhaj Membe ni mkristo mkatoliki, tena alikuwa sister. Mama wa Membe alipatwa na Mzee K, alipokuwa hapa DSM, akagoma kuolewa akaenda kwao huko Lindi.

JK alipohamishiwa Lindi kukazi akamtafuta mdogo wake na kuanza kumpromoti na anataka kumrithisha kiti cha Urais.

mmh, hii ni eye opener... halafu kwa jinsi hawa jamaa wanavyorandana, probably you have got it right
 
Back
Top Bottom