Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Dec 2, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Well.. the two camps are absolutely opposed to each other. Only one will emerge the winner and he would be the only one facing any other challenger for CCM Presidential candidacy in 2015. Will this be a full 12 rounds bout? I mean.. will we see the two camps chopping, upper-cutting each other before the CCM national Congress next year or even later towards 2015?

  I'm asking myself why the differences between the two camps have become more pronounced and sharp in the past year?

  One is the Minister of Foreign Affairs while the other is the Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs!

  Well.. somebody got to lose and somebody got to win - a tie is not an option. BUT what if they destroy each to the point that even the winner doesn't survive the fight! - well.. SOMEBODY ELSE will reap where he/she didn' sow! Thats my friends is politics!

  Lets enjoy the show!
   
 2. Mwamikili

  Mwamikili JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 416
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mwanakijiji huyu jamaa ananikera sana anautaka urais kwa nguvu zote Chair of Parliamentary Standing Committee for Security and Foreign Affairs( EL) Hata Membe pia hafai.

  Kuna majembe kama akina mwakyembe, mwandosya ila ndio wamewapa sumu na ndio tunataka rais kama hawa wakinyooshe chama maana wanyakyusa si desturi yao unafiki kama wa JK.

  Membe na EL wajue vita yao furaha ya kunguru lets them fight and tupate rais kutoka nje yao it will be much better
   
 3. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,024
  Likes Received: 7,403
  Trophy Points: 280
  Taking these two on the beam balance, the winner is obviously.
  Since one is stategic and dreadly powerful on their political arena and the other one is walking under the shadows of the failed Mr. Big, and the less logical is this other one thinks he can just because of the position he is serving under, lets wait and see, but I insist the winner is obviously the opponent is an easy way.
  Let me sit on my rock chair and keep sipping my drink while waiting for the tik tok...
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,978
  Trophy Points: 280
  CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
  Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
  System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
  Now its a time to say NO for CCM.
   
 5. KANUTI SILAYO

  KANUTI SILAYO Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  El ana power kuliko Membe kwenye chama
   
 6. King2

  King2 JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MEMbe>kikwete
   
 7. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwandosya hafai kuwa rais hata kidogo. Si unakumbuka kipindi kile DAWASCO wanawakatia maji mawaziri wasiotaka kulipa bill za maji akasema waachwe. Pia akiwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi inaemekana pia naye ameshiriki kuihujumu TTCL. Kwa wanaomfahamu vizuri wanasema pia ni mkabila sana. Naomba kuwasilisha.
   
 8. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hii wanaita trela...tusubiri FULL MOVIE!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,978
  Trophy Points: 280
  CCM haina mtu anayefaa kuwa Rais.
  Sio Membe, Lowassa, Magufuli, Mwakyembe wala Asha Migiro.
  System ya CCM ime collapse, imeshindwa kutatua kero za Mtanzania, imeshindwa kusimamia rasilimali zetu kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu vijavyo.
  Now its a time to say NO for CCM.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  rais ajaye si mtu maarufu ila ni mtendaji na Msimamiaj mzuri wa mambo.
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sitaki kujiita mtabiri maana sina karama hiyo. Lakini kwa wale wanaofuata mafundisho ya historia watajua kwamba vita mara zote hhushinda uovu. Katika hili Lowassa anawakilisha uovu wanaoukataa watanzania wanyonge na maskini, anaotaka kuwapumbaza na huku akiwa amechangia kuwafikisha mahali hapa ambapo hata umeme ni anasa.

  Sina hakika kama Membe ana kambi lakini ninachojua ni kwamba kuna kundi la watanzania wengi wapinga maovu na dhulma, wapenda maadili na kikundi kidogo cha wezi wa mali na rasilimali za umma, wanaoutumia wizi na utajiri huo kujinufaisha. Hawa kamwe hawawezi kushinda vita hivi!
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  In a presidential contenst, no body can ride on the luck of the incumbent. Not even Membe for he knows that when you assosicate with the incumbency, you carry with you, all what is perceived to be evil. Belieiving that the power of incumbency is all what takes one to win the nomination or even the presidency is as absurd as to think that splashing out ill gotten money is enough to endear one to the voters who very well know how devilish the candidate is. If Membe were to stand, he is man enough to articulate what he intends to stand for and the incumbent will only be an icing in the cake.
   
 13. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  and YES to who?
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hao hawawezi kabisa
   
 15. k

  kipimo JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mambo ya CCM yanawahusu zaidi wana CCM na hasa wale ambao huwa wanakutana dodoma, ni vigumu sana kuwatabiria mtu hasa kama uko nje ya hiyo duara, ila kama hiyo list ni exhaustive kazi kubwa bado ipo....
   
 16. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wote wezi tu
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  haijawahi kwenye historia ya ccm, mtu anaetaka kuwa rais na mwenyekiti wa ccm
  'akamponda waziwazi na kumdhalilisha mwenyekiti aliekuwepo madarakani'
  bado mshtuko na athari zake hatujaziona bado..
  the game this time is so different.........we have the unknowns unknowns so far.....
   
 18. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thanks God Its Friday!
  This thriller is going to keep u awake all the way!
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Rais 2015 lazima atoke Kaskazini: Pasco wa JF
   
 20. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Membe eti naye anataka kuwa rais! Nikikumbuka jinsi alivyoshupalia chenji ya rada kwenye vyombo vya habari nakosa kuuona ujasiri na uzalendo wake kwa taifa ili. Hawezi kamwe kulinda na kuheshimu maslahi ya mtz.

  Namkumbuka pia jinsi alivyokuwa anaponda serikali ya mpito ya Libya akiwahusisha wanamapinduzi wale kama wahaini - hadi akawakemea wawakilishi wa Libya nchini walipopandisha bendera mpya. MEMBE HAFAI HATA KIDOGO.

  Uozo wa EL ni mkubwa,kumbukeni kashutumiwa mengi (kupanga kuwaua Mwakyembe, Dr. Slaa na Mengi) na mpaka leo hajakanusha ina maana kuna ukweli ndani yake. NAYE AKIWA RAIS NAFIKIRI ATAUZA HADI FARU WOOTE WA SERENGETI jamaa anapenda sana pesa za mkato.
   
Loading...