Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Mbona mnahangaika sana. Nadhani sasa ni wakati wa JF kuheshimiwa
 
Jamani acheni Lowassa apumzike,hajawambia anagombea.
 
Lowassa ichunguze timu yako,kwanini kila unapofanya kikao siri zinavuja?
Mkuu hii sio siri ni Uzushi! ingawa siipendi ccm na watu wake wote! kuna sehemu ndogo sana ya ubongo wangu inaamini kuwa pamoja na pumba wanazoongea au kujadili wana ccm basi kuna pumba nyingine unaweza ukapata hata mchele unaotosha kutengeneza vitumbua 4
 
tunataki kujiuliza swali moja tu hii nguvu kubwa hivi inayotumika kumchafua mzee lowasa ni ya nini na ninani aliyeko nyuma yake
 
Acha kutuletea umbea hapa hiyo habar haina ukweli wowote ww lowasa hakuite kwenye kikao kama nani,jaman kamati ya kugombea urais cyo kamat ya kitoto ni ya watu wazto,ww ni kama nan huudhurie toa ushe..wako hapa
 
Ha ha ha huenda ikawa no ukweli aisee ukiona watu mnajibu kwa jazba ujue kimesanuka tayari
 
Mtoa taharifa hizi ni muongo sana tambua kuanzia jumamosi Lowassa hayuko Dodoma yupo dar nyumbani kwake masaki pia Lowassa ajawai kukaa kikao na mjiga kama we na kakao cha nini na hili iweje,mnasumbua sana akili zenu kila kukicha kupanga uongo na fitina zisizo kuwa na maana nadhani nifedha hiyo unayolipwa kwa ajili ya kufanya hivyo.Tambua Lowassa kwenye siasa ajaanza Leo anajuwa fitina zote ziwe ndani ya ccm na nje ya ccm sasa Leo akutane na we eti kwenye kikao mpange mikakati kwamba yeye yuko karibu na jakaya nani kakuambia yeye na jakaya wamegombana kumbuka awajakutana barabarani kama we na membe,pia kukutana jakaya na Lowassa si kitu cha kujadili wale ukutana muda wowote watakavyo .
 
Dah kila ukiingia JF ni Lowassa tu, huyu mzee inaonekana kawashika Sana huko Ugambani...
 
Lowassa jua tuko dodoma na tunajua unacho kifanya acha ujinga jua huwezi kuwa rais na katubu zambi zako maana umekula hela ya wavuja jasho watanzania. Laana iko juu yako na wanao kufuata nao wame laaniwa.

mNaz

Punguza munkar mkuu..

Lowasa ni Raisi hapo 2015 ..
 
Last edited by a moderator:
Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanzeø kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.

Sifunze kutunga uwongo.
 
"Kama wanasema Lowassa
ni mzima, naomba akakimbie
uwanja wa Taifa azunguke
hata mara moja kama
hataishia ICU" DIALO (PHD)
 
Naona Watangaza nia wote mwisho vyumbani mwao Jf wote Lowasa Lowasa..........
 
Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.
wewe kiroboto tu kwa lowasa.akutane na wewe umsaidie nini we bata
 
Dah kila ukiingia JF ni Lowassa tu, huyu mzee inaonekana kawashika Sana huko Ugambani...

Shangaeni njaa ilivyo mbaya. Kwa akili ya mleta uzi anaamini kabisa humu jamvini yupo wa kuamini huu upuuzi wake aliotumwa na kambi yake . Wewe wala hufai kufagia chumba wanachokutana wajumbe wa kambi ya Lowassa achilia mbali kualikwa nae. Hangaikia kambi yenu kama mmeshaoteshwa.
 
Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.

Team *****, punguzeni kujidhalilisha wakuu... utunzi wenu pia hafifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom