Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.

Yawn wewe no muongo uliyekubuhu, hakuna kikao kama hicho kilichopata kifanyika, mbona ukimya wa huyu mzee unawatikisa kengere zenu kila kukicha.. Na kwa taarifa yako, cc watanzania tunamuhitaji LOWASA na sio hayo matapishi yenu mnayotaka kutuaminisha
 
Sema unamuhitaji lowasa kwani baba yako?.... 2008 katu richimondi na bado anakejeli serikali kuwa yeye kafanya na sio serikali hapo ndipo tunapomkataa ni mmbinafsi sana. Unapoteza muda wako kumuongelea lowassa rais lazima atoke ccm na wajumbe tutaamua. Aendeleee kununua mamlaka tusubirie kuuzwa.
 
anaumwa sana mzee mikono inatetemeka kama ferguson alikuwa anamwangalia messi vile
 
Huwezi kumtenganisha EL na ugombea URAIS ndani ya CCM 2015. cha msingi Lumumba someni alama za nyakati kama mnapenda kutokirarua chama chenu vipande vipande.
 
Lowassa ichunguze timu yako,kwanini kila unapofanya kikao siri zinavuja?

ufalme uliofitinika hata siku moja hauwezi kuwa pamoja, hilo kundi lake ni la wanafiki watupu lengo lao ni kupora mali ya watanzania
 
The big mistake ya opponents wa Lowassa ni kumpa cheap publicity Lowasa. Its a big mistake ever hasa kwa kipindi hiki kuelekea mwakani
 
jamani huyu wamlola ni mbeya au mahaba? Maana anaonekana ana mahaba niue kwa Lowasa. Tumechoka na habari zako za Lowasa, toka kivingine sasa
 
heri mchawi kuliko mtu muongo,ni hatari sana,unawezaje kutoa siri nzito kama hiyo kwa mtu aliyekualika kwenye kikao nyeti aina hiyo?,huo ni uendawazimu,japo wengine si wanasiasa lakini kwa hapa bongo siasa za kupakana matope zimekuwa kero.

inamaana ni Lowassa pekee ambaye anamtandao wa urais?,na hao wengine mbona mnajaribu kuwakwepa kuwazungumzia kwa kiwango cha juu kama EL?.

watanzania wa leo si wajinga kiasi hicho,wewe uliyeposti hapa unatumika bila wewe kujitambua na siku ukijitambua utajuuuuuuuuuuuuuuuuuuuutaaaaaaaaaa kutumika
 
Edward Lowassa ameanza siasa za kilaghai,Hii imetokea jana usiku kwenye kikao alichokiongoza yeye mwenyewe nyumbani kwake Area D.
Lowassa ametueleza kuwa tuanze kueneza propaganda ya kilaghai dhidi ya mambo anayoyaona magumu kwake.

Baada ya kugundua kuwa hayuko karibu na Familia ya Rais Kikwete, ametueleza tuanze kueneza Taarifa kuwa yeye mwenyewe hukutana na Rais Kikwete usiku kila siku na agenda yao huwa ni moja tu "kumwachia urais" haya nayasema hapa maana jana nimekuwa kwenye kikao.

Lowassa anasisitiza tuhakikishe propaganda hii inaenezwa kwa gharama yeyote, maana ikirudiwa mara nyingi watu wataiamini, Lowassa umeanza siasa za kilaghai?
Tukiwa kwenye kikao tukajulishwa kuwa kikao cha namna hiyo kilikuwa kinafanyika Arusha,Hotel ya Mount Meru agenda ni hiyo moja tu,"kikwete anakutana na Lowassa kila siku usiku" umekuwa mchawi?.

Tukiwa hapa Dodoma tumekuja kwenye Harusi ya Mjumbe wa NEC inayofanyika hapa Dodoma,tukapata mwaliko huu.

Kikao cha Dodoma na Arusha vyote vimeazimia kuwa na kauli mbiu isemayo "SIMAMA UHESABIWE,HAKATWI MTU HAPA" kwahiyo iwaminishe watu kuwa Lowassa hawezi kukatwa jina.

Tukiwa kwenye kikao mimi na wenzangu tumeshangaa hatua za kilaghai zinazotaka kuchukuliwa na Jamaa huyu.

Kwanini anataka kumchafua Rais?
Kwanini anataka kutumia jina lake kwa kufanikisha mambo yake?
Je Lowasaa amejua kuwa atakatwa jina kwahiyo anajihami?
Lowassa ameona anashindwa sasa au ameishiwa mbinu?

Pole sana Lowassa kikao cha usiku Dodoma na Arusha ni ishara mbaya kuwa unaelekea kuangukia pua.

Wama at work!! unatafta umaarufu tuu we bunju, ukae na Lowassa kwa sifa zipi??, na iweje utoe taarifa za kikao kama ulikuwepo??, huo sio usaliti??, kwa mwelew akisoma hapa atajua tu unatumika kama kndm
 
Acha kutuletea umbea hapa hiyo habar haina ukweli wowote ww lowasa hakuite kwenye kikao kama nani,jaman kamati ya kugombea urais cyo kamat ya kitoto ni ya watu wazto,ww ni kama nan huudhurie toa ushe..wako hapa

bor umemwambia, jamaa anatafta umaarufu kupitia lowassa, mxiuuuuu!! titleless thana Unoka!!
 
Lowasa jembeee namkubali sana na amejipanga ,"mti upigwao mawe ndo wenye matunda",opponents wake wanamuogopa kisa wanajua ana nguvu,na kuwa na nguvu maana yake amekubalika,wakati nwengine wanahangaika kupiga majungu mtandaaoni yeye wala hana time now,ni ishara ya kiongozi mzuri ni yule ambye hachanganyikiwi na propaganda
 
mh lowasa anafaa sana kuimarisha chama chake na si urais ni mtu ambaye anasaidia vijana wazee na makanisa na ndio sera ya chama na akiwa msimamizi mzuri wa chama anafaa sana siku ya kikao cha kumteua mgombea akae meza kuu kumpendekeza wagombea
 
Tehetehetehetehe! Aaaaahaaaaaaaa! Atahakikisha Rais ajaye ni fisadi mwenzake
 
Mtoa mada unakua una utani wa ajabu sana na mambo ya msingi hamna kitu kama Mh Lowasa kukaa pembe tumkabithi Nchi aibadilishe huyu ndio kimbilio la wananchi wa Tanzania badala ya kuimarisha chama aimarishe Nchi kwa nyanja zote
 
Back
Top Bottom